MR SUGU & BALOZI - BONGO FLEVA

MR SUGU & BALOZI - BONGO FLEVA

Joined
Nov 8, 2018
Posts
21
Reaction score
21
MR SUGU & BALOZI - BONGO FLEVA


VERSE. 1

Bongo Fleva kama fani ni treni basi
Mimi ni dreva/
Na nitabaki hivi forever/
Najua nifanye nini ili nibaki kuwa super/
Nilishasema mimi ni zaidi ya rapa/
Na watu ndio wanataka nizidi kubaki hapa/
Nataka number one DJ, muweke number one/
Mi kwanza nataka mshiko ndipo niwe number one/
Dani Town nikatishe kwa manjonjo/
Wanga kaeni chonjo, niko na Doctor Ponjo/
Sugu nakwenda speed, Album ya saba (7) nakuja na itikadi/
Naongeza fleva kwenye Bongo Fleva zaidi/
Aah..!!
Mchizi kichizi siwezi kukosa kazi/
Sina wasiwasi, ninasema waziwazi/
Bongo Fleva ni nini longolongo kwenye fani?/
Au fani na fleva makini, achane utani hapa situko kazini/
Aaa...
Mpaka nakadhirika/
Na ningekuwa Marekani ningesema:
Mother ***...!!!!

Ukwaju wa kitambo
0767 542 202
1785461242639.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom