bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. Samedi Amba

    JamiiForums Tanzania Kati ya AliBaba na Amazon, nani mkali Bongo?

    Juzi nilikuwa mtandaoni, nikastumble upon uzi unaolinganisha Alibaba na Amazon. Nikaona jinsi ambavyo wanaendana bega kwa bega kwa vitu vingi tu. Tukizingatia pia kuwa watanzania wengi wanaelekea Mashariki china dubai nk kununua vitu. Lakini swali linabaki, kati ya hawa magwiji wawili, nani...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Ligi Kuu Bara: Inakuwaje Ijamaa kuna mechi halafu Jumapili na Jumamosi hakuna?

    Nashindwa kuelewa kwanini azam jana na KMC walicheza na leo hakuna game Taifa japo sijajua taifa Kuna nini Angalieni ratiba zenu TFF. Watu J. Pili Na J.mosi wako home wanasubiria burudani
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya wasanii wa bongo kuwa wabunifu kwenye matamasha

    Moja Kati ya Jambo nimeona Kuna improvement kwenye mziki wetu ni suala la ubunifu wa majukwaa na hii imechangiwa na competition ya matamasha yetu especially Wasafi festival na fiesta kwa upande wa efm kidogo wapo nyuma kwenye kutengeneza jukwaa lenye kiwango Cha kimataifa. Ukiangalia Wasafi...
  4. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Bongo Zozo amesajili Channel yake TCRA?

    Habari zenu wakuu, Sheria za mtandao nchini zinawataka watengeneza maudhui wote kusajili channels zao TCRA bila kujali ni maudhui gani wanatoa, jambo hili limefanya baadhi ya watu walioendelea kutoa maudhui bila kusajili kujikuta mikononi mwa vyombo vya ulinzi na usalama, mfano yupo kijana...
  5. Guacamole

    JamiiForums Tanzania Chemsha Bongo

    Habari wakuu, Ningependa tuchangamshe bongo zetu kidogo. Unaweza kutunga sentensi kwa kutumia lugha 3 tofauti? Ngoja nianze na mfano: 1. Habari za asubuhi (Kiswahili) 2. Good morning (English) 3. Buenos dias ( Spanish) Twenzetu wazee!!
  6. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Je, Samatta atafanya makubwa EPL?

    Kwa kiwango alichoonesha leo, basi Samatta ajiandae kukalia "ubao", pia nimesikia jamaa (Aston Villa) wanamtaka Sturridge. Kama ataendelea kupuyanga uwanjani kwa mtindo huu wa leo basi atakalia "ubao" mpaka makalio yatawaka moto. Ila bado nina imani naye, aendelee kupambana tu.
  7. Mwananchi wa chini

    JamiiForums Tanzania Ni Diamond Platnumz ukipenda mwite Warren Buffett wa Bongo

    MWAKA 2007 (miaka 11 iliyopita), nilisoma jarida la Forbes. Mahojiano mazuri na tajiri mwenye mawe mengi, Warren Buffett. Kipindi hicho, Buffett alikuwa tajiri namba mbili duniani, nyuma ya Bill Gates. Niliandika makala gazetini mwaka huo kwa kutafsiri mahojiano hayo. Wakati huo, Buffett...
Back
Top Bottom