Nilichokiona kumhusu Mwenezi wa CCM Makonda katika Gazeti la MWANANCHI la Leo kakisema Yeye kweli?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,681
109,092
"Nawataka Polisi kuachana na hii Lugha ya Kuwaambia Ndugu ambao huenda Polisi kutafuta Watu Wao waliotekwa na Wasiojulikana kuwa bado wanaendelea na Uchunguzi kwani kwa kufanya hivi wanasababisha Watu kuwa na Hisia zingine mbaya kwa Serikali na Vyombo vyake Nyeti kuwa ndiyo IMETEKELEZA hilo" amesema jana Katibu Mwwnezi na Itikadi wa CCM Ndugu Paul Makonda Ziarani huko Mikoani.

Chanzo: Magazeti ya Leo na hasa hasa la MWANANCHI limeripoti.

Sasa ni rasmi GENTAMYCINE naamini kuwa Shetani akibadilika huja kuwa Malaika mzuri mno.
 
Na hili la kusubiria 24 hrs zipite ndio police waanze utafutaji ni sheria ya kishenzi iliyopitwa na wakati, mtu akipotea tu taarifa ziwafikie police na utafutaji uanze mara moja,familia tujitahidi kuwa na picha za wapendwa wetu ambazo zipo updated
 
"Nawataka Polisi kuachana na hii Lugha ya Kuwaambia Ndugu ambao huenda Polisi kutafuta Watu Wao waliotekwa na Wasiojulikana kuwa bado wanaendelea na Uchunguzi kwani kwa kufanya hivi wanasababisha Watu kuwa na Hisia zingine mbaya kwa Serikali na Vyombo vyake Nyeti kuwa ndiyo IMETEKELEZA hilo" amesema jana Katibu Mwwnezi na Itikadi wa CCM Ndugu Paul Makonda Ziarani huko Mikoani.

Chanzo: Magazeti ya Leo na hasa hasa la MWANANCHI limeripoti.

Sasa ni rasmi GENTAMYCINE naamini kuwa Shetani akibadilika huja kuwa Malaika mzuri mno.
Paul Makonda mwite ALBERT DAUDI BASHITE hajakataza Polisi waache kuteka. Amesema waiteka, wasiseme kuwa ndugu mtekwaji anashilikiliwa kwa uchunguzi. Watafute maneno mengine ya kujieleza
 
saa 24 ni za kuthibitisha kweli kapotea au kaenda kumtembelea ndugu au yupo mahala atatokeza,iko sawa tu
 
"E="GENTAMYCINE, post: 49260516, member: 156632"]
"Nawataka Polisi kuachana na hii Lugha ya Kuwaambia Ndugu ambao huenda Polisi kutafuta Watu Wao waliotekwa na Wasiojulikana kuwa bado wanaendelea na Uchunguzi kwani kwa kufanya hivi wanasababisha Watu kuwa na Hisia zingine mbaya kwa Serikali na Vyombo vyake Nyeti kuwa ndiyo IMETEKELEZA hilo" amesema jana Katibu Mwwnezi na Itikadi wa CCM Ndugu Paul Makonda Ziarani huko Mikoani.

Chanzo: Magazeti ya Leo na hasa hasa la MWANANCHI limeripoti.

Sasa ni rasmi GENTAMYCINE naamini kuwa Shetani akibadilika huja kuwa Malaika mzuri mno.
[/QUOTE]"na malaika akibadilika huwa shetani
 
Ni siasa tu anafanya, aulizwe yale matukio ya kina lissu, kina ben mbona hakushadidia wajulikane waliofanya undava huo
 
"Nawataka Polisi kuachana na hii Lugha ya Kuwaambia Ndugu ambao huenda Polisi kutafuta Watu Wao waliotekwa na Wasiojulikana kuwa bado wanaendelea na Uchunguzi kwani kwa kufanya hivi wanasababisha Watu kuwa na Hisia zingine mbaya kwa Serikali na Vyombo vyake Nyeti kuwa ndiyo IMETEKELEZA hilo" amesema jana Katibu Mwwnezi na Itikadi wa CCM Ndugu Paul Makonda Ziarani huko Mikoani.

Chanzo: Magazeti ya Leo na hasa hasa la MWANANCHI limeripoti.

Sasa ni rasmi GENTAMYCINE naamini kuwa Shetani akibadilika huja kuwa Malaika mzuri mno.
mental kama mental wewe
 
mental kama mental wewe
Je, na kwa hiki Kiingereza chako kibovi kama hiki nawe pia siyo Mental Mwenzangu?
Screenshot_20240202-203850.png

Screenshot_20240202-205325.png

Nasubiri majibu tafadhali.
 
Back
Top Bottom