burudani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Pombe: Sumu inayoua zaidi kuliko vita na gonjwa lolote, lakini tunaiita burudani

    Kuna vitu duniani ukivisikia vinaua, unajua moja kwa moja havina mjadala. Sumu ya panya? Unakimbia. Risasi? Unakimbia. Lakini pombe? Tunaweka mezani, tunaita “kutoa heshima” na tunamimina kwenye glasi. Na tusidanganyane — pombe ni sumu. Sumu yenye jina la kitaalamu ethanol, inayotengenezwa na...
  2. P

    JamiiForums Tanzania MATOKEO YA GOLI LA MAMA: TAIFA STARS WAANZA CHAN KIBABE

    Timu ya Taifa ya wanaume ya mpira wa miguu wametoa burudani la kibabe na kuwa washindi dhidi ya timu ya Burkinafaso. Nakubaliana na huu msemo kuwa msione vyaelea, vimeundwa. Msemo huu unajidhihirisha baada ya mama kuwekeza kwenye mpira kwa kutoa motisha kwa wafungaji kitu ambacho kimewaongezea...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kifaa cha burudani katika mbuga ya starehe Saudi Arabia chagonga chini, watu zaidi ya 20 wajeruhiwa

    RIYADH, Saudi Arabia (AP) — Ajali ya kifaa cha burudani katika mbuga ya starehe ya Green Mountain iliyopo magharibi mwa Saudi Arabia imesababisha majeruhi zaidi ya watu 20 na kulazimu mamlaka kufunga mbuga hiyo pamoja na kuamuru uchunguzi, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali. Ajali...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kagera: Watia nia CCM wakitoa burudani kwa wajumbe

    Wakuu ==== Watia Nia kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Kagera wakitoa burudani Kwa Wajumbe ukiwa ni mchakao wa ndani wa Chama hicho na uchaguzi unatarijiwa kufanyika siku ya Jumatatu Agosti 4, 2025.
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo aweka wazi Sekta 5 kinara wa Uchumi 2025/26. Sanaa na Burudani yashangaza kwa Ukuaji mkubwa

    Akiwasilisha Bungeni taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2025/26, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, ameweka mambo hadharani kwa msisitizo mkubwa akitaja sekta tano zilizoshika hatamu kwa kasi ya ukuaji wa...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tupate burudani kidogo

    Video hii ikimuonyesha moja ya mwanamke akizungumza katika mkutano wa hadhara Mambo hayo 🤣🤣🤣
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la kawaida kuona wana siasa wanaigiza tupate burudani mfano kule Kenya ila Tanzania wamezidi

    Hapa natoa mfano ila wenzetu Stive Nyerere aka lucas mwashamba kazidi mpaka tumemfahamu kwa kushiriki misiba mpaka kububujikwa na machosi. Sasa angalia movie. Unajua kwa nini lucas mwashamba kuwa na kuweka dot to dot.
  8. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Hafla zozote zinazomhusu Rais iwe ni marufuku kuwepo burudani za wachekeshaji, waigizaji au wasanii binafsi

    Mizaha mizaha itatumbua usaha, tusilee ujinga na upuuzi hadharani, hayo mambo tukiendelea kucheka nayo ipo siku, tena sio nyingi tutavuna mabua. Taifa linawapa kiburi na jukwaa pana na kubwa mnoo isivyopaswa kisa waliwahi kufanya mizaha mbele ya mheshimiwa rais. Hao wasanii, kwa nature ya kazi...
  9. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Miaka ya 1980s hadi 1990s, ndiyo ilikuwa golden Era ya mapinduzi ya burudani duniani.

    Kwanza niwape pole kwa yanayoendelea kwenye taifa letu . Tutapata tu jawabu .. anyway moja kwa moja kwenye mada. Miaka hiyo niliyoitaja hapo juu naweza kusema ndicho kipindi au zama za ulimwengu wa burudani ambapo ilikuwa ni zama ya aina yake . Walioishi hiki kipindi wanaweza kubaliana nami...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania POV: Kama hauko dimbani, itumie siasa kama burudani ila utakapo kubali ikufanye chombo chake utasambaratika na wala haitakukumbuka.

    Siasa ni unafiki in general ila Siasa za kiafrika ni ushetani overall. Ushetani mtupu usiojali utu. Siasa ni mchezo in general ila siasa za kiafrika ni vita overall. Vita ya kulinda kiti hata kama itahitajika damu kumwagika. Siasa ni wizi wa fikra isiokukubali in general, ukishindwa kuiiba...
  11. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Siku Hizi na Nguvu ya Mtandao: Tunajenga au Tunabomoa?

    Siku hizi, mtu akisema hana social media tunamshangaa kama kiumbe cha ajabu. Kila kitu kipo mtandaoni—kuanzia meme, trending stories, biashara, hadi mahusiano. Ila swali linabaki: Vijana tunatumia nguvu hii kujenga maisha yetu au tunajiharibia? 🤔 Nguvu ya Mtandao: Fursa au Burudani Tu? Kuna...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Watoto Media Library: Tupeane mapendekeza ya filamu, nyimbo au vipindi vinavyofaa kwa burudani, maadili na elimu ya Watoto

    Katika dunia ya leo, vipindi vingi vya kisasa vinaanza kuingiza maudhui yanayoweza kupotosha maadili, hata kwenye burudani za watoto. Ni jukumu letu kama wazazi na walezi kuchuja na kuhakikisha tunachagua cartoons, filamu, na miziki ambayo sio tu inaburudisha bali pia inalinda maadili mema na...
  13. Magical power

    JamiiForums Tanzania Baada ya masomo magumu na mazito,sasa tupate burudani kidogo

    Fundi wa Ving'amuzi alienda kurekebisha dishi la Azam kwenye Nyumba ya Wasomali , Baada ya kufika kwenye nyumba ile alimkuta Binti wa mwenye nyumba akiwa mwenyewe . Yule binti alikuwa na miaka 20 na yule fundi alivyomuona alitamani walau aonje yaliyomo kwahiyo baada ya kumaliza kazi alianza...
  14. Wakwetu03

    JamiiForums Tanzania TUZO ZA BURUDANI MBEYA 2024

    Blog ya @burudanimbeya wanakupa taarifa ya utoaji wa Tuzo Kwa wanasanaa wote nyanda za juu kusini ikijumuisha wanamichezo na dhumuni la hizi Tuzo ni kuonesha kutambua mchango wa watu Hawa hapa nyumbani. Kikubwa tulichovutiwa SISI ni namna ya mchakato wa upigaji kura ulivyowekwa kisasa...
  15. Wakwetu03

    JamiiForums Tanzania BURUDANI MBEYA YAJA NA TUZO

    Burudani Mbeya imekuja na TUZO za burudani Mbeya kwenye nyanja ya MUZIKI, FILAMU, COMEDY, MODEL, VIXEN, MPIRA na HABARI kupitia platform zake za blog, YouTube channel na Instagram. Kwa maelekezo zaidi na namna ya kupiga kura fuata link hii
  16. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Tupate burudani kidogo.

    Dominika njema.
  17. Sisa Og

    JamiiForums Tanzania Tufocus Kwenye Pesa, Misosi na Burudani Mapenzi Ni Scam

    Hii ndo kauli ntamwambia mwanangu. Ntahakikisha naharibu na kusambaratisha hisia za kuzingatia dem au boy kutokana na jinsia yake. Ntamwambia asije kumpa mtu moyo wake hata siku moja. Ntamwambia kwa kutuimia mifano. Naanza na hii: Ukipita sokoni utakuta kina mama kibao wanauza michicha na...
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwigulu analichukuliaje Taifa la Burundi

    Huwa najiuliza kipindi kile tunahoji utitiri wa tozo na makato kwenye mitandao ya simu inavosababisha maisha magumu Kwa Watanganyika Mwigulu alitujibu tuhamie Burundi Hii kidplomasia ipoje Kwamba Burundi ndo Taifa la dampo ya watu masikini Wa Burundi wanaonaje hili suala Yaani waziri wa...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania UZI MAHSUSI: Zilipendwa, audio/ video/ mashairi lyrics). Karibu upate burudani.

    Huu ni Uzi maalum wa kupata flashbacks za nguvu kutoka nyumbani Tanzania Na hata nje ya Tanzania. Karibuni kwa audio, video Na lyrics..
  20. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga vs Tabora imenifanya nitambue jinsi watawala wanavyotumia michezo na burudani kupumbaza jamii

    Jana jioni nilikaa eneo fulani nikiwa napambana na hamu ya kunywa bia (nimeacha ulevi ila day by day sio rahisi kusema kweli) nikasikia makelele Bar ya jirani. Ingawa sio mpenzi sana wa mpira, nikasema nijongee nione nini kinaendelea. Nikiwa pale, nikaambiwa Yanga ipo ICU, hivyo nikakaa kuona...
Back
Top Bottom