Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,787 Reaction score 37,991 Oct 3, 2024 #1 Siku ya ‘Boyfriend Day’ huadhimishwa kila Oktoba 03 ya kila mwaka. Ni siku inayotumiwa na watu kuonesha upendo na shukrani kwa wapenzi wao wa kiume. Usiniulize gfriend day bado naitafyta kwenye kalenda ya 🇨🇺 na 🇷🇺
Siku ya ‘Boyfriend Day’ huadhimishwa kila Oktoba 03 ya kila mwaka. Ni siku inayotumiwa na watu kuonesha upendo na shukrani kwa wapenzi wao wa kiume. Usiniulize gfriend day bado naitafyta kwenye kalenda ya 🇨🇺 na 🇷🇺
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 374,173 Reaction score 866,431 Oct 3, 2024 #2 Dah ukiambiwa kuna wanaume wamekimbia uanaume wao😭
proton pump JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 7,608 Reaction score 11,837 Oct 3, 2024 #3 member since 2007 🤔 duu kumbe kuna mashetani humu JF
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,011 Reaction score 14,350 Oct 3, 2024 #4 proton pump said: member since 2007 🤔 duu kumbe kuna mashetani humu JF Click to expand... na bado wana mambo ya ajabu
proton pump said: member since 2007 🤔 duu kumbe kuna mashetani humu JF Click to expand... na bado wana mambo ya ajabu
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,553 Reaction score 72,502 Oct 3, 2024 #5 Huyu sijui ni mtu mzima au ni kijana?...uandishi wake una errors nyingi sana...