Nielekezeni mapishi Bora na ya kuvutia ya miguu ya kuku

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
4,138
10,538
Nimeikuta sehemu inauzwa shing 100 kwa kila mguu. Nimezoa ya 2000 nikapewa 2 nyongeza.

Bado natafakari niipike vipi iwe mitamu na ya kuvutia.

naombeni maelekezo tafadhali
FB_IMG_1651300718523.jpg
 
Hizo ngoko mie binafsi siipendi, na sijawahi kuila.
Anyway osha na maji safi kisha weka ndimu tangawizi, pilipili manga, swaumu curry powder chumvi kama unatumia na pilipili pia weka
Ichemshe.
Ikiiva ipua.
Deep fry mpaka iwe brown...
Halafu anza kutafuna tafuna.
 
Hahahaha what a happy ending.. namuonesha wifi yako Joanah hii comment.

thanks for caring buddy
 
Hizo ngoko mie binafsi siipendi, na sijawahi kuila.
Anyway osha na maji safi kisha weka ndimu tangawizi, pilipili manga, swaumu curry powder chumvi kama unatumia na pilipili pia weka
Ichemshe.
Ikiiva ipua.
Deep fry mpaka iwe brown...
Halafu anza kutafuna tafuna.
Mwenyewe siipendi...Na Vichwa
Tena bora kuku wa kienyeji kuliko hawa wasio na Baba
 
Upo kama mimi aisee, miguu ya kuju sijui utumbo, kichwa hapana, vinipite mbali kabisa
Yani kwanza haimake sense...mtu anakulaje miguu ya kuku asee

Mie siwezi hata huo utumbo naona ni uchafu tu
 
Mie naipenda sana,kuna mama alikuaga anaipika mtaani kwetu yaan ni milaini mitamu anaweka na kapilipili aisee,ugali unashuka hadi raha(Yeye alikua anapika miguu,utumbo na vichwa)
 
Back
Top Bottom