Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.
TYCOON BUSINESS 2022
Wale wapenzi wa games basi hii ni fursa kwenu game hili linahusika na masuala ya kiuchumi, teknolojia, utachagua nchi yako ambayo utaunda kampuni yako kisha utaanza kujenga uchumi wako kama tunavojua ili uwe na uchumi bora ni lazima uwe na jeshi bora teknolojia bora kwa...
Kabla sijafika miji mikongwe kama Bagamoyo nilijua ni miji ya kuvutia kwa makazi yaliyoboreshwa kumbe nilikuwa najidaganya.
Tuongelee mji wa Bagamoyo na makazi yake, yaani wingi wa nyumba za udongo na kuridhika kwa wakazi wazawa wa hapo kwenye huo mji.
Mji wa Bagamoyo una jina kubwa lakini...
Apewe sasa heshima yake. UCL ya nne hiyo hapo.
Kachukua msimu huu akiwa na kikosi cha kawaida sana (Real Madrid).
Soma > FT: 2022 Uefa Champions League Final | Liverpool 0-1 Real Madrid | Paris, France
Siku za hivi karibuni kumekuja ubunifu wa milango ya chuma,
Milango hiyo mwanzo ilianza kuonekana ktk maduka ikitokea nje ya nchi.
Lkn bahati nzuri pia mafundi wetu wa vifaa vya grill nao wameanza kutoa milango kama hiyo ya nje lakini walitengeneza kwa mabati magumu sana wakiunganisha kwa...
Nafikiri mpaka apo akuna swali yanga anakwenda kubeba makombe yote msimu huu, pongezi kwa kocha Nabi kwa mbinu bora amedhihirisha sio kocha wa kubahatisha, pongezi kwa wachezaji, wamefanya kaxi kubwa, siku zote mpira sio maneno ni vitendo, aya sasa babra na watu wake wawai uwanja wa ndege warudi...
Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salam, sasa ningependa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wana JF kabla ya kuandika list ya wachezaji bora wa muda wote wa timu za Yanga na Simba, ningependa kwanza nijitambulishe kuwa mimi ni mshabiki mkubwa sana wa timu ya Yanga. Nimeanza...
Habari za mda wadau natumaini mko poa na mnazisubiri per diem za mama kwa shauku kubwa.
Kwa kuzingatia kichwa tajwa hapo acha nijikite kuelezea kero ninayokumbana nayo.Binafsi mimi kwa maisha yangu yote ya ukubwani (kuanzia baleghe)nimekua ni mtu ninayevaa boksa moja kwa siku, hivo...
Shujaa na Mbabe wa kivita, mchecheni Kadyrov, kawaeleza Poland kuwa ni bora wachukue silaha zao Ukraine ili wazitumie kujilinda wao wenyewe, na wachukue wapiganaji waliowapeleka Ukraine na kisha waombe msamaha rasmi kwa walichomfanyia balozi wa Russia nchini Poland. Wasidhani tukio lile...
Tuzo maarufu duniani ya iF Design hivi karibuni ilitangaza washindi wake kwa 2022 ambapo TECNO ilishinda katika kitengo cha Bidhaa na Tehama kwa muundo bora wa bidhaa wa Phantom X na CAMON 19 Pro. Hii ni tuzo ya kwanza ya TECNO katika shindano la kimataifa la ubunifu, ikithibitisha kujitolea kwa...
Kiufupi mapenzi hayana Fomula Ni Bora kudeti na demu wa kawaida sura ya Baba kipindi ukiwa katika hard moment ili kusoma upepo wa. Maisha na kuitafuta Kesho iliyo Bora .
Sura ya Baba hawana gharama
Wako deep . katika mapenzi
Hata akikupiga chini hakuna kuumia
Hi itakusaidia kufocus vizuri...
Anaweza kubezwa leo kwa anachofanya lakini akakubwa kesho na kiongozi bora hafanyi kwa ajili ya leo tu anafanya kwa ajili ya kesho. Baadhi ya nukuu na hotuba za Mwalimu Nyerere bado zinaishi mpaka leo na ukizisikiliza unaweza kufikiri ni leo ndio anazungumza. Kipindi Cha Mwalimu kuna...
Nyasi za Juncao ni nyasi/majani yaliyofanyiwa utafiti nchini China.Utafiti ulifanywa na Profesa Zin Zhanxi wa chuo kikuu cha Fujian Agriculture and Forestry ni hybrid ya aina tofauti za Napier na yanafanana na majani tembo(elephant grass)Yanafahamika pia kwa majina ya Giant Juncao, majani ya...
Mayele ana miss " Njaa" . N jaa ya kutaka kufun ga magoli mengi ndani ya mechi moja. Mayele akifunga goli moja kwenye mechi huwa anaridhika kabisa na huwa haonekani kama ana nia au lengo la kuongeza goli la pili kitu ambacho kinampunguzia credit ya kuwa...
Ukitafakari na kuangalia kwa kina sana Utagundua Baraza hili la Mawaziri limejaa akiri kubwa tupu. Hongera kwa Rais SSH ,juu kuna Kassim Majaliwa pale Bashe ,huku Ummy kule Aweso ..nk
Ila kuna hawa Kina MWIGULU,J MAKAMBA pamoja na NAPE utendaji wao na uteuzi wao ni wamashaka sana .
Kama...
- Kwangu mimi kitabu Cha kimataifa ninachosoma kwa Sasa kinahusu MAGEUZI YA KISIASA NA KIUCHUMI CHINA CHINI YA DENG XIAOPING. “CHINA UNDER DENG XIAOPING POLITICAL AND ECONOMIC REFORM”.picha[emoji116]
- Je wewe unasoma kitabu gani kwa Sasa au ushawahi kusoma kitabu gani.andika hapa chini pia...
Habari zenu.
Hii bank sikuwahi kuitumia Wala kuijua,Binafsi Kwa miaka mingi natumia CRDB na NMB.
Katika pirikapirika na mishe mishe za mjini nikajikuta nimeandikiwa cheque ya NBC. Nilipofika Kule nilihudumiwa chapchap Kwa weledi and customer care Bora kabisa.
nilifungua account moja ya saving...
Wadau,
Katika kupambana na 45 Million sasa kuna benk imeniahidi kuwa nawezaweka fixed kwa 13%kwa annum. Sasa najiuliza sijui niweke huku au UTT ambapo naambiwa ni pazuri ingawa sijapata ushahidi wa njisi palikopazuri kwa hali ya sasa. Je, kwa wale mliowekeza UTT na kwa kulinganisha na hii fixed...
Kuna kundi kubwa sana la watu ambao wanapenda kuona, kusoma na kusikia habari za uwanja wa medani hii inatokana na ukweli kuwa vita ndio jambo gumu sana kufanywa na mwanadamu. Katika dunia ya leo kila jambo lina taaluma yake hata vita pia ni taaluma pana inayohusisha mbinu, mikakati, silaha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.