Tarehe kama ya leo miaka 47 iliyopita ndio tulihitimisha halaiki tulizocheza kwa miezi sita ajili ya kuzaliwa CCM na Azimio la Arusha

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
3,032
4,028
Tarehe kama ya leo na mwezi kama wa leo miaka 47 iliyopita ndio tulihitimisha halaiki tulizocheza kwa miezi sita ajili ya kuzaliwa CCM na Azimio la Arusha kutimiza miaka 10.
Nilikuwa nasoma UHURU Shule ya msingi Arusha nikiwa darasa la tano.Kwamaana hiyo darasa la nne sehemu kubwa hatukuwa darasani ndio tukahitimisha tarehe 5 feb 1977.
Nilikuwa kile kikosi cha kufungua vitabu majukwaani.Nyerere alikuja alivyopigiwa mizinga na baada ya halaiki akaondoka kwenda Zanzibar kushiriki kuzaliwa kwa CCM siku hiyo hiyo si mnajua speed ya ndege
Wahenga wenzangu wanaokumbuka mkuje huku mtoe comment zenu.Kwa sasa tuna wajukuu kwa vile waliozaliwa kipindi kile wana wajukuu.

Ushabiki wa kisiasa tuweke pembeni maana wengine tumeshakuwa wapinzani sasa hivi ila wakati ule wa chama kushika hatamu siasa ilikuwa kwenye damu zetu hata watoto wa primary tulikuwa tunafundishwa kutumia bunduki angalau kujua sehemu zake na kusafisha kijaruba na mtumbo.
Pia wakati wa vita vya Kagera tulichimba mahandaki mashuleni kwetu.
Mwalimu wangu Shedrack primary huko uliko mungu aendelee kukutunza huyu mwalimu alikuwa Mkurya.
Namkumbuka mwalimu Firm mwalimu wa kiswahili,hesabu alikuwa Mpare pia namkumbuka mwalimu Malai alikuwa mchaga yeye alitufundisha hesabu.
Mwalimu mama Urasa,
 
Tarehe kama ya leo na mwezi kama wa leo miaka 47 iliyopita ndio tulihitimisha halaiki tulizocheza kwa miezi sita ajili ya kuzaliwa CCM na Azimio la Arusha kutimiza miaka 10.
Nilikuwa nasoma UHURU Shule ya msingi Arusha nikiwa darasa la tano.Kwamaana hiyo darasa la nne sehemu kubwa hatukuwa darasani ndio tukahitimisha tarehe 5 feb 1977.
Nilikuwa kile kikosi cha kufungua vitabu majukwaani.Nyerere alikuja alivyopigiwa mizinga na baada ya halaiki akaondoka kwenye Zanzibar kushiriki kuzaliwa kwa CCM siku hiyo hiyo si mnajua speed ya ndege
Wahenga wenzangu wanaokumbuka mkuje huku mtoe comment zenu.Kwa sasa tuna wajukuu kwa vile waliozaliwa kipindi kile wana wajukuu.

Ushabiki wa kisiasa tuweke pembeni maana wengine tumeshakuwa wapinzani sasa hivi ila wakati ule wa chama kushika hatamu siasa ilikuwa kwenye damu zetu hata watoto wa primary tulikuwa tunafundishwa kutumia bunduki angalau kujua sehemu zake na kusafisha kijaruba na mtumbo.
Pia wakati wa vita vya Kagera tulichimba mahandaki mashuleni kwetu.
Mwalimu wangu Shedrack primary huko uliko mungu aendelee kukutunza huyu mwalimu alikuwa Mkurya.
Namkumbuka mwalimu Firm mwalimu wa kiswahili,hesabu alikuwa Mpare pia namkumbuka mwalimu Malai alikuwa mchaga yeye alitufundisha hesabu.
Mwalimu mama Urasa,
Kuzaliwa kwa wauaji
 
Wakatoliki wanaamnikuw ysu ni mwana wa Mungu. Kwahiyo Yesu alisema hivyo wasimtese
Mawazo yako mazuri ila nikukumbushe tu YESU hakuwa mkatoliki wala mkiristo
YESU alikuwa MASIHA alikuja kuleta Injili tukomboke kwa dhambi haya maneno Mkatoliki na mkristo tuliyatengeneza sisi sawa na neno demokrasia unasikia kuna CCM na CHADEMA wote lengo lao moja
 
Hii siku sio ya kusheherekea kabisa
Nani kakuambia ni ya kusherehekea? wakati wa chama kimoja ilikuwa siku ya kusherehekea na tena public holiday ila baada ya mfumo wa vyama vingi ni siku ya kukumbuka tu.
Naongea hili maana nimepigania sana kuzaLiwa kwa CCM 1977
 
Back
Top Bottom