CHADEMA wamshangaa Komu kusubiri posho za ubunge, wajiandaa kumtosa

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,317
7,509
Chama cha Chadema kimesema kimemshangaa Antony Komu kuendelea kubaki CHADEMA ili kusubiri posho na huku Imani,itikadi na falsafa ya chama cha CHADEMA hana huku akiwa na itikadi ya NCCR-
Mageuzi

Amesema kesho wataweka wazi kuhusu hilo na ikiwezekana watamvua uanachama

E2022C00-3A24-4C6C-AD41-9C77BB89228F.jpeg

9A4FF49A-2771-4904-9DE7-C51DEA17DD21.jpeg
 
cutelove,
Huyu ni wa kupiga chini mchana kweupe kabisa..na mpaka tufike October basi tutakuwa tumewajua wapambanaji wote wenye mioyo ya uvumilivu na nitashauri wapewe hata tuzo ya uvumilivu maana tokea mfumo wa vyama vingi umeanzishwa sidhani kama kuna wakati mgumu vyama vya upinzani vimepitia kuliko hiki kipindi..!

(Mbele ajali, nyuma kutekwa, pembeni risasi!!!)na pia ushauri wangu kwa meko iwapo atashindwa kuwasambaratisha hawa jamaa huu mwaka wa 2020 basi hana budi kuungana nao tu ili kuisogeza Tanzania mbele zaidi. Maana nchi hii inahitaji watu majasiri kama hao watakaofanikiwa kubakia mpaka October.
 
Jamaa amebebwa Sana na Mbowe Ila malipo ndio haya... It hurts

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli, huyu jamaa alikuwa anagombea nafasi nyingi sana lakini alikuwa hapiti ,Mbowe kawabeba wengi sana sasa wanajiona wanaweza kusimamia kwa miguu yao wanambeza.

Lakini nakutabiria wote walio hama kwenda CCM hakuna hata mmoja atakayerudi kwenye kura za maoni na NEC ikilazimisha kuwarudisha utatokea mgogoro kwa wanachama wao, hivyo chadema watakuwa wamepata faida kupitia wanachama hao kuchukia

Kwa sasa tuendelee kutilia mkazo tume huru , kwa sababu naona ipo dalili ya serikali kupata kibano kama itaendesha uchaguzi kwa tume hii.
 
Ni sawa na kumwambia mpenzi wako nimekubwaga lakini nasubiri cha asubuhi kwanza nile ndio nikupige chini
Chama cha Chadema kimesema kimemshangaa Antony Komu kuendelea kubaki CHADEMA ili kusubiri posho na huku Imani,itikadi na falsafa ya chama cha CHADEMA hana huku akiwa na itikadi ya NCCR-
Mageuzi

Amesema kesho wataweka wazi kuhusu hilo na ikiwezekana watamvua uanachama

View attachment 1403459
View attachment 1403460

Jr
 
Back
Top Bottom