bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania CGTN documentary ni channel bora kabisa kwa nchi za kiafrika na kwa waafrika

    Tukitaka kuzungumzia channel bora yenye vipindi bora kwangu mimi nitaiitaja hii channel ya CGTN DOCUMENTARY. Hii channel ya wachina waliupiga mwingi sana, ni channel bora kwa vipindi vya kufundisha na kuelimisha. Hii ni channel inayopaswa kupigiwa macho sana na waafrika wengi kadiri tuwezavyo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri kuhusu mbegu bora ya mahindi

    NI mbegu ipi ya mahindi nikiitumia naweza kupata matunda Bora? Ushauri wenu ni muhimu Sana, #Elimu ya kilimo
  3. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Fast Furious vs Mission Impossible, ipi filamu yako bora?

    Nimekuwa mfatiliaji wa filamu hizo mbili, yaani fast & furious na mission impossible. 👉Na niseme pande zote mbili zimekuwa zikijitahidi kuwasiliana kazi iliyo bora zaidi. Vin Diesel vs Tom Cruise nani anakukosha zaidi, katika filamu zao hizi. 👉Fast furius vs mission impossible.
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe Zanzibar, ndiyo Hotuba bora ya muda wote

    Upo Msemo wa kiswahili unasema hivi, Nanukuu " kizuri kula na nduguzo" mwisho wa kunukuu. Ukisikiliza Hotuba ya Freeman Mbowe , aliyoitoa kwenye ile siku ya Wazee ya kidunia iliyofanyika Zanzibar juzi , ile iliyoandaliwa na Bazecha, basi haraka sana utagundua kwamba uongozi ni Karama halisi...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwalimu bora na wanafunzi wake

    Inamhitaji mtu roho ya; urafiki, ulezi, ushauri, uzazi, ukaribu na upendo ili kumtengeneza MWANAFUNZI bora. Sifa hizi ni za ndani, ukitoa zile za nje ambazo walimu hufunzwa vyuoni na kufanya walimu wote waishi katika mstari mmoja. Sifa za nje ni kama haiba na maadili, uwezo wa kutawala darasa...
  6. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kumuelimsha mtoto wa kike ni kumuwekea msingi wa kuwa mkombozi katika familia yake

    Tunajua kumuelimsha mtoto wa kike kwa elimu bora pamoja na malezi mazuri, atakuja kuwa mkombozi bora katika familia yake. Bila kumpatia msingi mzuri wa elimu, pamoja na kumjengea hofu ya Mungu; ndio wanakuja kuwa, hawa wanao tanguliza pesa mbele kabla ya mahusiano. Baba ukiwa mtu wa totoz...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nani alikuwa mkali wa gita kati ya hawa?

    Eti nani alikuwa mpiga gitaa bora zaidi kati ya hawa watatu 1. Lokasa ya mbongo 2. Dally Kimoko 3. Diblo Dibala Japo kuna watu kama Nene Tchakou
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Makundi bora ya muziki kuwahi kutokea kwenye Bongo Flava

    Hii ni orodha tukufu ya makundi yaliyoweka alama kwenye muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Nyimbo zao zikipigwa hadi leo zinasisimua. 1. Hard Blasters Crew (HBC) Kundi liliundwa na Profesa Jay, Fanani na Big Willy. Albamu yao ya Funga Kazi itakumbukwa daima. Wimbo wao wa chemsha bongo...
  9. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa Kiafrika wanakubaliana na Demokrasia kama njia bora ya Uongozi

    Vijana wa Afrika wanazidi kupaza sauti zao, na ujumbe wao ni wazi: demokrasia ni mfumo bora wa serikali ambao nchi zao zinapaswa kuufuata. Utafiti wa African Youth Survey wa mwaka 2022 unaonesha idadi kubwa ya vijana wa Kiafrika, kutoka katika nchi mbalimbali za bara hilo, wanaunga mkono...
  10. clifford20

    JamiiForums Tanzania Efootball vs dream league soccer(dls)

    eFootball ni mchezo wa simu unaohusisha mpira wa miguu, na hapa kuna habari muhimu kuhusu mchezo huo: 1-Jina na Kurekebishwa: Mchezo huu awali ulijulikana kama "Pro Evolution Soccer" (PES), lakini baadaye ulibadilishwa jina kuwa "eFootball." Mabadiliko haya yalifanyika ili kuongeza msisimko na...
  11. Clepatina

    JamiiForums Tanzania Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kuelewa biashara ya hewa ukaa. Njia kuelekea mazingira bora

    Habari! Je, umewahi kujiuliza jinsi tunavyoweza kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa na kupunguza uzalishaji wa gesi chafu kwa ufanisi? Hapa ndipo Biashara ya Hewa Ukaa inapoingia! 🌿💨 🔍 Ni nini Biashara ya Hewa Ukaa? 🔍 Biashara ya hewa ukaa, inayojulikana pia kama biashara ya uzalishaji wa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Maharage Chande atabakia kuwa ndiye mkurugenzi bora zaidi kuwahi kutokea TANESCO

    Amini amini nawambieni! Tangu shirika hili lianzishwe lilikuwa halijawahi kupata mkurugenzi mwenye akili kama MAHARAGE! Siyo kwamba alikuwa bora asilimia 100% HAPANA! lakini kwa UBOVU wa shirika lenyewe angalau maharage amekuwa mkurugenzi wa kwanza kuliboresha kiutendaji japo kwa asilimia...
  14. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Taifa stars, kizazi hiki Cha kuanzia 2000 ndio tumeshuhudia stars bora kuwahi kutokea

    Kuanzishwa 1925 Mchezo wa kwanza Uganda 3-10 Tanganyika Baada ya Muungano 1969 Tanzania 10-1 Kenya Ushindi mkubwa kwenye mechi ya mashindano Tanzania 7-0 somalia,,,jinja Uganda 1/12/1995 na Kampala 1/5/2012.. Kipigo kikubwa .. Tanganyika 8-9 Kenya 1956. Baada ya Muungano Algeria 7-0...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Baleke Ndiye Mfungaji Hatari zaidi Kwa Sasa NBC League!

    Baada ya Mechi hizi za raundi ya tatu za Ligi ya NBC. Imejidhihirisha Jean Othos Baleke ndiye mchezaji Hatari Zaidi kwenye safu ya Ushambuliaji Kwa Sasa Nchini Tanzania. Sio kwamba wengine hawapo, Ila Yeye ndiye Kiumbe Katili zaidi ndani ya 18 akiwa na mpira ukilinganisha na Wengine kwenye...
  16. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

    Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey, mara kwikwi sasa katuletea Chapati 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu. Kinachombeba Zuchu ni ile kuwa karibu na Simba la Masimba Dangote kwa hiyo inakuwa rahisi ngoma zake kupenya kirahisi. Kifupi...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kwa mgao huu wa umeme bora hata January Makamba

    Yaani kwa kipindi cha miaka 4 sijawahi experience shida ya umeme iliyopo sasa. Sijawahi kumuamini bwana January lakini hata wakati akiwa waziri umeme ulikuwa haukati hivi. Sasa hivi ni week sasa ikifika saa moja au mbili wanapita na umeme walianza wanarudisha saa 12 naona jana wamerejesha saa 2...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mkoloni hakumfunga Shaaban Robert, ndio kusema bora ya mkoloni kuliko Rais Samia?

    Hayati Shabaan Robert aliandika 'Kusadikika' na 'Kufikirika' ili kuisema Serikali ya Kikoloni ya Waingereza. Wakoloni hawakumkamata, badala yake aliendelea kufanya kazi katika Serikali ya Kikoloni. Hayati Saadani Kandoro pia aliandika shairi liitwalo 'Siafu Wamekazana', katika shairi hilo...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa injili ya Barnaba mbwa ni bora zaidi ya mwanaume asiyetahiriwa

    Wadau hamjamboni nyote? Siyo maneno yangu bali ni kwa mujibu wa kitabu cha injili ya Barnaba inayoeleza kuwa mnyama mbwa yu bora zaidi ya Mwanaume asiyetahiriwa! Nimekuwekea nukuu yote hapo chini: Miserable condition of the uncircumcised in that a dog is better than they "The disciples...
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kwa Jinsi maisha yalivyo ni bora dada zetu wakapewa hii siri Mapema

    Kwa jinsi watoto wakike wanavyoingia broke na kupoteza thamani yao, Ni bora hii siri wakaifahamu kuwa uzuri wa nje hauna msaada wowote katika kutoboa Maisha. Wanabidi kupambana kujiziboresha akili zao na sio kuhangaika na kuuboresha Mwili na kusahau kujiboresha ghorofani. Katika Dunia ya leo...
Back
Top Bottom