bunge

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Bukoba imemwachia huru aliyekuwa mgombea Ubunge Bukoba Mjini (CHADEMA), Chief Kalumuna na wenzake 6

    Tulionya Mapema sana kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu katika lolote , na nadhani hata nyinyi wenyewe ni mashahidi, wote waliojipa uungu Mtu na kujimwambafai wanazidi kupukutika huku wengine wakiwa njiani. Video hii inaonyesha umati wa watu wa Bukoba wakishangilia baada ya aliyekuwa...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kutembelea Kenya kwa ziara ya siku mbili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaSamia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya siku mbili nchini Kenya Anatarajia kufanya ziara hiyo kuanzia Mei 4, 2021 ambapo atapokelewa na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Ziara hii ya Rais Samia Suluhu Hassan itaambatana na ufunguzi wa kongamano la...
  3. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Barua ya CHADEMA kama Bunge lilipokea kwanini Naibu Spika anakataa?

    Nimekuwa najiuliza hawa Viongozi walioapa kuilinda na kufanya kazi zao kwa kuheshimu Katba kwanini wanasema uongo? Juzi ktk kikao cha Bunge Mmoja wa Wanachama waliofukuzwa na Chadema aliliambia Bunge kuwa alifukuzwa uanachama lakini kwa Nguvu na Sauti kali Naibu Spika akamwamuru eti Afute hiyo...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kama makubaliano juu ya muungano hayakuridhiwa na Baraza la Mapinduzi la Zanzibar, muungano wetu ni halali?

    Hili ni swali muhimu sana kwa mustakabari wa muungano wetu. Maana ni miaka 57 toka tumeungana lakini inasemekana articles of union ya awali haijawahi kuwekwa hadharani. Mbali ya hilo inasadikiwa kuwa haikupelekwa kwenye baraza la wawakilishi ili iweze kujadiliwa na kuridhiwa kama ilivyokuwa...
  5. APA CHICAGO

    JamiiForums Tanzania Samahani Kwa Wabunge wetu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Salaam kwenu wanabodi wa jukwaa hili kubwa na lenye heshima ndani na nje ya nchi yetu.Sio tu linaheshima lkn pia lina taarifa za kuaminika. Nimeanza na neno samahani kwa wabunge wetu kwa sababu kelele zimekuwa nyingi sana huko bungeni wengi wa wabunge wanaopata nafasi ya kuchangia wamekuwa...
  6. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Viongozi serikali bunge na mahakama pateni mipesa yote ila wananchi wanyonge wanachoangalia ni mumewasaidiaje?

    Kama kichwa kinavyojieleza lipaneni mipesa yote kama mishahara na miposho mtakula na mtakufa hamtaishi milele kumbukeni wanyonge walio wengi
  7. T

    JamiiForums Tanzania Naona mwanamke ndio anafaa kuongoza Bunge linaloendana na Rais Samia Suluhu. Tunao Gaudencia Kabaka, Anna Mghwira n.k

    Kiu ya Rais wetu ni kuona Bunge linajadili vitu kwa upana na kwa kuwa bunge chini ya Spika Ndugai anaonekana kuzidiwa lakini anashindwa kusema asaidiwe kwa sababu Mhe. Rais anapenda kuona kuona wanaozidiwa wanaomba kusaidiwa lakini hafanyi hivyo basi kwa niaba yake tunaomba Mhe. Rais msaidie...
  8. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bunge linawakumbatia Wabunge wasio na sifa?

    Wakuu pengine tujadili kidogo kua kwa nini Bunge kinawakumbatia wabunge wasio na sifa za ubunge. Naibu spika wa bunge Dr. Tulia Ackson naona anawakumbatia wabunge hao. Je, nini maoni yako? Tujadili hili.
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika Dkt. Tulia: Jesca Kishoa hii kauli yako either uifute, ofisi ya Spika haina taarifa ya wewe kuondolewa kwenye chama chako

    Mbunge Kishoa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amelalamikia kunyimwa nafasi ya kufanya mikutano ya kisiasa kabla hajaondolewa kwenye chama chake. Naibu spika akalazimika kuingilia kwa kusema haihitaji kuwa naye bungeni kama hana chama cha Siasa kwani ni takwa la kuwemo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hili la 'Rais' kulihutubia Bunge tukiamini ni tukio 'Kubwa' halafu kuna Wabunge wanaanzisha Nyimbo na Pambio Kusifu nalo pia ni la Kikatiba?

    Leo nimekesha Kufanya Utafiti (Kuchunguza) ni nchi gani nyingine duniani ambayo Rais akiwa 'analihutubia' Bunge Waheshimiwa Wabunge katikati ya Hotuba yake 'humkatisha' kwa Kuanza kuruka 'Sarakasi' Vitini mwao, kuimba Nyimbo na Pambio za Kusifu na Kupongeza. Je, hili la Wabunge 'Kuingilia'...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Makofi ya leo bungeni, wabunge wapatiwe huduma ya kwanza

    Sijui ni kuzidiwa na utamu? Au ni umafiki? Au ni sababu ya kupata ladha mpya!! Waitwao wabunge leo wa CCM na wale covid-19 walipigia makofi kila alichokisema mama Kuna wakati hata hayakuhitajika lakini yalipigwa... Meza za bunge leo zimeipatapata na viganja vya waheshimiwa kama havijavilia damu...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Bunge, Rais atakapohutubia Aprili 22, 2021

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA NA. MUDA SHUGHULI MHUSIKA 1. 3:00 – 5:00 Asubuhi Kikao cha Bunge Spika/Katibu wa Bunge 2. 5:00 – 8:00 Mchana Shughuli za Kiutawala Ukumbini Katibu wa Bunge/Chief of Protocol 3. 8:00 – 9:00 Alasiri Waheshimiwa Wabunge na...
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Suluhu Bungeni: Spika awaonya watakaovaa tai nyekundu

    Leo bunge limetengua kanuni kuruhusu wageni wasioruhusiwa kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge wakati wa hotuba ya Rais Samia Suluhu, miongoni mwao ni Makamu wa Rais, Philip Mpango na Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi. Pia spika Ndugai aliwashauri wabunge wasivae tai nyekundu kwasababu ni kwaajili...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Rais Samia kulihutubia Bunge: Barua ya Wazi kwa Spika wa Bunge Job Ndugai

    Mheshimiwa Spika, Nakusalimia kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Natambua leo ni siku ambayo rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan analihutubia Bunge la nchi yetu. Na mimi kama mwananchi nimelazimika kukuandikia barua hii ili kwayo uweze kutafakari, pengine itakusaidia wewe katika...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni bora angesubiri kwanza achaguliwe Mwenyekiti wa CCM Taifa ndio ahutubie Bunge?

    Katika hali ya kawaida, Rais Samia atapaswa kuwa mnyenyekevu na mpole kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM unaotaraijiwa kufanyika April 30 mwaka huu(nimesoma mahala), mkutano utakaokuwa na jukumu la kumchagua mwenyekiti wa CCM Taifa huku mama Samia akitarajiwa kuwa ni mgombea pekee. Kwa mantiki...
  16. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Bila maombi maalum kwa Rais, hatuwezi kuishi kwa Amani na Utulivu nchini

    Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu hili ni jambo zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu wetu. Kwa mfano imeandikwa hivyo katika 1TIMOTHEO 2:1-4 “Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; kwa ajili ya WAFALME NA WOTE WENYE MAMLAKA...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Rais ni sehemu ya Bunge; inamaanisha ndiye Mkuu wa Bunge?

    Kuuliza siyo ujinga. Mosi Rais ni sehemu ya Bunge naomba kuelimishwa maana yake kisheria zaidi. Pili naomba kuelimishwa tofauti ya Parliament na National Assemby kisheria zaidi. Ramadhan Kareem.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa Bunge na kitisho kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kuna msemo unasema kiendacho kinazunguka hurudi kinazunguka. Wabunge takribani Asilimia 95 walipatikana kwa kauli na Maamuzi ya Hayati Dkt. Magufuli wakati akiwa mwenyekiti na katibu wake Dkt. Bashiru (Rejea mchakato baada ya Kura za maoni) Kawaiyo jamaa hao wataendelea kulihusudu jina la...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Bunge likavunjwa ni mpinzani gani atarudi Bungeni? Msipende makelele yasiyo na tija kwenu kisa mpo huru kuongea

    Ni kweli kabisa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayo mamlaka ya kuvunja bunge na kisha kuitisha uchaguzi. Sababu za kuvunja Bunge na kuitisha uchaguzi zipo ibara ya 90 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli kama Bunge litakataa kupitisha hoja ambazo zina maslahi kwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Rais Samia ametuandalia futari Wabunge na Wafanyakazi wote wa Bunge siku ya Alhamisi 22/04/2021

    Spika wa bunge Mhe. Ndugai amewatangazia wabunge na wafanyakazi wote wa Bunge kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amewaandalia futari siku ya Alhamisi mara baada ya Rais Samia kulihutubia Bunge. Zoezi la kufuturu litafanyika hapo hapo bungeni Chanzo: Eatv Habari Ramadhan Kareem!
Back
Top Bottom