bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Asilimia 13 fixed bank Vs UTT - kwa sasa wapi bora?

    Wadau, Katika kupambana na 45 Million sasa kuna benk imeniahidi kuwa nawezaweka fixed kwa 13%kwa annum. Sasa najiuliza sijui niweke huku au UTT ambapo naambiwa ni pazuri ingawa sijapata ushahidi wa njisi palikopazuri kwa hali ya sasa. Je, kwa wale mliowekeza UTT na kwa kulinganisha na hii fixed...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mbinu bora za kivita: Russia and Ukraine war case

    Kuna kundi kubwa sana la watu ambao wanapenda kuona, kusoma na kusikia habari za uwanja wa medani hii inatokana na ukweli kuwa vita ndio jambo gumu sana kufanywa na mwanadamu. Katika dunia ya leo kila jambo lina taaluma yake hata vita pia ni taaluma pana inayohusisha mbinu, mikakati, silaha...
  3. JamiiForums Tanzania Maisha yalivyo ni Bora ukibeba Mimba uzae tu kuliko kuitoa

    Jana nilibahatika kwenda kwa Dokta X aambaye kila Mtu nadhani anamjua anajinasibu kuwa anatibu Matatizo ya uzazi na hata Msanii mmoja ambaye yupo katika msiguano na Basata alishamfanyia Promo katika nyimbo kwenye upande wa video katika intro. "Je utanipenda" I guess it was 2015 Mada yangu...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke Mkenya ashinda tuzo ya muuguzi bora duniani

    Kenyan Anna Qabale Duba named world’s best Nurse. PHOTO/Courtesy Anna Qabale Duba from Marsabit County in Kenya has been named the winner of a prestigious award, which has prize money of $250,000 (Ksh29M). Sheikh Ahmed Bin Saeed Al Maktoum, President of Dubai Civil Aviation Authority honoured...
  5. JamiiForums Tanzania Uzi wa kupeana ma buse Bora na Bora nifike je tupande ma bus gani?

    Naanza na mbazi Arusha/dar. Ili ndinga Kama ukifika stendi na kulikuta kwa jinsi linavyovutia lazima ulikimbilie.siku hiyo nikalipanda kutoka Arusha mpaka dar nikafika sa 5 usiku Kila kituo linapakia na linasimama. Happy national hili ni la Bei kubwa nilipanda kutoka dar mwanza tukafika sa 9...
  6. JamiiForums Tanzania Nani anastahili tuzo ya mchezaji bora wa msimu EPL?

    Tuambie kwa mtazamo wako, mchezaji gani anastahili tuzo ya mchezaji bora wa msimu? Mimi naenda na Son wa Spurs
  7. S

    JamiiForums Tanzania Yule Sniper Bora Duniani wa Canada (Wali) aliyeenda Vitani Ukraine kupigana na majeshi ya Urusi aelezea namna alivyopambana Ukraine

    Wali ni mwanajeshi mstaafu wa kikosi maalumu cha Jeshi la Canada (The Royal 22nd Regiment). Baada ya Zelensky kuomba msaada wa wapiganaji toka Duniani kote, Wali aliamua kuitikia wito huo. Vyombo vya habari mbali mbali Ulimwenguni vilielezea wasifu wa Wali kwenye field yake kuwa ni sniper namba...
  8. JamiiForums Tanzania Jose Chameleon ndiye msanii bora wa muda wote wa Afrika Mashariki

    Habari zenu wana na wanawake, kwa upande wangu namuona Dr Jose kama msanii bora wa muda wote kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki, wewe unadhani ni nani anastahili kuwa katika pendekezo lako
  9. JamiiForums Tanzania Ni bora uolewe Mke wa pili na Mwanaume mwerevu kuliko ujitie kuolewa kama mke mmoja na Mwanaume asiyejielewa

    NI BORA UOLEWE MKE WA WAPILI NA MWANAUME MWEREVU KULIKO UJITIE KUOLEWA MKE MMOJA NA MWANAUME ASIYEJIELEWA! Anaandika, Robert Heriel. Angalizo; Ujumbe huu utawahusu binti zangu tuu, na wanawake wote werevu ikiwapendeza wafuate maneno yangu. Hivyo ni kusema ujumbe huu sio wa watu wote. Taikon...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wapi bora kuwekeza: Fixed rate, BOT Bond, UTT?

    Wadau naomba ushauri, nimedunduliza kama 50 Million Tsh, nataka niwekeze sehemu nipate vijisent kabla yakuingia kwenye biashara. Je, wapi sasa ni pazuri kuwekeza na kwanini? eg Fixed rate..benk ipi?, BOT bond au UTT? Na kama UTT, je ni mufuko upi wa UTT ni nzuri inakupa rate nzuri kwa mwaka
  11. JamiiForums Tanzania Tupia kikosi chako bora cha muda wote duniani

    Wasalaam Nakumbuka nlitengana na mpenzi wangu mmoja kisa , mpira Mpira ni furaha yetu , tuna furaha nyingi sana ila mpira hauna kifani . Mpira unatuumiza sana sometimes pale , timu zetu zinapokumbana na zahma tusiyoipenda Lakini yote kwa yote, Mpira ni muhimili wetu. Nakumbuka msemo wa...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayefahamu API's bora kwa kutoa Livestream za mpira wa miguu

    Nataka kudevelop mobile app ya ku Livestream mpira wa miguu kwa ligi za ulaya. Naomba yoyote mwenye ufahamu wa API's zinazotoa hii huduma anijuze . Au kama kuna alternative nyingine ningependa pia kusikia. Chief-Mkwawa et al
  13. JamiiForums Tanzania Video ya kuchefua ya Dada wa Kiafrika Dubai

    Kuna video imesambaa sana kwenye social network especially Twitter. Ambayo kwa mtu yoyote akiitazama kwakweli itamharibia siku. Katika video hiyo fupi ya dakika kadhaa inamuonyesha mwanadada wa kiafrika akiwa chini ya makalio ya mwanaume mwenye asili ya kiarabu, akipokea gogo (haja kubwa)...
  14. JamiiForums Tanzania Nielekezeni mapishi Bora na ya kuvutia ya miguu ya kuku

    Nimeikuta sehemu inauzwa shing 100 kwa kila mguu. Nimezoa ya 2000 nikapewa 2 nyongeza. Bado natafakari niipike vipi iwe mitamu na ya kuvutia. naombeni maelekezo tafadhali
  15. G

    JamiiForums Tanzania Je, haya ni malezi bora Kwa kizazi chetu cha kesho? Tujitathimini

    Amani iwe kwenu nyote wandugu. End.
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala bora haijawahi kulaani mauaji ya raia?

    Leo nimeingia katika website ya tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora (THBUB) nimeona kwa kipindi cha 2015 hadi 2022 hawajawahi kutoa tamko la kulani mauaji ya raia yaliyowahi kutokea nchini ikiwemo mauaji ya Akwilina, na raia kadhaa kule Zanzibar kipindi cha uchaguzi. Hata hivyo imeonesha...
  17. JamiiForums Tanzania Diaspora wa U.S.A wanaonekana maisha yamewapiga japo wanaishi U.S.A kwenye katiba bora duniani, nadhani si Kila jambo ni katiba

    Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji mjadala mpana, maana Sasa hivi hata mtu tumbo likijaa gesi, unamsikia anasema solution ni katiba mpya...
  18. JamiiForums Tanzania TAMISEMI kama mmeshindwa kuandaa mifumo mizuri ya watu kuomba ajira ni bora mkarudisha zama za posta. Mfumo umekuwa usumbufu

    Wanabodi salaam! Serikali kupitia Tamisemi wametangaza ajira tar 20 mwezi huu kwa kada ya afya na elimu.Tunaishukuru serikali kwa hizi ajira kwani kimsingi hali ya ukosefu wa ajira imekuwa janga nchini. Tatizo lililopo ni mfumo(system) kwenye uombaji hizi ajira unamatatizo yanayopelekea watu...
  19. JamiiForums Tanzania Kilimo cha ndizi kitakachokupa matokeo bora

    Tumezoea kupanda miche ya ndizi, unaweza kuinunua au kuomba kwa jirani. Lakini ndizi iliyokomaa na kuiva inaweza kukupa mbegu naipanda ndizi kwenye karai bovu lenye matobo ili maji yasituame, weka udongo wenye mbolea kwenye karai na uwe unamwagilia maji kila siku. Baada wiki mbili au tatu...
  20. JamiiForums Tanzania Tunajidanganya. Tanzania hatuna ligi Bora

    Ukitaka kujua tanzania tuna ligi ya hovyo angalia huu msinamo kuanzia timu ya tatu kwenye msinamo hadi ya mwisho zimepishana point kumi na moja tu. Kama Simba anandoto za kuwa bingwa licha ya gepu la point alizoachwa na yanga basi hata mbeya kwanza anaweza kumaliza msimu akiwa nafasi ya tatu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…