bunge

  1. F

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu na Bunge wamemtendea haki Hayati Magufuli

    Jana Bungeni Waziri Mkuu alibainisha wazi kuwa Serikali ya Awamu ya Sita itaenzi ‘legacy’ ya Magufuli. Alitaja mambo kadhaa kama vile kupinga rushwa; kuwajali wanyonge; na miradi ya kimkakati. Waziri wa Fedha pia alikemea wanaomrushia ‘mishale’ Hayati. Pia wabunge wengine kama Lusinde...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe anakuwa sehemu ya mjadala wa bunge la bajeti pasipo na ulazima? Je, ni kwa sababu ni Mtu Maarufu?!

    Jana na Leo jina la mbunge wa zamani Freeman Mbowe limekuwa likitajwa tajwa sana bungeni huku wabunge wakipiga makofi na wengine vigelegele. Nijuavyo mimi hili ni bunge la bajeti na Freeman Mbowe siyo mbunge na wala hajishughulishi na kazi za bunge Kinachonishangaza wabunge wanapojadili...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani Nchini Somalia na Baraza la Seneti wamepinga uamuzi wa Bunge kuongeza muda wa urais kwa miaka miwili

    Viongozi wa upinzani nchini Somalia na majimbo ya mkoa wa Jubbaland na Puntland, pamoja na baraza la seneti la nchi hiyo, wamepinga uamuzi wa bunge la nchi hiyo kuongeza muda wa urais kwa miaka miwili. Bunge la Somalia Jumatatu lilimwongezea muda Rais Mohamed Abdullahi Farmajo kuwa madarakani...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Bunge si chombo sahihi kujadili na kuazimia kuhusu ripoti ya CAG,lipo biased

    Ukitafakari kwa kina utaona hakuna umuhimu wa ripoti ya CAG kupelekwa Bungeni. Spika wa Bunge amekuwa mtu wa Kwanza kudharau kazi ya CAG ambayo wapo wataalamu wanalipwa kuifanya. Aliikataa bila sababu za msingi ripoti ya Prof. Assad CAG mstaafu na leo ameonyesha wazi kutokubaliana na ripoti ya...
  5. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG

    Spika wa Bunge Job Ndugai, amezitaka kamati za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) zichambue ripoti ya CAG na kuiwakilisha bungeni katika mkutano wa nne, kwa kuwa inapotoshwa huku akimtaja Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuwa mmoja wapo Spika wa Bunge...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yawasilisha hoja ya fidia

    Kamati ya Bunge Mambo ya Nje na Usalama imewasilisha hoja maalum katika Kamati ya Bunge ya Uongozi kuhusu migogoro ya fidia kati ya wananchi na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ). Akizungumza wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo Jumatatu Aprili 12 2021 Spika wa Bunge Job Ndugai amewataka...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mbona Bunge limevurugika?

    Si siri tena, sasa hivi kunaonekana mpasuko mkubwa ndani ya bunge kiasi inakuwa aibu kuangalia na watu inakuwa kama tunaangalia mpira na makelele ya kushangilia. Ni kwanini bunge letu linakosa heshima na limekaa kiumbea umbea kiudaku udaku kusutana sutana, halipo kiufundi lenye kujielewa, yaani...
  8. Tumia akili

    JamiiForums Tanzania Kitambaa cheusi ndani ya Bunge la Marekani, Spika wa kwanza afariki akiwa ofisini

    Marekani, August 19, 1876, Michael C. Kerr alikuwa spika wa kwanza wa baraza la Congress kufariki akiwa madarakani. Alifariki kwa ugonjwa wa consumption (TB). Huyu alitokea jimbo la Indiana. Mpaka sasa wamefariki watano wakiwa katika hiyo nafasi. Alifariki ikiwa ni mara yake ya pili kuchaguliwa...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Ziara za makundi mbalimbali zasitishwa ili kuepuka msongamano

    Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ambaye pia ni mbunge wa Mbeya Mjini ametangaza kusitisha ziara mbalimbali bungeni. Bunge limekuwa likipokea ziara za mafunzo kwa wanafunzi na makundi mengine, Naibu Spika amesitisha ili kuepuka msongamano wakati huu wa bunge la Bajeti.
  10. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Wabunge ishaurini Serikali, iendelee kununua ndege au isitishe

    Dodoma. Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka wabunge kuchangia Mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa kuishauri Serikali kama iendelee na mpango wake wa kununua ndege au isitishe hadi itakapoweka mambo sawa. Ndugai amesema hayo bungeni mjini Dodoma leo Alhamisi Aprili 8, 2021 kabla...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya kubainika ufisadi wa kutisha, anataka kujifichia kwenye Mradi Bandari ya Bagamoyo?

    Eti, Rais hakushauriwa vizuri kuhusu mradi wa ujenzi bandari ya Bagamoyo, Wakati huohuo yeye ndiye mshauri mkuu wa serikali, alikuwa wapi? Raisi wetu amefariki ndo kunampa mwanya wa kumwandama na kumkandia kila Neno Baya, sasa tunataka mtwambie kama Kweli kazi yenu ni kuishauri serikali na...
  12. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania CAG Assad Mungu ampe maisha marefu sana. Aliweka wazi kuwa Bunge ni dhaifu halafu kuna watu wakaja juu na kumuondoa

    Mh CAG Assad Mungu ampe maisha marefu sana,aliweka wazi kuwa bunge ni dhaifu halafu kuna watu wakaja juu na kumuondoa. Ule udhaifu aliousema ni huu uliotufikisha hapa leo. KATIBA imeweka wazi kazi ya bunge ni KUSIMAMIA na KUISHAURI serikali. Hii kazi ya KUSIFU tu wameitoa wapi? Tulijiuliza...
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kabla siku hazijaenda sana: Bunge litunge sheria vyama vya siasa kutopiga kampeni kabla ya uchaguzi

    Haya alifanya JPM najua ilikuwa ni utashi na sio sheria sasa ipitishwe rasmi. 1: Hakuna mikutano ya hadhara ya kisiasa kabla ya kampeni. Tuwaache waliochaguliwa katika maeneo yao ndio wawe wanaongea na wananchi wao. 2: Mikutano ya ndani ya kisiasa hiyo ibaki wakiimarisha vyama vyao. Tuwe...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Ningependa bunge liwe live wananchi waone mijadala

    Nape Nnauye alikuwa mmoja kati ya panel iliyokuwa ikijadili mwelekeo wa serikali ya Rais Samia, akiwa pamoja na Dr. Marcus pale Azam Tv. Nape alitakiwa kujibu shutuma ya Dr.Marcus kuwa yeye Nape ni moja ya watu waliokuwa mstari wa mbele kukandamiza upatikanaji wa habari kwa kuanzisha sheria ya...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Algeria: Upinzani watangaza kususia Uchaguzi wa Bunge

    Chama cha upinzani cha kisoshalisti nchini Algeria FFS kimetangaza kitasusia uchaguzi wa bunge wa mapema uliopangwa kufanyika mnamo Juni 12 kikisema mazingira ya kufanyika uchaguzi huo hayaridhishi. Baraza la Taifa la chama cha hicho limesema matayarisho kuelekea uchaguzi huo siyo rafiki na...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Naona Bunge la Katiba katika awamu ya sita

    Kitendo cha Profesa Kabudi kurudi katika wizara ya katiba na sheria, na ukizingatia Rais wa Jamuhuri ya Muungano ni Mzanzibari na marais wote yaani wa Jamuhuri na Zanzibar wote ni wa kisasa. Zingatia vilevile kuwa wahafidhina wa muungano wa sasa wa kipekee hawapo, mimi simuoni Mwl. Nyerere...
  17. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

    Jina hilo limepelekwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri, na kukabidhiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai. Spika Ndugai akisoma ujumbe wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema.. Mheshimiwa Spika, nawasilisha Bungeni Jina la Mheshimiwa Philip Isdori...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai atatizwa na tafsiri ya Katiba, aamua kumruhusu Dkt. Mpango kuwaaga wabunge wenzake kabla ya kuthibitishwa na Bunge

    Spika Ndugai amekiri kupata wakati mgumu kwenye kuitafsiri Katiba iwapo Dkt. Mpango awaage wabunge wenzake kabla ya matokeo ya kura kutangazwa na kumthibitisha au baada yake. Amesema iwapo atamtangaza Dkt. Mpango amepitishwa kuwa Makamu wa Rais basi haitawezekana tena mteule huyo kupewa fursa...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Mkutano wa Bunge la bajeti unaoanza Machi 30

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, litafanya mkutano wa Bajeti kuanzia Machi 30 hadi Juni 30. Katika Siku ya Kwanza ya Mkutano, Bunge litatambua Mchango wa Rais wa Tano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli na kuenzi maisha yake. Pia wameazimia kumpongeza Rais wa Sita wa Tanzania, Samia...
  20. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

    Salamu wakuu Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa Rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu. Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
Back
Top Bottom