Ipi ni bora kati ya Subaru forester (Isiyo na turbo) na Volkswagen Tiguan, zote za 2010?

Socw

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
1,304
2,583
Habari wakuu,

Utamshauri mtu anunue gari ipi kati ya gari hizo mbili kwa kuzingatia vigezo vya mazingira ya miundombinu ya barabara zetu, hali ya kiuchumi (kipato cha kati) na upatikanaji wa mafundi wa kueleweka na vipuri.

images.jpeg

Subaru forester

images (1).jpeg

Volkswagen tiguan​
 
T
Technical issues muwe mnafafanua. Mi hapo sielewi kitu yaani!
Hiyo ni dual clutch gearbox sio CVT au auto za kawaida ambazo zipo kwenye gali nyingi za mjapan. Hii inafanya inachanganya faster faster kutafuta speed ya juu na ndiyo maana unakuta gari zao zina top speed mpaka 240.

Subaru ina CVT transmission haiko sporty,ipo slow lakini hauta shindwa garage kwa fundi maiko kwa matengenezo kila siku 🤗.
 
Technical issues muwe mnafafanua. Mi hapo sielewi kitu yaani!
Angalia jinsi Volkswagen gear level yake inavyokuwa Kwanza ina option ya manual na automatically pia ina sport mode hii ni technology ambayo mjapan hawezi kufanya kwenye gear box moja(dual clutch plates)...
Kama mnafukuzana na Volkswagen dhidi ya Subaru basi tambua kuwa Volkswagen atakuwa anaovertake sehemu ambazo wewe hautaweza huyu mwenzio anaweza akavuka magari Hadi 4 Kwa sekunde 10 Tu.

Hayo magari ya kijerumani usifananishe na wajapan wameachwa mbali Sana kwenye performance BP096383_cb745a.jpg
BP096383_cb745a.jpg
 
Angalia jinsi Volkswagen gear level yake inavyokuwa Kwanza ina option ya manual na automatically pia ina sport mode hii ni technology ambayo mjapan hawezi kufanya kwenye gear box moja(dual clutch plates)...
Kama mnafukuzana na Volkswagen dhidi ya Subaru basi tambua kuwa Volkswagen atakuwa anaovertake sehemu ambazo wewe hautaweza huyu mwenzio anaweza akavuka magari Hadi 4 Kwa sekunde 10 Tu.

Hayo magari ya kijerumani usifananishe na wajapan wameachwa mbali Sana kwenye performanceView attachment 2708673View attachment 2708673
Asante mkuu kwa kuchukua muda wako kufafanua. Nimepata mwanga.
 
Mzee chukua Tiguan hutojuta, Volkswagen inamuacha Subaru ktk nyanja zote. Chukua mjerumani halisi VW

Usimdanganye mwenzio, mwambie ni maeneo tiguan inaizidi forester, ila si yote. Mfano tu kwenye suala la off-road ability, tiguan haiwezi kuifuata forester.
Reliability ni eneo jingine Subaru ni afadhali kuliko Tiguan.
Space ndani ya gari na boot, Forester ni zaidi
 
Back
Top Bottom