ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. L

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi kufanya ziara Mikoa ya kanda ya Kaskazini 29/05/2024

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwapeni taarifa ya kuwa kuanzia Kesho Katibu Mkuu wa CCM Balozi Daktari Emmanueli Nchimbi ataanza na kufanya ziara nzito sana katika mikoa mitano ya kanda ya kaskazini,kati na Pwani. Ambapo mikoa hiyo ni mkoa wa singida ambao ndio utakuwa wa kwanza kwa siku ya...
  2. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Usanii wa CCM: Badala ya kushughulikia Ripoti ya CAG yenye utatuzi kisheria mnatumia mikutano kudhalilisha halafu imeisha

    Hakika huu ni usanii mkubwa na very calculated. CCM ambayo ndio ina dhamana ya kuongoza serikali inatumia ujinga wetu kutuhadaa ili tuone wanastahili kuendelea kushika dhamana hiyo pamoja na madudu yao ya kutisha. Kwa mujibu wa sheria Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali CAG ni mtu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania CCM ninayoijua siyo hii. Kamati ya Maadili ya CCM iko wapi?

    Hivi iko wapi ile Kamati ya maadili ya ccm iliyowahi kuwachukulia hatua kali akina Sophia Simba (akiwa mwenyekiti wa UWT taifa), Msambatavangu (akiwa mwenyekiti UWT mkoa wa Iringa), na iliyowapa kalipio kali mkatibu wakuu wastaafu wa ccm taifa, Abdulrahman Kinana na mzee Yusufu Makamba...
  4. L

    JamiiForums Tanzania David Kafulila ni hazina kwa Taifa letu, anapaswa kutumiwa vyema kwa maslahi mapana ya nchi

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeendelea kumfuatilia na kufuatilia mahojiano mbalimbali ambayo amekuwa akifanya na ambayo amefanya kupitia vyombo vya habari kuelezea mambo mbalimbali kuanzia uchumi, uwekezaji, biashara na mengine mengi. Kila mtu pasipo kujali itikadi yake ya Kiasia au chama chake...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Umoja wa wanawake CCM wasikitishwa na udhalilishaji wa Makonda, watoa tamko

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Marry Chatanda ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alichokiita unyanyasaji na udhalilishaji wa watendaji wanawake kwenye maeneo yao ya kazi. Chatanda ameyasema hayo leo Jumamosi, Mei 25, 2024 jijini Dodoma...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Makonda ashtakiwe kwa udhalilishaji alioufanya kwa mwanakamati huyu

    Akiwa kwenye ziara yake Longido, Makonda kama kawaida yake akiwa anatatua kero za wananchi, kamati hii ilihojiwa sababu ya ujenzi wa shule kusuasua. Wakati mwanakamati huyo anajieleza Makonda alimwamvia haongei na mchumba wakw bali wananchi, nina mke mzuri nyumbani! Kwamba alokuwa anaongea kwa...
  7. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upendo Peneza ametemwa na CHADEMA lakini hataki kuachana nayo?

    Upendo Furaha Peneza (amezaliwa mnamo 1989) ni wamasiasa mtanzania na mwanachama wa CCM alipohamia kutoka CHADEMA tarehe 22 Januari 2024. Alichaguliwa kuwa mbunge wa viti maalum kwa miaka 2015-2020 Peneza alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa kundi la Wabunge Vijana katika bunge la akitokea...
  8. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ugumu wa maisha Tanzania wawaathiri wapinzani tu wanaccm maisha yao ni mazuri

    Hakika sasa ndio nimejua kwanini Wajinga wengi wapo CCM. Hali ya Ugumu wa Maisha ya wananchi waathirika wakubwa ni Wanachama wa Chadema na ndio maana viongozi wao wanataka Mabadiliko makubwa ya KATIBA MPYA na TUME huru ya Uchaguzi yafanyike. Mabadiliko haya yatabadili mambo mengi ya Kiuchumi...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania CCM, wananchi na maendeleo ni Sako kwa Bako

    Yaani CCM imeambatana na kuandamana sambamba na dhamira njema ya maendeleo kwa wanaichi wake, kisiasa kijamii na kiuchumii, napendwa mno, viongozi wake wanakubalika sana aisee. Hakuna namna ya kuidhoofisha wala kuitenganisha CCM, wananchi na maendeleo, hawa ni daima sako kwa bako mpka kueleweka...
  10. 4

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inatoa mchakamcha usio wa kawaida kwa chama tawala CCM kwa speed ya hypersonic

    Wajf imani ikatawale popote mlipo. Andiko langu litakua fupi Chama kikuu cha upinzani Tanzania (Chadema) mpaka sasa kinatoa mchakamcha ambao sio wa kawaida kwa chama tawala CCM kwa speed ya hypersonic kiasi kwamba wafuasi na Viongozi wa chama cha ccm wanashindwa wapi pa kushika na wenda...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upendo Peneza awahamasisha wanachadema sasa waandamane kuelekea ofisi za chama chao kupinga rushwa

    Kumekucha! Maguzu masese. Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake. Upendo Peneza anasema, kwa kuwa ndani ya Chadema imethibitika pamevunda na kuoza kwa rushwa, basi maandamano ya wanachadema...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yaani kuhamia CCM kutoka uliko ni mpaka umuombe Mungu? Tumpumzishe Mwenyezi Mungu kwa Unafiki wetu uliojificha

    Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kupitia Chadema ambaye sasa amehamia CCM, Upendo Peneza amesema kabla hajama chama hicho, aliomba ushauri kwa Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf na pia alifunga na kuomba kabla hajatimiza uamuzi huo. Chanzo: @MwananchiNews Ngoja nami GENTAMYCINE...
  13. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM oneni aibu - saidieni jitihada za Rais kupitia ugawaji wa pikipiki kwenye kata

    Naenda kwenye hoja moja kwa moja. Kwa kutambua mchango wa viongozi wa CCM wote ngazi ya kata nchini Mwenyekiti wa CCM taifa ametoa pikipiki kwa Makatibu CCM Kata na jumuiya zake. Ili wagawiwe pikipiki hizo viongozi hao wanatakiwa kulipia gharama kadhaa - sasa baadhi ya wilaya ikiwemo Kakonko...
  14. Tryagain

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA itaendelea kuwa chama kidogo kwa CCM milele

    CHADEMA NI UNDER DOG WA CCM MIAKA NENDA RUDI Hivi karibu tumeona na kushuhudia matendo ya ajabu sana ndani ya Chadema, chama ambacho kilijitanabaisha kama mbadala wa CCM, kwamba kimefikia hadhi ya kuwa chama dola, kwamba ni chama ambacho kinaweza kusimama na wananchi na kuendesha siasa zake...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kura za Maoni na mchujo ndani ya CCM zitakua na ushindani mkali zaidi ya Uchaguzi Mkuu ujao

    Naweza kusema huo ndio utakua uchaguzi mkuu wenyewe. Mwingine baada ya huo, itakua ni wa kukamilisha ratiba tu kwa mujibu wa taratibu, kanuni, sheria na katiba ya nchi. Mathalani, kwenye nafasi ya mgombea wa CCM, atakae teuliwa kupeperusha bendera ya CCM, kwenye nafasi ya urais, ni dhahiri na...
  16. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CCM Taifa naomba uruhusu kuchapisha fomu nyingi za kugombea Urais ndani ya chama kukuza Demokrasia

    Nitofautiane na makada wenzangu kwenye swala Zima la desturi kuifanya sheria ndani ya chama! Hatuna Cha kuogopa Wala kupoteza kwenye mchakato wa ndani wa kumpata mgombea mpya hapo 2025, ninaamini katika kudra za mwenyezimungu kuhusu hatma Yako ya urais wa 2025 -2030 kuliko kulazimisha kama...
  17. J

    JamiiForums Tanzania MWENYEKITI CCM MANYARA KUJENGA CHUO CHA WASICHANA.

    Katika kuendelea kuunga mkono jitihada za serikali, wadau wa Maendeleo Shirika lisilo la kiserikali linalojiuhusisha na masuala ya elimu -ECLAT Development Foundation wameanza ujenzi wa chuo cha Mafunzo,ujuzi na malezi kwa wasichana. Jiwe la msingi la Ujenzi wa Chuo hicho kinachojengwa Kijiji...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Gari ya Tundu Lissu ni kielelezo cha gharama za kuitoa CCM madarakani. CHADEMA tumnunulie Lissu gari jingine

    Hili gari linatisha sana kuliangalia! Kinachonishangaza ni ujasiri wa Tundu Lissu kutaka kulitengeneza na kulitumia tena. Gari hilo ni kielelezo cha jinsi ilivyo vigumu kuutoa madarakani mfumo CCM. Gari hilo lihifadhiwe makumbusho ya Taifa kwani ni alama ya ukombozi wa mtanzania. Tundu Lissu...
  19. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jerry Silaa ni Deo Filikunjombe mtupu, atatufaa CCM 2030 Kwenye Urais!

    Huyu Jerry Silaa ni Deo Filikunjombe mtupu, Mungu wa Mbinguni azidi kumpa Ujasiri atatufaa CCM 2030 Kwenye Urais! Huyu jamaa ukimtazama haraka haraka unaweza kumchukulia poa Ila spiritual na kiuzalendo yuko vizuri kuliko Mawaziri wote nadhani. Mungu wa Mbinguni azidi kumpa Ujasiri. 😂 Sabato...
  20. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bila Uwepo wa CCM Madarakani Nchi ingekuwa Imesambaratika na Kugawanyika vipande vipande

    Ndugu zangu Watanzania, Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na namna ya kupokezana madaraka, uvumilivu na demokrasia katika vyama hivyo nafikia hitimisho kuwa kama siyo uwepo wa CCM Madarakani basi Taifa hili lingekuwa...
Back
Top Bottom