ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyama mamluki matawi ya CCM

    Kwa maoni yangu hivi hapa ni vyama mamluki ambayo ni matawi ya CCM ADA TADEA CCK NLD Demokrasia Makini NCCR- MAGEUZI TLP UPDP SAU UMD NRA ACT CUF Pamioja na Chama cha DP
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Uelekeko wa CCM na Tanzania kwa ujumla

    uelekeo makini sana wa Tanzania kama nchi, chini ya chama tawala CCM, ulibainishwa, ulichambuliwa, ulifafanuliwa na kuelezewa kwa kina, kwa kirefu sana kinagaubaga, na kwa umakini na uwazi wa kipekee mno, na makamu mwenyekiti wa ccm bara, comrade Abdulrahman Kinana. kwamba, kama nchi tupo...
  3. Nkarahacha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kada wa CCM kutoka Muleba Mohamed Ismail, amemtaka Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhan kujiuzulu

    KADA WA CCM AMJIA JUU MWENYEKITI WA UVCCM KAGERA. Kada wa CCM kutoka wilaya ya Muleba Ndg,Mohamed Ismail wakati akizungumza na Waandishi wa habari amemtaka Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Ndg,Faris Buruhan kujiuzulu kama hawezi kujitokeza hadharani na kufuta kauli yake ya kupoteza watu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinana anakiri hadharani kuwa yaliyotokea 2019 na 2020 hayatajirudia. Atuambie pia uhalali wa chaguzi zile

    Ni aibu kubwa kwa chama kinachojisifia kuwa kinapendwa na wananchi na kupigiwa kura za ushindi katika chaguzi. Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Kinana, amekuwa akiwaambia wananchi kuwa uchaguzi ujao utakuwa huru na haki na hakitajirudia kile kilichojitokeza katika uchaguzi wa 2019 na 2020. Kauli...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shemsa Mohammed: CCM Kuendelea Kutetea Wachimbaji Wadogo wa Madini

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimesema kitaendelea kuwatetea na kuwasimamia wachimbaji wadogo ambao wanaonzisha migodi midogomidogo ili waweze kunufaika kutokana na kuanzisha maeneo hayo. Hayo yamesemwa kwa nyakati tofauti na Mwenyekiti wa CCM Mkoa huo Shemsa Mohammed kwenye...
  6. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Sababu za CHADEMA kutaka katiba mpya ndio sababu za CCM kukataa katiba Mpya

    Wakuu, ukweli uko wazi CCM hawaitaki katiba mpya kwasababu ndio anguko lao la kiutawala, pia uwepo wa tume huru ndio msumali wa mwisho kwenye jeneza lao la utawala wa ulaghai. Muungano huu ni feki na hauna faida kwa watanganyika zaidi ya kuwalalia na kuwanyonya, Kinana hajaweza kujibu hoja...
  7. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania siyo bure, CCM someni alama za Nyakati

    Watanzania wamesoma, miaka takribani 60 Sasa toka uhuru .sio wajinga kwakuwa ni wakimyaa wanaopenda kushughulikia na mambo yao yasiohusu siasa,japo maisha yenyewe ni siasa. Ni jambo la Hatari kufikiria mtu aliyekaa kimyaa kuwa ni Mjinga. Watu wanaonufaika pakubwa na chama na Serikali ni familia...
  8. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania CCM bila kujua Wanakuza Popularity Ya CHADEMA na Kuifanya iwe Juu sana baada ya Kupoteza Popularity kwa Muda Mrefu hii Haiko sawa

    Chadema Ina Mbunge Mmoja Bungeni kama Sio wawili Hiyo inafnya Kiwe ni CHAMA chenye Umaarufu Mdogo licha ya Kujitutumua na Kufanya Maandamano ili kupata Ridhaa ya Wananchi kukiamini Tena.. Kitendo cha CCM na Serikali kuanza kukizungumzia Kunafanya Vyombo vya Habari kuanza kukifatilia na Bahati...
  9. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ni kiboko, wameshapitisha sheria sasa wanarudi kufafanua nini? Amemwibua Comrade Kinana!

    Wiki mbili za Tundu Lissu kufanya maandamano Takribani Mikoa 6 mfululizo zimeacha Madhara makubwa. Madhara hayo ni kufungua Wananchi kuhusu masuala mbali mbali ikiwemo Uchaguzi, Katiba Mpyaz Uhuruz na Utawala bora, siasa na maendeleo. chawa wengi walijaribu Kujitutumua kumjibu ikashindikana...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanachama wa CCM wamewaacha viongozi wao akiwemo Kinana kushambuliwa mitandaoni bila kuwatetea?

    Mhe. Kinana anazungumza na waandishi wa habari Dodoma. Katika mambo aliyozungumza ni kudai tume itakuwa huru, kudai Rais ana nguvu kwenye kila tume ya uchaguzi Duniani na kudai Chadema wanamepewa uhuru siku chache na wanahubiri chuki. Katika haya yote hakuna linaloonekana kuungwa mkono X na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Chadema wameamsha mijadala kila ya nchi; CCM haina majibu imekaa kimya upepo upite

    Mijadala mikuu nchini kwa sasa ni umuhimu wa katiba mpya itakayolinda rasilimali za Tanganyika na Muungano kwa ujumla. Mjadala mwingine ni kuhusu rushwa katika uchaguzi na namna ambavyo CCM inatuhumiwa kutumia fedha hata kwenye chaguzi za vyama vya upinzani Mjadala wa tatu ni kuhusu ACT...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinana: Rais Samia wanayemsema ndio ameleta uhuru uliopo nchini sasa hivi, akisema kuanzia leo hakuna maandamano itakuwa nini?

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kinana anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali zilizoibuliwa na upinzania ambazo CCM wameziita ni za kibaguzi dhidi ya Muungano...
  13. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Serikali ya Tanganyika Soma Hii; kwa Nini Viwanda Vidogo Nchini Pakistan ni Vingi?

    Viwanda vile huitwa Cottage au SSI's kiufupi ni households industries, Karibia asilimia 45 ya vijiji vya Pakistan vinajitosheleza kwa mahitaji ya Viatu, Pamba kutoa nguo, spare za pikipiki, Cherehani, na vifaa vya kilimo, Kila familia ina Kiwanda kidogo na havifanani bidhaa. IPI NI FAIDA YA...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Jokate: Chimbuko la CCM ni Mashina

    ✳️ CHIMBUKO LA CHAMA CHA MAPINDUZI NI MASHINA; CDE JOKATE 🗓️ 04 Mei, 2024 📍Geita Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Komredi Jokate Urban Mwegelo (MNEC) amesema Chimbuko la Chama cha Mapinduzi ni kutoka kwenye Mashina kwani huko ndipo kwenye Wanachama na...
  15. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yaliyotokea 2020 yatakuwa zaidi 2025 dalili zinaonyesha hakuna Jimbo itawaachia wapinzani. CCM imechokwa lakini wapinzani wamechokwa zaidi!

    Habari ndio hiyo ni kweli ccm imechokwa ,Tena imechokwa lakini watanzania hawaoni mbadala wa ccm! Wapinzani ndio wamechokwa zaidi hakuna mfano ! Wao wenyewe pia wamejichoka. Uchaguzi ujao ni dhidi ya waliochokwa na waliojichoka wenyewe!! Naona hata hamu kutamani uchaguzi ufanyike imeondoka...
  16. Nkarahacha

    JamiiForums Tanzania Mwili wa mtoto aliyegongwa na gari la Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Burhan wazikwa, simanzi kubwa yatawala kwenye familia ya mwanafunzi

    MWILI WA MTOTO ALIYEGONGWA NA GARI LA WENYEKITI WA UVCCM MKOA WA KAGERA FARIS BURUHAN WAZIKWA,SIMANZI KUBWA YATAWALA KWENYE FAMILIA YA MWANAFUNZI HUYO. Mwili wa MWANAFUNZI Revina Kaumbya Leginard(9)wa darasa la tatu shule ya msingi Kamachumu B aliyegongwa na gari la Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shemsa Mohammed: Kuwathamini Mabalozi ni Kukirudisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Wananchi

    Shemsa Mohammed: Kuwathamini Mabalozi ni Kukirudisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Wananchi MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed amesisitiza dhamira ya chama hicho chini ya Uongozi wa Mwenyekiti wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Chatanda awasili Mwanza kushiriki mazishi ya Jane Msoga

    📅 03 Mei, 2024 📍 Mwanza Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) amewasili Uwanja wa Ndege Mwanza usiku wa kuamkia tarehe 03 Mei, 2024 kushiriki mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Wilaya ya Sengerema Ndg. Jane James Msoga. Ndg Jane alifariki tarehe 01 Mei, 2024...
  19. Huihui2

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chaguzi za CHADEMA zaingiliwa na rushwa kama za CCM

    Sasa wananchi tukimbilie chama gani? https://twitter.com/Tanzaniawall/status/1786251731120058804?s=19
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ally Kessy awashukia Zanzibar, Awataka Wabunge wa Zanzibar watoke nje kwa mambo yasiyo ya Muungano

    Awataka wabunge wa Zanzibar kuanzia sasa wachangie Wizara zinazowahusu, Awataka wawe wanatoka nje pale bunge linapojadili mambo yasiyo ya Muungano, sio wanatujazia foleni ya kuongea hata kwa mambo yasio ya Muungano. Ally Kessy Mbunge wa Nkasi(CCM), amesema Wazanzibar waache kuwanyonya...
Back
Top Bottom