karonga
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 770
- 1,268
Hili tamasha la miaka 30 ya bongo fleva limeibua mambo mengi tusioyajua, ni bora kusikiliza zile nyimbo zao za zamani kuliko kuwasikiliza hawa wasanii,
Sauti zao zimepotea kabisa, sijui ni uzee au washazilia unga, bangi na pombe sielewi, ninachojua ni kuwa Dudu baya ndie pekee mwenye sauti yake tatizo wamempa nyimbo moja tu pamoja na kusindikizwa na mishangazi kuingia ulingoni, sijui walikuwa wanaogopa asije kinukisha 🤣🤣🤣