bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini harrier anaconda used hapa bongo zinauzwa sana

    Habari za weekend Team, Nimegundua harrier anaconda zinauzwa sana yani ile mtu ananunua anakaa nayo miaka miwili mitatu anaiuza kwani zina changamoto gani pia hata mitandaon kwenye zile page wanazouza magari lazima utazikuta anaconda zinauzwa ambazo zimetumika hapa bongo miaka miwili,tatu mtu...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Miaka 13 Bila Albert Mangweah: Bongo Flavour Artists wamejipangaje kumuenzi 2026

    28 Mei 2013 Msanii Maarufu enzi hizo wa Bongo Flavour alitutoka Duniani akiwa kwenye Matibabu huko nchini Afrika Kusini. Wasanii wa Bongo Flavour wamejipangaje kumuenzi? Naona kimya sisikii watu wakimzungumzia namna ya kumuenzi mwaka huu wa 2026. Kwangu Binafsi nitamkumbuka kwa nyimbo ya ni...
  3. bless on

    JamiiForums Tanzania Mapenzi Bongo vs Ulaya: Mizengwe yote hii?

    Kule ulaya ukimfuata Demu ukamuambia unampenda jibu utalipata kabla hata dakika Tano hazijaisha. Akikupenda atakujibu I like you too na mazungumzo yataendelea akiona humvutii atakuambia I'm not interested kwa heshima. Hakuna Ile habari ya ngoja nifikirie ambayo itachukua mwezi mzima. Kwao, muda...
  4. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Kipi kipo nyuma ya shamrashamra za mastaa wa Kimataifa wanaokuja Bongo: Kuna jambo, au tunatolewa kwenye reli?

    Katika kipindi cha hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia ujio wa watu maarufu duniani kama Didier Drogba na Rio Ferdinand ikielezwa kuwa ni kwa mwaliko wa Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo inayoongizwa na Paul Makonda. Kwa juu juu, hatua hii inaweza kuonekana kama jitihada za...
  5. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Hivi ozempic haijatua bongo wajameni?

    Naona mambele wanajidunga na miili inapungua hakuna tena mambo ya mazoezi
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wakunyumba tradition’s party ya wangoni yaja bongo

    Sherehe kubwa itakayowakutanisha Watanzania kutoka Kabila la Wangoni inakuja. Itafanyika jijini Dar es Salaam. Lakini pia watu kutoka makabila mengine watapokelewa kuhudhuria. Sherehe hii itakuwa endelevu. Itakuwa ikifanyika kila mwaka katika ukumbi au eneo litakalopendekezwa na kamati ya...
  7. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Bongo na Ndoto ya Content Creation

    Siku hizi ukikutana na kijana ana laptop, ring light na simu nzuri usidhani ni IT specialist… mwingine anakesha usiku kucha akihariri video ya sekunde 45 huku background kuna motivational music na caption “never give up”. Lakini ukiangalia reality ya game yenyewe unaweza ukaanza kujiuliza… hivi...
  8. Stability

    JamiiForums Tanzania Group sex inaongezeka kwa kasi hapa Bongo

    Mimi nafikiri haya yote ni madhara ya kuangalia porno sana na ubaya zaidi ni kuwa porno imezagaa katika simu za vijana na kushikamana kama vile pua na mdomo. Sasa hivi watu hawaoni haya kuchukuana kama kikundi na kwenda kufanya sex huku wakipasiana wenza yaani akipiga hapa anaennda kwa mwingine...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuiga Mafanikio ya mtu alietoboa vilivyo kwenye biashara hapa Bongo utasubiri sana hadi uote sugu, Game lipo zigzaga tofauti na unachokiona

    Ukitaka kuiga Mafanikio ya mtu haa bongo hasa kwenye biashara utakesha Makanisani, Misikitini, mpaka uote sugu Utamaliza rapa kwa kubuni Biashara na kuwekeza ukiamini utakuwa kama fulani. kumbe Siri Yao ya Mafanikio ni Short Cut Halali inawezekana ila huchukua muda mrefu sana na ubaya ni...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Chemsha Bongo: Kati ya Tundu Lisu na Sinde Warioba nani, Mungu akitenda muujiza, nani awe Rais?

    SWALI ni hilo hapo juu. Maana chungu kimeishiwa kabisa , sana sana uchaguzi ni hao wawili
  11. Adryz

    JamiiForums Tanzania Bongo Zozo amshtaki Mtanzania aliyemtishia kifo na matusi

    Raia mzungu Muingereza alielowea Tanzania na wakati flani alikuwa balozi wetu wa kujitolea anayezungumza kiiswahili Fasaha Bongo Zozo amshtaki Mtanzania polisi uingereza kwa kumtukana na kumtishia kumuua. Soma hapo chini. adriz de mbusii
  12. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Bongo Star Search (BSS) ishawahi kumtoa Star gani hapa Bongo?

    Back then nakumbuka Jumanne Idd, Chiku Ketto na Kala Jeremiah. Sijui nani mwingine ashawahi toka recently. Au ni drama tu kama drama nyingine?
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Bongo Star Search ipo kwa ajili ya kuua vipaji au kuibua vipaji?

    Binafsi naona BSS inaua vipaji vingi sana kuliko inavyoviibua. Kupitia huyu Salama kuna vipaji vingi vimezimwa kwa kauli za kikatili zinazokatisha tamaa. Naona tuikatae Bongo Star Search. Soma alichoandika WAKAZI baada ya huyu binti mdogo kutendewa ukatili...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Bongo Zozo: Tume kazi yake ni kuweka mambo wazi. Kusema Ripoti ni ya Rais ndio ilizidi kuharibu kabisaa

    Tume kazi yake ni kuweka mambo wazi, Kusema Ripiti ni ya Rais ndio ilizidi kuharibu kabisaa Maana ya Tume ni kuweka vitu vyote wazi, kufungua milango yote ya nyumba nzima na kuruhusu mwanga uingie ndani, na kumulika palipokuwa na giza, lakini tume hii haikufanya hivyo kabisa, sana sana kitu...
  15. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bongo Zozo anamzidi akili Jaji Chande(?) Common sense must prevail

    Jaji Chande na Tume yake imegeuka kuwa toilet paper ya utawala. Common sense must prevail.
  16. J

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wamejaza magari ya washa-washa mitaani kabla ya Ripoti ya Chande kukabidhiwa

    Yaani kuua muue wenyewe kujichunguza mjichunguze wenyewe, ripoti mpike wenyewe na bado mnaogopana wenyewe loh 😂👏👏👏
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Changamsha bongo: Wasomi, unaweza tumia njia gani kutenganisha huu udongo?

    Ukiambiwa utenganishe huu udongo utatumia njia gani?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Media na wasanii Bongo ni wanafiki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, akifa mtu mmoja post kila kona

    Media na wasanii Bongo ni wanafki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, kafa mtu mmoja post kila kona halafu mnajiita nyie ni vioo vya jamii. Nyie ni vioo vya jamii gani? Mbona hiyo jamii haiwatambui kama vioo, kwanza vioo mmetoa wapi, unafki tu
  19. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bongo Fleva Sensation And Vaileti Hit Maker Matonya Charged With Rape In Kenya

    Tanzanian musician Sefu Shabani, better known by his stage name Matonya, has been detained in Kenya after being accused of rape. According to a statement released on X by Kenya's Director of Public Prosecutions (DPP), the 43-year-old disputed the charge when he appeared in court in the seaside...
  20. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Yusuph Lupilia: Mafuta yamepanda tukiwa na stock ya miezi mitatu nchini, hapo tumepigwa

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wasafirishaji Mwanza, Yusuph Lupilya akizungumza katika mkutano wa wadau wa usafirishaji uliondaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra), amesema kuwa serikali ilipandisha bei ya mafuta ikiwa imetoka kutuambia kuwa kuna mafuta ya kutosha kwa miezi mitatu.
Back
Top Bottom