Bunge letu ni bunge la ajabu kweli! Je wanawakilisha wananchi gani? ni wabaguzi na wabinafsi wasiludi uchaguzi ujao

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Sijui ni utoto na mzaha wa Ndungai? Au ni kibri cha Tulia Akson? Wamejipunguzia masaa ya kufanya kazi wakati mshahara wao na posho zikiwa vile vile, baada wakate pesa zao ziende kwenye kupambana na corona wao wanajipunguzia masaa ya kazi!

Wanapitisha kujipunguzia masaa ya kazi kisa corona wakati wafanyakazi wengine wanafanya kazi masaa zaidi ya 12 kwanini wasiwe fare? wakapitisha maazimio ya kupumzika kwa wafanyakazi wote wa umma ? kwanini wajipendelee wao tu?

Mbunge analipwa mil 12 posho za vikao, pesa za mfuko wa jimbo lakini yapo yapo tu kama mazombi kuwatetea waliowapeleka bungeni hawawezi wapo kula pesa za bure za walipa kodi.

Mnakula pesa ya bure na mnashindwa kuwatetea watu wanaolipwa laki 5 nao wapumzike kwanini nyie mpumzike masaa yote ayo kipindi cha miezi 3 halafu mnabaki wagonga meza mnafaida gani, Watanzania hatuna bunge wabunge wote mwaka huu wasirudi bungeni ni wauni fulani na wapo kwa maslahi yao sio umma.
 
Sijui ni utoto na mzaha wa Ndungai? Au ni kibri cha Tulia Akson? Wamejipunguzia masaa ya kufanya kazi wakati mshahara wao na posho zikiwa vile vile, baada wakate pesa zao ziende kwenye kupambana na corona wao wanajipunguzia masaa ya kazi!
Waombee ile dua yako bwashee!
 
Nyie wananchi hamna umoja wao wamewagawa mmebaki kutukukana,kuchukiana ila wao pamoja na kutofautiana kwao ila mwisho wa siku wana umoja kwenye masilahi yao. Sisi tutabaki kuitana majina ya ajabu ajabu na kudharauliana na kibaya zaidi tunatetea yale yaliyo na masilahi kwao pasina kujua.

Chuki zetu kwa ccm,ushabiki wetu kwa ccm na vyama vya upinzani hakuna tunachofaidika bali wanaonufaika ni wao tu.
 
This is saddening and pathetic news kwa nchi kama Tanzania na salary scale za 250k. Kweli hii nchi inahitaji kuaguliwa
 
Back
Top Bottom