CCM wameanza kuwashawishi vijana kuchukua Kadi za chama

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Vijana wengi sasa hivi wameanza kurubuniwa kwa kupewa ofa ndogo ndogo na kuanza kuchukua kadi za CCM.

Walengwa wengi ni hawa vijana wa bodaboda na makundi mengine ya kijamii.

Watu wameanza kuchukua kadi kimya kimya huku mitaani, hususani vijana.

Ikumbukwe uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika mwaka huu.

Vijana chagueni kiongozi bora bila kujali chama mgombea anachotoka, na sio kuchagua viongozi kwa kuangalia vyama.

Msifurahie raha za muda mfupi na kusahau Karaha za muda mrefu. Nyie bodaboda ndio uwa mnalia kila siku huko mabarabarani.

Fanyeni maamuzi sahihi wakati wa kuchagua viongozi kwa mustakabali mrefu wa Taifa letu.

Tanzania itajengwa na mimi na wewe, na Tanzania ikiyumba, sote tunayumba nayo
 
Na nyie chadema fanyeni jambo lenu ili kupata wanachama, au maandamano ndio njia yenu.?
Kwenye uzi wangu hakuna neno Chadema....kwani kila anayeizungumzia CCM ni Chadema... Acha kutumia kichwa kama kabati ya Ubongo...

Tanzania ina vyama vingi mno
 
vijana timamu wamewagundua chadema ni kikundi cha wala ruzuku siku nyingi
Kwenye Uzi wangu sijataja neno Chadema....

Alafu kuhusu Ruzuku, nani anakula ruzuku kati ya CCM na Chadema... Au wewe akili yako nayo ni kama ya inzi wa kijani.

Bunge zima ni la CCM, serikali nzima Ccm alafu unakuja hapa kuongea ushubwada... Kapimwe utahira
 
Kwenye uzi wangu hakuna neno Chadema....kwani kila anayeizungumzia CCM ni Chadema... Acha kutumia kichwa kama kabati ya Ubongo...

Tanzania ina vyama vingi mno
Ww umeamua kuzungumzia ccm na Mm nimeamua kuzungumzia chadema sasa unalalamika nn au unatumia kichwa kama mfuniko wa shingo?
 
Vijana wengi sasa hivi wameanza kurubuniwa kwa kupewa ofa ndogo ndogo na kuanza kuchukua kadi za CCM.

Walengwa wengi ni hawa vijana wa bodaboda na makundi mengine ya kijamii.

Watu wameanza kuchukua kadi kimya kimya huku mitaani, hususani vijana.

Ikumbukwe uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika mwaka huu.

Vijana chagueni kiongozi bora bila kujali chama mgombea anachotoka, na sio kuchagua viongozi kwa kuangalia vyama.

Msifurahie raha za muda mfupi na kusahau Karaha za muda mrefu. Nyie bodaboda ndio uwa mnalia kila siku huko mabarabarani.

Fanyeni maamuzi sahihi wakati wa kuchagua viongozi kwa mustakabali mrefu wa Taifa letu.

Tanzania itajengwa na mimi na wewe, na Tanzania ikiyumba, sote tunayumba nayo
Sio kuwatafutia ajira tena bali ni kadi?
 
Kwenye Uzi wangu sijataja neno Chadema....

Alafu kuhusu Ruzuku, nani anakula ruzuku kati ya CCM na Chadema... Au wewe akili yako nayo ni kama ya inzi wa kijani.

Bunge zima ni la CCM, serikali nzima Ccm alafu unakuja hapa kuongea ushubwada... Kapimwe utahira
vijana timamu na wazalendo wanachukua kadi kwa wingi na kujiunga chama cha mapinduzi

wala ruzuku wamebaki kuhaha ndugu

tukutane tarehe 23 siku ya usafi jijini
 
Vijana wengi sasa hivi wameanza kurubuniwa kwa kupewa ofa ndogo ndogo na kuanza kuchukua kadi za CCM.

Walengwa wengi ni hawa vijana wa bodaboda na makundi mengine ya kijamii.

Watu wameanza kuchukua kadi kimya kimya huku mitaani, hususani vijana.

Ikumbukwe uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika mwaka huu.

Vijana chagueni kiongozi bora bila kujali chama mgombea anachotoka, na sio kuchagua viongozi kwa kuangalia vyama.

Msifurahie raha za muda mfupi na kusahau Karaha za muda mrefu. Nyie bodaboda ndio uwa mnalia kila siku huko mabarabarani.

Fanyeni maamuzi sahihi wakati wa kuchagua viongozi kwa mustakabali mrefu wa Taifa letu.

Tanzania itajengwa na mimi na wewe, na Tanzania ikiyumba, sote tunayumba nayo
Mkuu hizo kadi zinapatikana wapi? Kwenye ofisi za matawi ya chama? Ni za kidijitali au ni za kawaida?
 
Vijana Wanaojitambua Hali Halisi Wanaiona Huu Ni Muda Wa C CM Kulia Na Kusaga Meno
 
Vijana wengi sasa hivi wameanza kurubuniwa kwa kupewa ofa ndogo ndogo na kuanza kuchukua kadi za CCM.

Walengwa wengi ni hawa vijana wa bodaboda na makundi mengine ya kijamii.

Watu wameanza kuchukua kadi kimya kimya huku mitaani, hususani vijana.

Ikumbukwe uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika mwaka huu.

Vijana chagueni kiongozi bora bila kujali chama mgombea anachotoka, na sio kuchagua viongozi kwa kuangalia vyama.

Msifurahie raha za muda mfupi na kusahau Karaha za muda mrefu. Nyie bodaboda ndio uwa mnalia kila siku huko mabarabarani.

Fanyeni maamuzi sahihi wakati wa kuchagua viongozi kwa mustakabali mrefu wa Taifa letu.

Tanzania itajengwa na mimi na wewe, na Tanzania ikiyumba, sote tunayumba nayo
Mtu anashawishi kwa maslahi ya chama chake unasemaje anarubuni?? Nyumbu ni nyumbu tu,
 
Back
Top Bottom