burudani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio burudani zetu Tanzania, tunafurahia kweli

    Nikiwa kama Mtanzania na mzalendo niseme tuu hizi ndio burudani zetu watanzania wengi, na endapo ukaona burudani yako haipo hapo una haki ya kuiongeza kwenye comment, Ready to Go 1. Kusafiri: kuembelea maeneo ya kuvutia kama vile Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Mlima Kilimanjaro, Visiwa vya...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri. Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sio roho mbaya kwa Mwakinyo ila kinachomfaa ni burudani na maonesho

    Mzungu anasema, "Put your money where your mouth is". Sasa jamaa anaongea sana zaidi ya anavyofanya boxing. Seems like kuburudisha watu na maneno yake ya ujuaji na uvaaji ndio anachokiweza zaidi kwa sasa.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Jana Huko Chigali (Rwanda) kulikuwa na burudani ndani na nje ya uwanja!

    Jana Wananchi aka Utopolo walipata burudani ya kutosha ndani na nje ya uwanja. Hongereni watani kwa ushindi. Mlistahili kwa kuwa mna timu nzuri.
  5. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Pira Burudani Vs Pira Lawama

    Wakati mbususu za Kigali zikichakatwa usiku huu, huko Ndola ni usiku wa lawama. Kipa la CAF limegoma kuingia kwenye mfumo.
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

    === Greatest of all time Leo ni Sikukuu ya Soka. Mnyama Mkubwa Mwituni. Simba SC itakuwa ikishuka dimbani kuwakabili Singida FG FC katika dimba la Mkwakwani pale jijini Tanga. Simba ambayo imesheheni wachezaji mafundi kama vile Onana, Baleke, Kramo, Mwalimu Fabrice Ngoma na wengineo...
  7. Smt016

    JamiiForums Tanzania Derby ya Azam vs Young African ndio mechi yenye burudani zaidi kwa Tanzania

    Habari wanamichezo, ikiwa siku kadhaa zimesalia kuelekea ufunguzi wa pazia jipya la ligi kuu Tanzania bara. Ikiwa ni mechi ya vigogo wanne waliobora kwa Tanzania hapa nazungumzia Yanga, Simba, Singida na Azam. Hawa ndio waliong'ara katika ligi na katika Azam Federation cup kwa wao kuwa top 4...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Mazungumzo ayafanyayo sasa Msemaji wa Yanga SC Clouds FM kumbe 'Skudu' kasajiliwa kwa Burudani na siyo kusaidia timu

    "Tumewaletea wana Yanga SC Mchezaji ambaye hatakama hatofunga Goli ila atahakikisha Mashabiki Wote Uwanjani wanaburudika kwa Maufundi yake ya Kuchezea Mpira" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe aliye Studioni sasa Spoti Extra ya Clouds FM. Haji Manara (Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC) hakukosea...
  9. xxtycoon

    JamiiForums Tanzania Orodha ya njia tano za burudani nchini Tanzania

    Hapa kuna orodha ya njia tano za burudani nchini Tanzania. 1. Kusafiri: Tembelea maeneo ya kuvutia kama vile Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Mlima Kilimanjaro, Visiwa vya Zanzibar, na Mbuga ya Wanyama ya Ngorongoro. 2. Kucheza michezo ya maji: Furahia shughuli za maji kama vile kuogelea...
  10. web developer

    JamiiForums Tanzania SoC03 Soka huzuni mpaka burudani

    Mwaka 1993 kwenye Fainali ya CAF Kwa Sasa Shirikisho kwenye uwanja wa  Uhuru timu ya  Simba ilipoteza Kwa kupigwa magoli mawili dhidi ya Stella Club d'Adjame ya Ivory Coast, hali iliyopelekea Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa wakati huo Mh. Ally Hassan Mwinyi (Mzee wa ruksa) kutokwa na...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Safari ya Afrika: Jinsi Uturuki inavyokuza mahusiano na bara la Afrika

    Ushawishi wa Uturuki barani Afrika hii leo, unahusisha sekta mbalimbali, huku Ankara ikiliunga mkono bara la Afrika kama sehemu yake ya sera za kigeni. Tukur ni miongoni mwa takriban wanafunzi elfu 10, wengi wao kutoka Afrika, ambao wamenufaika na ufadhili wa masomo kutoka Uturuki katika...
  12. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Simba fainali hii ni jambo la Kitaifa, ila mnaonekana mmedhamiria kuharibu hii burudani

    Simba tuache wivu wa kipumbavu, hii mvua tunajuwa wazi siyo swala la season Bali ni wivu wa kijinga tu kuharibu Burudani ya Kihistoria. Acheni hizo bana, ushindi wa Yanga ni heshima kwa Taifa, hebu fungeni hizo koki za mvua yenu ya kishirikina watu wafurahie Burudani.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM badala ya kujadili kero za ugumu wa maisha, anashauri Mawaziri wajengewe sehemu za starehe. Hii ni aibu

    Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Janejelly James ameishauri Serikali kuandaa eneo maalumu la viongozi kupumzika baada ya kazi akidai kuwa hivi sasa hali imebadilika kwa kuwa viongozi wameondolewa raha ya faragha na kusababaisha waonekane hawana maadili.
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Basi la Burudani kutoka Korogwe Tanga, lapata ajali Mbezi

    Watu kadhaa wanasadikiwa kupoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa, kufuatia ajali iliyotokea maeneo ya Mbezi Luguluni, ikihusisha Basi la kampuni ya Burudani, lililokuwa likitokeaa mkoani Tanga kuelekea Dar es Salaam, ambapo basi hilo linadaiwa kuwa lilikuwa kwenye mwendokasi, hivyo wakati...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kinywaji kitamu chaonekana Coco Beach

    Katika pita pita zetu maeneo ya koko beach tulikutana na bango la vinywaji ambacho hakikueleweka ni kampuni gani japo wananchi waliokuwa wanapita walionja onjaaa. Nasi tulijongea nasi kujipatia kamnyeso katamu japo katika dadisi dadisi zetu hatukuweza kujua ni kampuni gani? Basi leo tutarudi tena.
  16. yoteyametimia

    JamiiForums Tanzania Maproduza tuleteeni Come Dine With Me Tanzania

    Hiki ndo kipindi changu pendwa cha TV kwenye BBC Lifestyle channel 174. Mnakutanishwa watu wanne, tano au sita ambao hamjuani, mnatembeleana kila cku nyumba ya kwanza hadi wa mwisho halaf mshindi anapatika siku ya mwisho anashinda pesa, kaz yenu kupika chakula na kuwapa watu good time nyumbani...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Soka ni burudani, hii mechi iliisha Simba 3-1

    Mpira ni starehe, mpira ni ubishani, mpira ni ushabiki. Wewe na hisia zako za kidingi baki nyumbani au tafuta mchezo mwingine.
  18. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Hawa Wabrazil wa Singida Big Starz si wa kitoto

    Hapa nawacheck naona ligi kuwa ngumu sana kule top 4. Wana nguvu speed, wepesi, control na namna ya ukokotaji wa mpira na zile press ni hatari.
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania App ya Simba ni kama tunapoteza pesa kwenye ada kulipia tupate taarifa na burudani

    Mimi ni mwana-Simba na nilivutiwa sana kuona Simba ikizidi kusonga kidigitali ila hii digitali yao imelala nyuma kama kawaida yetu suala la ICT linakuwa tofauti na kulizika kabisa na mifumo yao. Hii App ya Simba tulitarajia mengi mfano ukilinganisha na app za club nyingine app zao unaweza kuwa...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yanga SC wanavyohangaika na Burudani za kuwa Mabingwa wa Michongo utadhani wamechukua Kombe la CAFCL au CAFCC

    Wakati wenye Akili tunajua kuwa mnaanzia hatua za Awali kabisa (za Wasiojua) kisha Mechi Moja tu mnarejea Kariakoo.
Back
Top Bottom