Mbegu Feki (Mahindi na Alizeti) Tanzania Zaleta Kilio Kikubwa Sana Momba, Wananchi Wakimbilia Mbegu Bora Zambia

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,900
944

MBEGU FEKI (MAHINDI & ALIZETI) TANZANIA ZALETA KILIO KIKUBWA SANA MOMBA, WANANCHI WAKIMBILIA MBEGU BORA ZAMBIA

Wakulima wa zao la Mahindi Jimbo la a Momba Mkoa wa Songwe walia na mbegu feki za Mahindi zilizopelekwa na Wizara ya Kilimo katika msimu wa mwaka 2022-2023.

Wakulima hao wamesema kuwa "Tunalazimika kufuata Mbegu za Mahindi nchi jirani ya Zambia, Mbegu za Tanzania hazifanyi vizuri"

Wakulima wameelezea Malalamiko kwa nyakati tofauti katika ziara ya Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Sichalwe wakati akizungumza na wananchi na viongozi kwenye vikao vya ndani na mikutano ya hadhara

Wananchi wamesema kuwa Mbegu za Mahindi zikishachipuka, mmea hurefuka sana kwenda juu lakini hauzai au kutoa matunda kama yaliyokusudiwa hivyo kuona kuwa ni Mbegu feki na hazifai kwa Matumizi na kusababisha kufuata Mbegu bora nchi ya Zambia.

Mbunge Condester Sichalwe amewaambia wananchi kuwa ameipokea changamoto hiyo na kuahidi kuifuatilia kwa Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe na Bodi inayohusika na usambazaji wa Pembejeo za Kilimo (Mbegu, Mbolea na Viuatilifu)

Mkuu hizi mbegu za Zambia ni aina Gani?
 
Kuna takataka wawileta inaitwa record C1 ya alizeti mbegu inaganda laini Kama yai la kisasa na haina mafuta
 
Unaposema mbegu fake

MBEGU FEKI (MAHINDI & ALIZETI) TANZANIA ZALETA KILIO KIKUBWA SANA MOMBA, WANANCHI WAKIMBILIA MBEGU BORA ZAMBIA

Wakulima wa zao la Mahindi Jimbo la a Momba Mkoa wa Songwe walia na mbegu feki za Mahindi zilizopelekwa na Wizara ya Kilimo katika msimu wa mwaka 2022-2023.

Wakulima hao wamesema kuwa "Tunalazimika kufuata Mbegu za Mahindi nchi jirani ya Zambia, Mbegu za Tanzania hazifanyi vizuri"

Wakulima wameelezea Malalamiko kwa nyakati tofauti katika ziara ya Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Sichalwe wakati akizungumza na wananchi na viongozi kwenye vikao vya ndani na mikutano ya hadhara

Wananchi wamesema kuwa Mbegu za Mahindi zikishachipuka, mmea hurefuka sana kwenda juu lakini hauzai au kutoa matunda kama yaliyokusudiwa hivyo kuona kuwa ni Mbegu feki na hazifai kwa Matumizi na kusababisha kufuata Mbegu bora nchi ya Zambia.

Mbunge Condester Sichalwe amewaambia wananchi kuwa ameipokea changamoto hiyo na kuahidi kuifuatilia kwa Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe na Bodi inayohusika na usambazaji wa Pembejeo za Kilimo (Mbegu, Mbolea na Viuatilifu)

Unaposema "Mbegu fake " je ni za plastic zilizochongwa kiwandani umbile la mbegu?
 
Back
Top Bottom