Waheshimiwa wawakilishi, viongozi wa taifa, hoja hii inafikishwa kwenu kwa kile kinachoonekana kuwa hakina mfuatiliaji jijini Dar. Hiki ni ile kero inayowasibu madreva wa magali binafsi inayosababishwa na genge la kamatakamata ya magari barabara za mitaa ya jiji.
Hili genge huibuka na kupotea...
Taarifa mbaya kutokea Kenya
Jengo la Bunge la Kaunti ya Nyamira lilojengwa kwa thamani ya Milioni 379 za Kenya limeporomoka mapema leo
Kazi ya uokozi inaendelea na hadi sasa watu 8 wamepata majeraha makubwa
Thamani ya fedha ya ujenzi ni Billion 7,959,000,000 za Tanzania
=======
At...
Kaimu Kamishna wa Kitengo cha Huduma za Sheria, Christina Rweshabura, ameyasema hayo leo mbele ya Wahariri wa vyimbo vya habari jijini Dar es Salaam wakati wa mafunzo ya mpango kazi kwa ajili ya kutambua mchango wa wanahabari katika kutoa elimu kwa jamii kuhusu kuzuia na kipambana na dawa za...
Juzi spika aligusia kidogo suala la ajira kwa walimu na kuishauri serikali kutoa kipaumbele cha ajira kwa walimu wengi wa kiume kuliko wanawake.
Hoja ya spika ina mashiko kwa sababu nature 'asili' ya wanawake wengi hupenda raha na sio wavumilivu wa mazingira magumu.
Kwakuwa uhitaji wa walimu...
Habari wadau..!
Najua humu ndani kuna greater thinkers wengi ,kama jambo tutalipitisha hapa basi bungeni watalitafakari kwa kina.
Nchi nyingi duniani zimehalalisha matumizi ya bange na wanatengeneza pesa ndefu sana .
Kwa kwetu pamba,korosho ,kahawa naona zinasuasua kwa nn basi tusipigie...
Awamu ya tano ndiyo iliyoasisi ajira za kifichoni. Taratibu hazikufuatwa kabisa kabisa. Awamu hiyo ilipoingia tu Taasisi za Serikali kwa kiasi kikubwa ziliacha kushindanisha wafanyakazi. Ikawa ni kuchukua tu mtoto wa dada weka pale.
Ndugu yake Spika weka pale, nk. Ndugu yangu alisafiri na Mkwe...
Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo.
Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na...
Bunge lililopita lilikuwa lenye Wabunge wa CCM na wa vyama mbadala. Hoja zinapotolewa na Wabunge wa CCM hata kama hazina uzito wowote zinashangiliwa lakini zikitolewa hoja zenye maslahi ya Wananchi kwa kiasi gani, kama mleta hoja hiyo siyo CCM basi atazomewa, ataombewa miongozo au tàarifa ya...
Wengi tulilia Bunge liwe live tukidhani tunahitaji Bunge bila wabunge walio live.
Leo tuna Bunge bila wabunge, tuna Bunge live bila wabunge live Jambo linalopelekea bunge la bajeti kukosa mvuto na kuonekana kama sehemu yakulipana posho.
Toka Bunge limeanza Hadi leo mtifuano wa hoja hakuna...
Spika Ndugai amewataka wabunge kutimiza wajibu wao wa kikatiba kama mhimili wa kuibana, kuihoji na kusimamia serikali wakati wote tena bila kuchoka.
Spika Ndugai amehoji kama wabunge wanashindwa kufanya kazi hiyo wanataka nani mwingine aifanye?
Chanzo: ITV habari
Jumatatu iliyopita Wabunge ambao waliripotiwa kuwa ni mashabiki was Yanga waliingia Bungeni wakiwa na bashsha
Bila kuficha furaha yao walinyoosh vidole vyo juu wakiashiria kufurahia kipigo ilichokipata Simba mbele ya Kaiser ya Afrika kussini.
Nilijiuliza maswali mengi kwa tukio like lissilo...
Mbunge Issa Mchungahela amesema Taifa haliwezi kuendelea bila kuendeleza Viwanda na vitu vyote vinavyozungumwa haviwezi kufanikiwa. Amesema hayo wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara
Aidha, Mbunge huyo amesema Vipaumbele vya Bajeti za Serikali vimekuwa havizingatiwi...
Mbunge wa Viti Maalum Neema Lugangira amesema bado kuna changamoto kubwa kisheria kwa upande wa suala la kugharamia matunzo ya Watoto kwa Wanawake wanaoachiwa kuwalea bila msaada wa Baba.
Akiwa Bungeni amehoji kama Serikali haioni haja ya kurekebisha Sheria zilizopo ili gharama ya matunzo ya...
Ndani ya miezi sita wabunge watatu wameshafariki lazima tuhoji kulikoni hata kama wengine tuliambiwa walipata ajali.
Kwani wabunge wakichukua tahadhari ya Corona watapungukiwa na nini?
Spika pale mbele anakaa peke yake (social distance) huku third class kwa akina Halima Mdee full kubanana na...
WADAU Nawasalimu. Hakika Kati ya Vitu ambavyo Hayati BABA wa TAIFA alivisimamia na Kuvisemea Muda wote na Kwa Nguvu zake zote ni KATIBA ya NCHI. Hayati BABA Wa TAIFA alikuwa Anasisitiza VIONGOZI wote WALIOAPA Kuitii, Kuiheshimu na Kuitetea KATIBA.
Katika UTAWALA wa AWAMU ya PILI kulikuwa na...
Binafsi nampongeza sana bi Nenelwa Muhambwi kwa kuteuliwa kuwa Katibu wa bunge la JMT.
Katibu wa bunge ndio kiungo muhimu kati ya bunge na serikali tuna imani utakwenda kutenda haki.
Kadhalika utawakuta wale wabunge 19 wa Chadema ambao ubunge wao una utata, Tafadhali kamshauri ipasavyo mh...
Hivi punde Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa huku wanawake wakiwa wachche mno ktk uteuzi huo.
Akilihutubia Bunge kasema atawateua wanawake kwa wingi ktk teuzi zake. Mbona imekuwa kinyume?
Je hakuna wanawake wenye uwezo wa kuongoza mikoa au kashauriwa tofauti na watu wenye...
Kwenu Maaskofu, Amani ya BWANA iwe nanyi,
Ni matumaini yangu, mnaendelea salama na kwa amani tele katika majukumu yenu ya kuwapa chakula cha roho kondoo wenu.
Nimeonelea leo niongee nanyi ili kuwaomba wazee wetu mtusaidie sisi Wananchi wenzenu ambao wengi ni kondoo wenu katika tatizo hili...
Mbunge analipwa mshahara wa 3.8M kwa mwezi, anapata posho 8M kila mwezi, jumla 11.8M. Akiwa kwenye kikao analipwa posho ya kikao 240K kwa siku na posho ya kujikimu 120K, jumla 360K. Bunge la bajeti litakaa kwa miezi mitatu, akihudhuria vikao vyote atapata 32M, wastani wa 10M kwa mwezi. Kwahiyo...
Kufuatia huduma za bandari ya Dares salaam kuzorota kwa mwezi mzima sasa na wateja kuanza kulalamika kwa huduma mbovu wanayopewa ,waziri mkuu mh Kassim Majaliwa leo tarehe 12 mwezi may amefanya ziara ya kushitukiza ili kujonea tatizo ni nini.
Ikumbukwe leo mbunge Costa Chami alitoa hoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.