bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Saidoo Ntibazonkiza Mfungaji Bora Msimu Uliopita?

    Mbona hakuna mwendelezo? Je alibahatisha kama George Mpole? Je TFF walimtumia kumkomoa Mayele kama walivyofanya msimu wa mwaka juzi? Nje ya mada Mnaonaje Boss la DP World nikipewa timu ya Yanga niweke pesa.
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wanapenda kuongozwa na viongozi bora ila wao wenyewe hawataki kushiriki siasa huku wakijidai wao ndio bora kuliko viongozi waliowachagua wao wenyewe

    Kuhusu swala la bandari wewe mwananchi ndiye ulaumiwe kwanini hupendi kuwa kiongozi na hupendi kushiriki siasa Wapo watu wanajidai wanaweza kuongoza nchi lakini ni waoga balaa hata kugombea umonitor wa darasa wanaogopa. Wengine ni wasomi wakubwa lakini wanaogopa kuingia kwenye siasa wengi wao...
  3. Majok majok

    JamiiForums Tanzania ANGALIZO: Wazee wa kubadili gia angani mseme mapema kama El Merekh ni timu bora ama mbovu

    Hatutaki baadaye kuja na zile swaga za kushiba makande ya mchana na kuanza kuangalia upepo umelalia wapi ndio mnaibuka! Inatakiwa tujue mapema hii timu ni ya aina gani ili kusudi tuweke kumbukumbu sawa. Kuna wale vijana wa Mwenyekiti Rage washasema ndio mwisho wa Yanga, hawatoboi kutokana na...
  4. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Maisha Bora na Mbwa: Jinsi Wanavyotufundisha Kuwajibika, Kuwa na Uvumilivu, na Kuonyesha Huruma

    Utangulizi: Je, unajua kuwa mbwa ni marafiki wa binadamu tangu miaka 15,000 iliyopita? Je unajua kuwa mbwa wanaweza kusoma hisia zetu kutokana na sauti na uso wetu? Mbwa ni marafiki wa ajabu na wapenzi wa dhati wa binadamu. Wana uwezo wa kuleta furaha, faraja, na usalama katika maisha yetu...
  5. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Njia gani ni bora kwa mtumishi kuhama kutoka halmashauri (local government) kwenda Taasisi zingine?

    Jamiiforums kisima Cha maarifa. Mimi ni mtumishi Mwalimu, Nilisoma PCB advance nikapata division II point 12, nilichaguliwa computer and software engineering Lakini sikwenda, nikazamia Chaka la ualimu wa Physics Nilisoma kwa sababu ya kukosa washauri pamoja na umaskini wa home na nilitaka...
  6. R

    JamiiForums Tanzania TPA inapewa tuzo ya utendaji bora Duniani then tunakodisha kwa ajili gani?

    Kama ufanisi wa bandari umepelekea wapewe tuzo kwanini tunalazimisha kukodisha? Mbona hatukodishi mashirika ambayo hayafanyi vizuri? Tunasema bandarini kuna rushwa; DP World ni TAKUKURU yakiwekezaji? Wanatumia uchawi gani kupambana na rushwa?
  7. R

    JamiiForums Tanzania USHAURI: TRA, Rudisha na kusanya Kodi ilojulikana maarufu kama Kodi ya machinga Kwa mfumo Bora

    Nimekaa nikifikiri Kwa muda sasa ni jinsi Gani mfanyabiashara mwenye mtaji wa 10 ml, alipaye Kodi ya pango ml 2, afanyaye biashara ya stationery, household goods, saluni nk nk awezaje kulipa Kodi ya lak 8, akalipa umeme, service levy, mshahara wa wafanyakazi, maji, taka, akabaki na pesa kulipa...
  8. Victoire

    JamiiForums Tanzania TPA wamepokea tuzo kwa kuwa shirika bora Tanzania, jamani ni aibu kulete DP kwa kweli

    Nikiwa naangali TV, kule kwenye mkutano wa mashirika ya umma. Mara ninaona wakati wa kupewa tuzo TPA wamepewa tuzo kama shirika lilinaloiingiza mpunga mrefu Tanzania baada tu ya TCRA. Kumbe TPA wanafanya vizuri kabisa, Waziri wa ujenzi kumbe alitudanganya. Again no tu uwekezaji TPA. TPA wapo...
  9. morees

    JamiiForums Tanzania Jiji la Arusha inaonekana bora zaidi bila daladala

    Leo hii nimebahatika kupita jijini hapa na kushuhudia hali ya jiji hili bila ya kuwepo daladala. Mbali na adha wanayopata raia wanaotumia usafiri huu wa ndani. Mji umekuwa nadhifu na wa kupendeza sana. Jam zimepungua lakini pia makelele na vurugu za daladala. Ni wakati sasa wa mamlaka...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Rais TLS: Uongozi wa Rais Samia umejaa Utu na Utawala Bora

    "Mhe. Rais SuluhuSamia tunakushukuru sana kwa uongozi wako bora uliojaa utu utawala bora, malengo mema na bora kabisa ya kujenga maridhiano na kuleta maridhiano ya mifumo, sera na sheria na kutekeleza mipango yakujenga Taifa letu kuwa bora na imara kiuchumi na kijamii. "Tanganyika Law Society...
  11. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Nyakati tatu za tawala tofauti kwenye familia, vijana jiandalieni mazingira bora wakati wa uzee wenu.

    1. Ukiwa kijana jiandalie mazingira na maokoto kwaajili ya uzee wako. 2. Usije ukawa na fikra za kutegemea mke ama watoto mara baada ya kustaafu. 3. Tambua kwamba kuna nyakati tatu za utawala ndani ya nyumba/familia  A- Utawala wa baba:- Ni kipindi ambacho baba anakuwa mwenye nguvu na...
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Timu bora imechukua ngao leo hayo mengine mnajifariji tu

    Simba sc mnyama hatari kafanya yake leo, na ndiyo timu kubwa zinavyobeba makombe. Eti oooh tumeupiga mwingi, sasa kama umecheza vizuri umeshindwa vipi kufunga magoli, ukweli usemwe leo simba waliingia kwa ajili ya kubeba hiki kikombe na wamefanikiwa. Nyie mlioingia kwa ajili ya kutandaza...
  13. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Timu bora imepoteza mechi kwa penalti, mashabiki na wanachama msihuzunike mnayo timu bora msimu huu

    Najua wanachama na mashabiki mmehuzunika kupoteza ngao leo lakini huzuni yenu itakwisha siku sio nyingi! Yanga wameonyesha bado wanacho kikosi bora sana kuanzia beki na viungo but tatizo lipo kwenye final third, ambalo nafikiri kocha gamond anatakiwa alifanyie kazi, na aanze kumtumia Hafidh...
  14. Doctor MD

    JamiiForums Tanzania Je wajua mzunguko mzuri wa damu huleta afya Bora ya uzazi?

    Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi mambo makuu matatu 1. Mzunguko wa damu(ufanyaji kazi mzuri wa moyo) 2. Saikolojia ya mtu 3. Mfumo mzuri ya neva katika ubebaji wa taarifa Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi ufanyaji kazi wa moyo katika kusafirisha damu ya kutosha kwenye maungo ya mfumo qa...
  15. Beberu

    JamiiForums Tanzania Sabwoofer Bora za Alitop zinauzwa kwa bei ya kutupwa

    Wakuu, Heri ya mwisho wa week kwenu nyote Wakuu, nina mzigo mkubwa sana wa Subwoofer hizi bora kabisa na pendwa hapa mjini, Mzigo huu una sifa zote zinazohitajika kwa matumizi ya kijana wa kisasa kama vile ◽Remote control ◽Bluetooth ◽USB port ◽Fm radio ◽Warranty mwaka ✅Free delivery in Dar...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni awajibu Benki ya Dunia: Tutaendelea hata bila Mikopo yenu"

    Rais Yoweri Museveni ametoa kauli hiyo baada ya WB kutangaza kusitisha Ufadhili na Mikopo yote mipya iliyoombwa na Serikali kutokana na Nchi hiyo kupitisha Sheria inayozuia Mapenzi ya Jinsia moja. Museveni amesema "Inasikitisha kuona Benki ya Dunia na wahusika wengine wanathubutu kutulazimisha...
  17. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hii hapa orodha ya wanahiphop bora wa muda wote Tanzania

    Wakuu pamoja na kupenda siasa za CCM ila pia mimi ni mnazi mkubwa wa muziki wa Hiphop. Tangu utotoni nimekua nikipenda Hiphop. Nimekuwa nikisikiliza nyimbo za GWM, Mr II, Dollar Soul, JCB & Watengwa, Nako2Nako, Juakali, hadi hawa waliopo kwenye chati kina PMawenge. Nikiwa mdogo nilikuwa napenda...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbegu Feki (Mahindi na Alizeti) Tanzania Zaleta Kilio Kikubwa Sana Momba, Wananchi Wakimbilia Mbegu Bora Zambia

    MBEGU FEKI (MAHINDI & ALIZETI) TANZANIA ZALETA KILIO KIKUBWA SANA MOMBA, WANANCHI WAKIMBILIA MBEGU BORA ZAMBIA Wakulima wa zao la Mahindi Jimbo la a Momba Mkoa wa Songwe walia na mbegu feki za Mahindi zilizopelekwa na Wizara ya Kilimo katika msimu wa mwaka 2022-2023. Wakulima hao wamesema...
  19. Wilson john

    JamiiForums Tanzania Tunavyoweza kuchochea mabadiliko katika Utawala Bora na Uwajibikaji

    Utangulizi Utawala bora na uwajibikaji ni msingi wa maendeleo na ustawi wa taifa lolote. Nyanja hizi ni muhimu katika kukuza uwazi, usawa, na ufanisi katika utoaji wa huduma za umma na maamuzi ya kisiasa. Katika andiko hili, tutajadili umuhimu wa kuleta mabadiliko katika nyanja hizi na jinsi...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Natafuta Feni nzuri na bora ya Darini

    Wadau nahitaji feni nzuri kubwa 56" at least ya darini yenye upepo mwingi but isiwe na kelele nyingi. Budget tsh 100, 000 isizidi hapo kwa moja. Nami nahitaji mbili zinazodumu
Back
Top Bottom