Uchaguzi 2020 Karagwe: DC aamuru kujengwa jukwaa lingine ili litumiwe na Waziri Mkuu, asema jukwaa la awali ambalo ni la kudumu limetiwa najisi na Tundu Lissu

dikteta2020

JF-Expert Member
Aug 14, 2018
595
3,990
Siasa za Tanzania kusema kweli chama tawala kinatia aibu.

Kesho waziri mkuu atakuwa Karagwe kwenye kampeni za uchaguzi mkuu.

Sasa leo DC wa Karagwe ameamuru kujengwa jukwaa lingine baada ya jukwaa la asili ambalo alitumia Tundu Lissu kujinadi kudai kuwa limetiwa najisi. Yaani Tundu Lissu alilitia najisi.

Aidha jukwaa hilo limetengenezwa na wafungwa.

Hapa ndipo yalipoibuliwa madai ya Rais Magufuli kujimilikishia ardhi ya hekari 25000.

Acha kesho tusikie.

My take
Kitu kilichonikera ni kuwa DC huyo katumia lugha chafu za udhalilishaji wa utu dhidi ya Tundu Lissu kuhalalisha kusudio lake hilo!
 
wagonjwa wa akili ni wengi nchini.wansidhi kihidia ni hatari.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
hawa ndio huwa wakiombwa jicho wanatoa ili mradi aliyeomba ni boss
 
Anajenga kwa hela za nani? Matumizi ya hovyo ya hela wa walipa kodi!!
 
Chadema wanashirikiana na mabeberu ni sahihi kuvunja hilo jukwaa.
 
Back
Top Bottom