Kipi ni Kipindi bora cha burudani kwasasa kati ya Empire (EFM), The Switch (Wasafi FM) au XXL (Clouds FM)?

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,393
3,234
Waungwana salam, kichwa cha habari kinajieleza,

Kwasasa nchini Tanzania ni kipindi gani bora cha burudani kati ya: 1. Empire cha EFM kinachoendeshwa na B dozen na Jonijo 2. The Switch cha Wasafi FM kinachoendeshwa na The Real Ommy, Ammy Gal na mshana au 3. XXL cha Clouds FM cha kina mchomvu mina Ally na Kennedy the Remedy?
 
Hii stage nishaivuka ya kufatilia vipindi ivo

Enzi zangu kipindi hicho kuna DEIWAKA SHOW pale UHURU FM.

Kuna vitu vya kina Mr II enzi hizo anajiita II Proud



Nimekubali kila Zama na kitabu chake.


Vijana endeleeni kula burudani mda wenu ndo huu.
 
Back
Top Bottom