Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,757
- 20,886
Dawa hii imekuwa mkombozi sana kwa watu wanaotaka kupunguza uzito. Kwa sababu ya bei ilikuwa inapatikana kwa matajiri tu. Karibuni walisema brands mbalimbali za bei rahisi zitaanza kupatikana. Zimetufikia maana naona na mastaa wa bongo wanaanza kukonda ghafla.