masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,380
- 19,278
Kibongo bongo ukiacha wasanii kuna hili kundi la wachezaji na wanamichezo mbalimbali ikiwemo ngumi and so on
udhaifu wao ni kipochi....
aiseee
Hatuwezi kuwa na watu wengi wawakilishi nje huko au wazuri wakadumu
Sabbu ya pale kati...nimestaajabu baada ya kujua jambo hili mapenzi yanaua nguvu sana
udhaifu wao ni kipochi....
aiseee
Hatuwezi kuwa na watu wengi wawakilishi nje huko au wazuri wakadumu
Sabbu ya pale kati...nimestaajabu baada ya kujua jambo hili mapenzi yanaua nguvu sana