burudani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Yanga inakwenda kutufufundisha jinsi ya kushangilia, basi kama la Liverpool lakodishwa afrika kusini, burudani ni next level, haijawahi kutokea

    "Yanga tunakwenda kuwafundisha watu jinsi ya kushangilia UBINGWA" "Tofauti ya Yanga na timu zingine ni kwenye ufanyaji wa shughuli zake, Just imagine kuna watu ubingwa waliubeba kwenye Kenta" "Tumeomba viongozi wa Uwanja wa Sokoine na wa bodi ya ligi kusogeza nyuma muda wa kucheza kutoka saa...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Burudani: Freshley Mwamburi asherekea miaka 30 ya Stellah kurudi Kenya akiwa na mchumba Mjapani mfupi futi 4

    Rhumba icon Freshly Mwamburi, is celebrating 30 years after his girlfriend returned home from Japan with a new man. The veteran musician expressed his disappointment in his song 'Stella Wangu'. The record is a love/hate story wonderfully put together. And every year on May 17, Kenyans...
  3. Faana

    JamiiForums Tanzania Iddi Amin Alikuwa Burudani Tazama Dakika ya 2:40

  4. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Wadau wa burudani yupo wapi Mc Babu Ayubu

    Wadau wa burudani nadhani mnamkumbuka uyu mtu nimesikiaa wimbo wa kikao cha dharula wa prof jay nikakumbuka hiki kipaji kilichojizolea umarufu kwa kuiga sauti za watu mashuhuri mbali mbali hapa mjini hasa sauti ya mzee wetu afande tibaigana Kajificha wapi uyu mtanzania mwenzetu.
  5. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Waislamu msikae kizembe, Mtume Muhammad (S.A.W) amecheza michezo mingi ya burudani katika maisha yake

    Uislamu sio dini ya kununa au kukunja uso na userious muda wote hadi kuanza kuogopeka na watu. Uislamu ni dini ya wastani isiyo na aina yoyote ya itikadi kali au ulegevu. Inakataza burudani isiyo na faida na isiyo na manufaa ya kidunia au ya kidini, na wakati huo huo inahimiza kupumzika kwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Vituko na Burudani kufuatia kuachiwa kwa Mbowe

    Kufuatia kuachiwa huru kwa Mh. Mbowe na watuhumiwa wenzake na yaliyofuatia hadi Ikulu, kwa ujumla kumeleta furaha kubwa nchini. Heko Samia, Mbowe na wote waitakiao mema nchi hii. Mshindwe na mlegee enyi mliojawa na nyoyo za ufedhuli ambapo kwenu, mema ndiyo maovu na maovu ndiyo mema. Angalia...
  7. Faana

    JamiiForums Tanzania Kipanya ni Burudani Tosha

  8. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz kujenga arena kubwa ya burudani

    Katika kuendelea na uwekezaji msanii namba moja Africa, Diamond Platnumz anakuja na investment ya ukumbi mkubwa wa burudani. Arena hiyo itayoweza kuchukua mpaka watu 20,000 itakuwa na kumbi za muziki, maduka, migahawa na lounge. Itakuwa solution ya kilio cha muda mrefu kwa wapenzi wa burudani...
  9. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Je, wasanii wanaposhiriki kutoa burudani kwenye matamasha ya kiserikali huwa wanalipwa?

    Nianze kwa kukiri wazi kuwa, Tangu Nianze kufuatilia Matamasha ya Wasanii wanayo yafanya kwenye Jamii, Nimeona WASANII WA KITANZANIA wanaongoza Sana Kufanya PERFORMANCE zao Kwenye Matamasha/Mikutano Ya Kiserikali Kuliko Nchi Yoyote Ile Duniani. Mbaya Zaidi na Zaidi, Nimeona WASANII WENGI WA...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yanga mpira mnacheza, magoli yanafungwa na burudani tunapewa, kongole sana wananchi

    Yanga hii inaonyesha Sana mwanga katika kupambania ubingwa msimu huu, soka linachezwa kotekote iwe kwenye viwanja vibovu ama kwenye uwanja mzuri mbungi inapigwa tu, aina ya wachezaji waliosajiliwa ni jibu tosha ya kinachofanyika uwanjani, nawapa heko waliosajili🙌🙌🙌 N:B KMC msirudie kuipeleka...
  11. Baha06

    JamiiForums Tanzania Burudani nufaika

    Maisha ya amani na furaha ndiyo yenye kuleta haiba njema kwetu binadamu,na burudani ni moja ya njia ya kutupatia furaha. Leo napenda kuzungumzia burudani nufaika kutoka katika mfano wa mchezo wa Mpira wa miguu, mchezo huu umekuwa na manufaa kwa kupitia ubunifu wa ushawishi kwa kutumia njia ya...
  12. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Pasha: Mnanikosea heshima kunishindanisha na Harmonize

    BURUDANI Mnanikosea heshima kunishindanisha na Harmonize. Hapo jana Msanii Pasha Mtepa akifanya Mahojiano na kituo cha Runinga cha East Afrika TV alisema watu wanamkosea heshima kumshindanisha na Harmonize kwa sababu yeye ndio wa kwanza kuuwakilisha mkoa wa Mtwara na amekaa muda mrefu kwenye...
  13. May Day

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siasa za Kenya ni burudani tosha kila kukicha. Mwanasiasa Mtata Aisha Jumwa akiserebuka kwa Gospel kusherehekea anguko la BBI

    Mmoja wa Wanasisa wenye vituko kutokea Pwani ya Kenya Bi Aisha Jumwa ameamua kutoa burudani ya aina yake huku akipeleka ujumbe kwa Wapinzani wa Ruto.
  14. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Video: Tupate burudani kidogo

    Tupunguze stress kidogo maana zitatuua
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Kasesera na Chalamila watikisa ukumbi wa burudani, wamwaga Kwaito, usipime!

    Hakika kuna watu wamejaaliwa vipaji, hawa viongozi kwa kweli ni burudani sana!
  16. Lord Diplock MR

    JamiiForums Tanzania Kipi ni Kipindi bora cha burudani kwasasa kati ya Empire (EFM), The Switch (Wasafi FM) au XXL (Clouds FM)?

    Waungwana salam, kichwa cha habari kinajieleza, Kwasasa nchini Tanzania ni kipindi gani bora cha burudani kati ya: 1. Empire cha EFM kinachoendeshwa na B dozen na Jonijo 2. The Switch cha Wasafi FM kinachoendeshwa na The Real Ommy, Ammy Gal na mshana au 3. XXL cha Clouds FM cha kina mchomvu...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba SC kiwanda kikubwa cha burudani Tanzania

    Mungu akupe maisha marefu Mo Dewji, Bodi ya Simba, CEO Barbara, Mwamba Haji Manara. Mungu awape maisha marefu na ufanisi technical bench. Mungu awaongezee umaridadi wachezaji wooote first eleven, wanaokaa bench na wanaobaki majukwaani. Mnafanya kazi nzuri kutuba burudani washabiki...
  18. Tonydigital

    JamiiForums Tanzania Oliver N’Goma: Muziki Burudani na Elimu (Ujumbe)

    Habari za muda huu wadau? Siku ya leo ya mapumziko (Muungano) nimeamua kupitia na kusikiliza baadhi ya nyimbo za nguli wa muziki Oliver N’Goma ( sasa marehemu) moja ya nyimbo zake nazozipenda ni hii “Bane” iliyoachiwa rasmi mwaka 1990 na inapatikana kwenye album yake ya kwanza yenye jina hilo...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Burudani: Msako wa Triple C na Bwalya dhidi ya FC Platnumz

    Mashoga zake na Utopolo
  20. J

    JamiiForums Tanzania Burudani kwenye siasa haziepukiki ndio maana Tundu Lissu na Raila Odinga hucheza reggae, CCM hupendelea singeli

    Hakuna namna utafanya mikutano ya kampeni bila kuwachangamsha wahudhuriaji kwa burudani tofauti tofauti. CCM hupendelea kwaya na Singeli Chadema wao hupiga reggae kama ODM ya Kenya ACT Wazalendo hupendelea mirindimo ya Pwani NCCR mageuzi hupiga kwaya nk nk Kinachotofautisha aina za burudani...
Back
Top Bottom