Bunge baada ya kuchokwa kwa muda mrefu wamekuja na kiki ya ku-trend

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,152
20,329
Bunge lililokosa uungwaji mkono na wananchi walio wengi kwa muda sasa wananchi wamelipotezea na kulisusa.

Ktk mitaa mingi mikoa na wilaya watu hawamjui hata Waziri wa Kilimo ni nani wala waziri wa Maji.

Imefika mahali watu wanahamia kwenye hoja na mojadala ya mitandaoni kama Facebook, Youtube, twitter na Instagram, wanaona kusikiliza bunge linalolinda maslahi ya watawala tu na viongozi ni kupoteza muda.

Sasa kumeibuka kukurukakara nyingi tangu juzi kuanza kwa Bunge la November 2023.

Wabunge woote wanajifanya yanawaudhi yale yanayofanywa na serikali.

Ikumbukwe wananchi wamelia sana kuhusu ubadhilifu na matumizi mabaya ya fedha za serikali huku wakineemeka waliokuwa wateuliwa na wateuaji.

Hata juzi tu wamepitisha mswada wa sheria utakaowapa Malipo ya mamilioni wake za viongozi. Hivi ni Kweli Mama Salma Kikwete ana shida na hela au shida na maji kama yule bibi wa Kule Lindi Mtaa wa Kariakoo??

Hata hivyo kuna nadharia mbili zinatokana na fujo na makelele wanayopiga sasa huko Bungeni dodoma.

1. Huenda wamekaa kikao wakakubaliana waje kupiga mikwara bubu ili ionekanw ccm inafanya kazi.

2. Watu wachache ktk kundi la wengi wafuja mali za umma wamezidiwa kete kwenye upigaji sasa wanagombania maslahi....hao akina Mpina na Msukuma ndio hao hao juzi kwenye DPW hatujaona wakitetea maslahi ya Nchi.

3. Ni Hofu ya uchaguzi sasa kila mbunge ispokuwa Jenista( ana hati miliki) ana hofu ya kurudishwa na Wananchi, sasa wameona japo wazuge ili kuhadaa wananchi wasiojielewa.

Nyie wabunge mnaopiga kelele huko mjengoni mnapoteza muda na nguvu nyingi tumeshawagundua

Endeleeni kuungana na wapigaji tu. Mle mshibe, msaze mfanye anasa na baadae hizo mali mwende nazo Mbinguni na Mtazikwa nazo.

kwani shida iko wapi?
 
Watanzania ujinga mwingi sana .....hakuna elimu huko .....wakipewa kanga wali....wanapitisha tu ....hawajali huko mbeleni....sasa tunajuta hakuna wa kuwadhibiti majizi....kila halmashauri wanaiba mnoooo
 
Bunge lililokosa uungwaji mkono na wananchi walio wengi kwa muda sasa wananchi wamelipotezea na kulisusa.

Ktk mitaa mingi mikoa na wilaya watu hawamjui hata Waziri wa Kilimo ni nani wala waziri wa Maji.

Imefika mahali watu wanahamia kwenye hoja na mojadala ya mitandaoni kama Facebook, Youtube, twitter na Instagram, wanaona kusikiliza bunge linalolinda maslahi ya watawala tu na viongozi ni kupoteza muda.

Sasa kumeibuka kukurukakara nyingi tangu juzi kuanza kwa Bunge la November 2023.

Wabunge woote wanajifanya yanawaudhi yale yanayofanywa na serikali.

Ikumbukwe wananchi wamelia sana kuhusu ubadhilifu na matumizi mabaya ya fedha za serikali huku wakineemeka waliokuwa wateuliwa na wateuaji.

Hata juzi tu wamepitisha mswada wa sheria utakaowapa Malipo ya mamilioni wake za viongozi. Hivi ni Kweli Mama Salma Kikwete ana shida na hela au shida na maji kama yule bibi wa Kule Lindi Mtaa wa Kariakoo??

Hata hivyo kuna nadharia mbili zinatokana na fujo na makelele wanayopiga sasa huko Bungeni dodoma.

1. Huenda wamekaa kikao wakakubaliana waje kupiga mikwara bubu ili ionekanw ccm inafanya kazi.

2. Watu wachache ktk kundi la wengi wafuja mali za umma wamezidiwa kete kwenye upigaji sasa wanagombania maslahi....hao akina Mpina na Msukuma ndio hao hao juzi kwenye DPW hatujaona wakitetea maslahi ya Nchi.

3. Ni Hofu ya uchaguzi sasa kila mbunge ispokuwa Jenista( ana hati miliki) ana hofu ya kurudishwa na Wananchi, sasa wameona japo wazuge ili kuhadaa wananchi wasiojielewa.

Nyie wabunge mnaopiga kelele huko mjengoni mnapoteza muda na nguvu nyingi tumeshawagundua

Endeleeni kuungana na wapigaji tu. Mle mshibe, msaze mfanye anasa na baadae hizo mali mwende nazo Mbinguni na Mtazikwa nazo.

kwani shida iko wapi?
Hawa wanafiki wameona uchaguzi unakaribia ndiyo wanajibebisha kwetu tuwaone ni wenzetu. Nitafurahi kama wabunge wote wa bunge hili watakataliwa kurudi tena mjengoni 2025,itatuheshimisha sana watanzania
 
Mbuge ccm hasubiri ridhaa ya mwananchi kumrudisha bungeni.. Yeye chama chake kikishampitisha kura za maoni imeenda hiyo...
 
Walidhani tumesahau.....tunawakumbusha tu kuwa ngoma iko pale pale
 
Mbuge ccm hasubiri ridhaa ya mwananchi kumrudisha bungeni.. Yeye chama chake kikishampitisha kura za maoni imeenda hiyo...
Ni kweli yeye akishapewa Go ahead na Rais kupitia tume na wale jamaa basi tena.
 
Kuna watu mnakosa kumbukumbu ya mambo. Jaribu kutafuta taarifa kabla huja-post, moja ya wabunge waliongea sana kuhusu sakata la DPW ni Mpina na Msukuma bila kujali maoni yao.
Tukubali kuwa suala la Bandari halikuwa la kutetea bali ni kushauri na kuonyesha dira sahihi ya uendeshaji wa bandari zetu kwani wengi wetu uwekazaji tuli/nahitaji sana.
..................was just to put clear..................
 
Hakuna bunge pale, ni mabeberu meusi yanakula pesa za walalahoi. Yamefuta bima kwa mtoto yakatunga sheria ya mafao kwa wenzi wa Viongozi. Very stupid.
 
Back
Top Bottom