burudani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    Habari jamiiforum. .!! Mimi ni mgeni humu nashukuru rasmi nimeweza kujiunga jamii forum kwenye kambi kuu ya maarifa na burudani. Asanten
  2. E

    JamiiForums Tanzania Wakuu hili gitaa la huu wimbo limekaaje

    Habari za Leo wakuu, Hili gitaa la huu wimbo limekaaje.
  3. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Karagwe: DC aamuru kujengwa jukwaa lingine ili litumiwe na Waziri Mkuu, asema jukwaa la awali ambalo ni la kudumu limetiwa najisi na Tundu Lissu

    Siasa za Tanzania kusema kweli chama tawala kinatia aibu. Kesho waziri mkuu atakuwa Karagwe kwenye kampeni za uchaguzi mkuu. Sasa leo DC wa Karagwe ameamuru kujengwa jukwaa lingine baada ya jukwaa la asili ambalo alitumia Tundu Lissu kujinadi kudai kuwa limetiwa najisi. Yaani Tundu Lissu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nchi iko katika maombolezo, huku soka, harusi, sherehe na burudani zinaendelea, sasa kwanini kumpokea Lissu ndio iwe tatizo?

    Na sio hayo tu, hata upigaji wa kura za maoni kweny vyama vya siasa unaendelea. Sasa kwanini watu kwenda kumpokea mgeni/kiongozi wao ndio iwe tatizo? Ni wapi CHADEMA wamesema wataandamana? Kukutana airport huku kila mtu akitokea nyumbani Kwake, ndio kuandamana au ndio kufanya mkusanyiko usio...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa burudani, je ni kiwanja gani kikali kati ya hivi?

    Nina likizo ya kama siku 21, sasa nina kajisenti hapa ka kula burudani kwa muda huu wa likizo kisha nirudi kuendelea kutumika kwa mwajiri. Kwanza mimi situmii aina yoyote ya kilevi ila nina kilevi changu. Sasa naomba kujua kati ya maeneo haya ya burudani wapi napata kilevi changu au vilevi...
  6. East Wind

    JamiiForums Tanzania Upo kiwanja gani ( Sehemu ya burudani shangwe ) mwana JF

    Upo kiwanja gani ( SEHEMU YA BURUDANI SHANGWE ) mwana JF .. tujumuike kuinuana 😇
  7. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Live show Usiku wa Burudani na Don Nalimison.

  8. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Usiku huu Liverpool FC inanianzishia Furaha yangu, ila Siku ya Jumapili Simba SC itanikamilishia Burudani ya Mfululizo wa Ubingwa

    Asanteni sana Chelsea FC kwa Kuturahisishia Kazi baada ya Miaka 30, ila Prisons FC Jumapili mtatusamehe mno Simba Sports Club kwa Kichapo.
  9. Cannabis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yarekodi ongezeko kubwa la matumizi kwa "burudani/sherehe" za Ofisi ya Rais, lengo la ukusanyaji kodi 2019/20 lashindwa kufikiwa

    Ofisi za Rais Uhuru Kenyatta na Makamu wa Rais William Ruto zilitumia KSh1.18 bilioni kwa sherehe na maadhimisho mbali mbali, katika miezi tisa iliyopita hadi Machi 2020; hii ikiwa ni ongezeko la Sh422 milioni kutoka kipindi kama hicho kilichopita mwaka jana. Kulingana na taarifa zilizotolewa...
  10. Adamjuma94

    JamiiForums Tanzania Nani aliimba hii Ngoma?

    Huyu jamaa alikuwa ni bonge sio sana sema ana mwili wa kibabe fulani.Alitamba sana miaka ya 2000s Nakumbuka alishawahi kuwa ngoma inazungumzia kuwa anawapenda mademu wasiopenda chapaa na kitu kinachonifanya niikumbuke ile video ndani kulikuwa na muigiza wa kike enzi hizo:Sandra Sasa ningependa...
Back
Top Bottom