ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nipo kwenye hatua za mwisho za kusajili chama kipya cha siasa kitakachoing'oa CCM kabla 2025. Nahitaji vijana 10 tu kutoka kila mkoa

    Sina utani kabisa kwenye hili jambo nimedhamilia, kama vijana wa nchi hii, tuliweka Imani kubwa sana kwa vyama vya siasa vilivyopo, tangu mwaka 1995 mpaka sasa, hakuna chama hata kimoja ambacho kimethubutu kuiondoa ccm na kushika Dola! Zaidi tu tunaona ni vyama vyenye malengo ya kujikimu...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na fedha na Rais Samia, asema hajawahi kuomba 'favour' yoyote kutoka kwake

    Tundu Lissu amejibu tuhuma zilitolewa dhidi yake kwamba anayoyasema kuhusu Rais Samia na mtoto wake Abdul kutoa pesa ili kuvuruga uchaguzi ndani ya CHADEMA. Majibu hayo yamekuja baada ya member wa JamiiForums.com kuandika andiko likiwa na madai hayo Pia soma: Inadaiwa hasira za Lissu...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: CCM tunaheshimu Mahakama kama chombo cha kutoa haki, hatuingilii kesi zinazosikilizwa huko

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaheshimu mhimili wa Mahakama na katika usikilizaji kero za wananchi, viongozi wa chama hicho hawatajihusisha na kesi zilizopo mahakamani. Makalla ameyasema hayo leo Jumanne Mei 7, 2024 akifanya mahojiano...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kuweni makini na chaguzi zisiwagawe, CCM wanasubiri mkono uanguke waukamate. Macho na masikio ya CCM yako kwenu sasa

    Habari ndiyo hiyo. Hizi juhudi za Mbowe aondoke, ni mkono wa chuma wanaouogopà. Wanasubiri uanguke washangilie. Msiruhusu kitu kama hicho. Msiwe wepesi wa kusahau. Mnadhani Mashinji (nadhani ndiye aliyekuwa amegombea uenyekiti? Nisahihisheni) angelipata uenyekiti Chadema ingelikuwepo? Chukueni...
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania We want: Separating Government and Political Party Activities

    The Minister of Energy, January Makamba, made the statement on behalf of the President of the United Republic of Tanzania on December 19, 2022, while speaking to the Contractors at the signing ceremony of the Peri Urban III Project construction contracts between the Rural Energy Agency (REA) and...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Muungano: Hawa hapa Jaji Joseph Warioba, Prof. Palamagamba Kabudi (CCM) na Freeman Mbowe, Tundu Lissu (CHADEMA). Tunakwama wapi kuamua?

    ==Makala hii kwa njia ya video imeletwa kwenu kwa hisani ya SK Media Online TV na Ansbert Ngurumo== Jaji Joseph Sinde Warioba (CCM): Wakati wote msimamo wake uko very consistent kuhusu muungano wa Tanganyika & Zanzibar wa mwaka 1964 kuwa suluhu yake ni serikali tatu ya muungano, Tanganyika na...
  7. Black Opal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuzorota kwa Huduma/Shirika gani litakufanya usiipigie tena kura CCM?

    Wakuu swalama? Kuzorota kwa huduma gani au shirika gani kutafanya usiipigie tena kura CCM ikafie mbele? 1. Kwakweli kwangu TANESCO ni namba moja, naashum TANESCO ni mbunge, anafanana na yule aliyeimbwa na Nakasya Sumari, yaani TANESCO ni zaidi ya garasa, halifai kwa lolote. 2. Ya pili ni...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni wazi kuwa wabunge wa CCM wapo kuitetea serikali na sio kuisimamia na kuikosoa. Mbunge Kigwagala kaweka wazi

    Soma alichoandika Mbunge wa Nzega, Hamis Kigwangala kwenye uzi aliokuwa kauandika akimshukuru Jenista Mhagama. Badala ya kuwalaumu TRA, Polisi, TPA na mamlaka zingine tungelaumu kwanza hawa wabunge waliopo bungeni kwa maslahi yao binafsi. Tunakushukuru sana Kigwangala kwa kuliweka wazi hili...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hati ya Muungano inatambua serikali 3, kwanini CCM mlitudanganya miaka yote hii?

    Kutoka Kwa Zitto Kabwe, Zitto kasema Kwa uwazi kua hati ya Muungano ya mwaka 1964 inatambua serikali ya Zanzibar, Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Muungano. Sasa Kwa nini CCM imekua inafanya uongo miaka yote hii? Na wana maslahi gani na uongo wao huo wanaojifanya? Ili muungano ueleweke...
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania KERO PreGE2025 Jimbo la Lupa-Chunya limetawaliwa na CCM tangu uhuru, halina barabara ya lami hata nusu kilometer

    Ukweli Tanganyika ni nchi ngumu. Jimbo la lupa lililopo chunya, halina hata nusu Kilomita ya Barbara ya Lami. Na Cha kufurahisha mbunge wake Yuko bungeni na anatarajia kurudi kuomba kura tena, ili aendelee kuwa mbunge wa Lupa. Ninashauri CCM itusaidie kumuondoa mbunge wa sasa, itupatie mtu...
  11. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: CCM inasikitishwa sana na hela chafu zilizoingizwa CHADEMA na migawanyiko inayoendelea

    Akihojiwa na vioa msemaji wa CCM ndugu Amos Makalla amesema anasikitishwa sana hali ndani ya CHADEMA. Msemaji huyo amesema mambo yanayomsikitisha ni kuona CHADEMA wanakiri kuna hela chafu zimemwagwa huko na pia kuna migawanyiko mikubwa ndani ya chama hicho ambayo MSINGI wake mkubwa ni kugombea...
  12. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini vijana wa CHADEMA walikuwa wanahusishwa na Viroba?

    Ndugu yangu Yericko Nyerere na makada wengine nikwanini mna nasibishwa na pombe kali aina ya viroba?
  13. Damaso

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Ubora wa Viwanja ndio Ubora wa Soka Letu

    Tanzania inajivunia utamaduni mzuri wa soka, huku timu zetu pendwa za Simba, Azam na Yanga zikizidi kuwasha shauku kubwa katika anga za kitaifa na kimataifa. Hata hivyo, hali ya sasa ya viwanja vya soka kote hapa nyumbani inashindwa kuendana na shauku hii. Hebu fikiria nyasi chakavu, vifaa duni...
  14. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ruksa siasa chuoni, upinzani marufuku

    Wanafunzi wanaolipwa Tshs 10,000 za wavuja jasho na damu wanaosoma chuo cha TIA[Uhasibu]- Temeke, Dar es Salaam wamemtembelea Jokate Mwangelo ambaye ni mama mwenye mtoto mmoja ofisi za UVCCM Makao Makuu Dodoma. Inasemekana hawa waasibu ndio wanakuja kuwa chawa baada ya UE mwezi wa sita. Hawa...
  15. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania CCM tumeiharibu wenyewe, tunabeba wezi, mafisadi, wapiga deal badala ya kuwashtaki na kuwafunga

    Huo ndio ukweli mchungu sana ambao mwanaccm anatakiwa kuukubali. Ufisadi,wizi,rushwa na upigaji dili Kwa asilimia kubwa wahusika ni wanaccm,Cha kushangaza hakuna hata mmoja yupo korokoroni,wanapeta Tena wanateuliwa nafasi nyingine Ili kuwasafisha. Chama kinapoteza mvuto,tunatukanwa na upinzani...
  16. feyzal

    JamiiForums Tanzania CCM ni katili sana, sishangai ukatili wa serikali yake

    Salaam wakuu. Hebu fikiria kiongozi wa serikali amelala Nyumbani na Familia yake halafu siku hiyo hiyo ametoka kubomoa makazi ya watu na kuiacha uchi familia ya Mwenzako namna hii? Unajisikiaje?. Jibu ni moja kwa sababu ni mwana CCM hao wamezoea ukatili ndo maana hata kwenye majukwaa yao hutoa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Rushwa za CCM kujaribu kuibomoa CHADEMA ni nyingi mno

    08 May 2024 Mpwapwa, Dodoma TUNDU LISSU LAZIMA TUPIGE VITA RUSHWA, CCM WAMETUMIA RUSHWA TANGU 2015 KUCHUKUA VIONGOZI CHADEMA WAUNGE JUHUDI Source : the chanzo Ndiyo maana wamekuwa wakali baada ya njama za kutumia rushwa kuingilia uchaguzi wa ndani niliosema kule Iringa anasema Tundu Lissu...
  18. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Watu wa CCM wakitoa hoja za kupinga Muungano wanashangilia, nongwa ni pale anapotoa hoja Mpinzani hata bubu atapayuka. Unafiki Mtupu

    Ni mambo ya ajabu hiki chama cha kuendekeza ufisadi na uongo. Kuna kasoro nyingi sana za muungano, lakini jambo la ajabu ni kuwa kasoro hizo zikizungumzwa na kiongozi wa CCM basi anashangiliwa hadi wabunge wanataka kupanda juu ya meza. Ila hoja hizohizo zikiongewa na Mbowe au Lissu mpaka kina...
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Covid 19 mara baada ya Bunge kuvunjwa kuhamia CCM na ACT

    Hizi ndizo taarifa ambazo zinasikika kwenye mikutano yao kama ambavyo wahenga walisema hakuna siri ya watu wawili. Na hawa imekuwa ni ya watu 19. Wanaambiana mengi na wengine wanakuja kutuambia. Hasa sisi wenye mahusiano nao. Sitaelezea kwa kina maana mnaweza unganisha code mkaja jua mimi ni...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania UVCCM Kuendelea Kuenzi Mahusiano ya Kidugu ya CPC China na CCM

    UVCCM KUENDELEA KUENZI MAHUSIANO YA KIDUGU YA CPC YA CHINA NA CHAMA CHA MAPINDUZI Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amekutana na Balozi wa China nchini, Mhe. Chen Mingjian, tarehe 07 Mei 2024 Ofisi za Ubalozi wa China...
Back
Top Bottom