bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Bongo ndo kama hivi tunaishi

    Tusemeni ukweli nchi gani utapata plot bleach ukiwa kijana zaidi ya Tanzania hii ndo nchi ya Kula Wazee tuire kweri Maisha mbona yanaenda wakuu nyie mna shida gani?mna njaa? pombe mmenyimwa?wanawake wazuri hamuwaoni?
  2. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua Bongo tuna wahamiaji haramu wengi sana

    Nilichogundua Bongo kuna wahamiaji haramu wengi sana kutoka nchi jirani / mipakani wanaozungumza kiswahili, wakiingia katika nchi yetu wanajifanya ni wa Bongo. Siku tukiwa serious kufanya msako wengi sana tutawarudisha mwakwao na usikute hadi wewe unayesoma hapa
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Naombeni tafsiri ya huu wimbo kwa muktadha wa siasa za Bongo

    https://youtu.be/mpNrmB_Qe6U?si=mbUaIlbrDNWvaiyY
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli filamu za bongo zinalipa?

    Wanajamvi salaam Leo katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii habari ya mbongo muvi mmoja kununua gari angalia picha chini Swali langu ni je filamu za bongo zinalipa au ni showoff tu za wanatasnia hawa huku nyuma ya pazia njaa tupu?
  5. E

    JamiiForums Tanzania Crystal palace aikosa nafasi ya kushiriki Europa ,Huku Bongo kuna mtu ana mkono katika timu 8

  6. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Hivi wadau wa soka Bongo hatuna kumbukumbu?

    Juzi palikuwa na msiba wa mzee Ally Pazi Samatta,,media zote zilitoka na kumuaddress kama baba mzazi wa Mbwana Samatta it's true but hamna anaekumbuka kuwa mzee Samatta ni gwiji mstaafu wa soka la nchi hii? Amekuwa kamptain wa Simba na Taifastars for more than 5 years hilo...
  7. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Eti jamaa anatabiriwa kuwa asilimia 44 ya maisha yake ataishi "nchi za america". Tazama video

    Mi naona haina haja ya kulaumu wanabii uchwara maana wanatumia fursa ya waliokubali ujinga kama huu uwatawale
  8. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Movie za zamani za Bongo

    Habari Wadau Kabla ya Bongo movie ya sasa kuna movie zilitoka kitambo sana wakati huo zilikua available kwenye VHS tu nazitafuta sana mwenye kufahamu tafadhari share nasi tunazipataje. Movie hizo ni kama Fukara Hatabiriki ya mzee majuto Shabwa Kubwa hii iliigiziwa Tanga Gubu la Wifi ya mzee...
  9. Isenye

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi private sector bongo unatakiwa uwe na roho ngumu

    Imagine,sasa hivi wenzetu wa government wanawaza mshahara wa mwezi wa 7,sisi huku kwa wachina hatujalipwa mpaka leo tarehe 5 mshahara wa mwezi wa 6. Private bongo ni zaidi ya matatizo.
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mahojiano Bongo Plus: Historia ya Uchaguzi (1958 - 2055)

    https://youtu.be/Z3f-8I6ALVQ
  11. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Hatutanyamaza': Familia ya Bongo yailenga serikali ya Gabon katika taarifa

    Siku chache baada ya kutoa ushahidi wake mbele ya Kitengo cha Uhalifu Dhidi ya Binadamu katika Mahakama Kuu ya Paris, familia ya Bongo inaendelea kusisitisha madhila na mateso waliyoyapata kutoka serikali ya Gabon. Katika taarifa ndefu iliyotolewa siku ya Alhamisi, Julai 3, Sylvia na Noureddin...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu:Chadema ndio ilianza kuleta wasanii wa bongo fleva kwenye Siasa

    Tusije kusahau kuwa Nigga J na 2 Proud walikuwa ni wabunge kupitia Chadema.
  13. mcTobby

    JamiiForums Tanzania What if bongo zozo is

    Wanasema an empty mind is a devil workshop.. hili naliona hapa.. najaribu kuawaza vitu vya hovyo tu hapa.. sasa kuna huyu mdau Zozo bingi... Ananitafakarisha sana.. na anavyoaminika sasa....😂😂😎. Wadau mjue Tanzania ni kubwa sana. Halafu wa tz sisi hatunaga baya.... Let me mind my own...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mwanzilishi wa kutekana na siasa chafu bongo, alijipenyeza kwa watawala kama mshenga (chawa) akaukamata moyo wa mfalme kwa ushauri wa hovyo

    Ndugu zangu tegeni masikio hapa! Katika enzi za mfalme mwenda zake! Kuna kijana aliibuka kama chipukizi kutoka umoja wa vijana! Kijana yule ni moja ya vijana wanaojua sana kujipendekeza! Ni kijana ambae ukimpa nafasi tu atatumia kila mbinu ili aonekane yeye ni bora zaidi kuliko wengine...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwa ufupi ni kwamba maskini hana chake hapa Bongo.

    Maskini ajitahidi apeleke watoto wake VETA kama alivyosema PM Majaliwa. Huko kwenye siasa hawana chao, huko kwenye ajira tamu tamu hawana chao. Wameachiwa ajira zile za milango ya fahamu nadhani mnazijua.
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ubunge kwa sasa ni kama Bongo Star Search tu; Juma Nature na wewe chukua hapo TMK

    Kama una kadi ya CCM usijiulize mara mbili mbili kachukue ugombee ubunge. Usiseme oooh mimi sina skills au exposure, bunge lililopita na lijalo halihitaji hayo mambo. Bunge litahitaji zaidi kupitisha mambo ya serikali na kumsifu mkuu. Baaasi Kwa hiyo hata wewe Sir Nature Kiroboto kachukue fomu...
  17. the big fish

    JamiiForums Tanzania KWANINI GARI NYINGI ZINAZOTOKA JAPAN ZINAKUJA NA ILE NAVIGATION MONITOR LAKINI INAKUWA NA RAMANI ZA JAPANI NA HUKU BONGO NAONA KAMA HAZIZINGATII

    Kwema wanajamii forum, Moja kwa moja kwenye mada kwanini hizi gari zinatoka japan nyingi kama sio zote zinakuja na ile screen inakuwa na ramani za miji na navigations za japan kwa huku Bongo watu wengi hawazitumii na zinakuwepo tu kama pambo au kwa hapa bongo hakuna fundi wa kuwepa shapefiles za...
  18. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Access Bank TZ, nikimeo kipya bongo

    Access bank wamewachukua wateja wa Standard charted Bank toka 23 June 2025 , lakini hadi muda huu, huwezi kutoa fedha kwa njia yoyote, na call centre yao hawapokei. BoT wanahitajika hapa ili wananchi waendelee kupata huduma kama kawaida. Cha ajabu zaidi hawatoi support yoyote wala taarifa.
  19. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Nimetua bongo usiku wa kuamkia leo,,,Fasta nikaingia nyumba ya Ibada,,,halafu mkutano na wajukuu zangu...

    Naam mkutano na wajukuu zangu pamoja na mama zao(wakwe zangu na binti zangu),,,, Hii ni baada ya kuzunguka na kuielewa hii dunia,hivyo sitaki mateso niliyopitia mimi pamoja na wanangu yafike kwa wajukuu zangu.... Kitu kikubwa nilichofanyia utafiti ni kutambua na kuelewa nguvu kuu katika...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Pale taifa la linalodhaniwa ni la Mungu linapokua chokozi na sio peacemaker Kwa kigezo Cha unabii kutimizwa!!Linatia udadisi kwenye bongo huru!!

    Mi nilidhani kwakua ewe Israel wa Sasa unaedhaniwa umtakatifu mteule wa Mungu kama wengi wasemavyo basi ungekua peace maker na sio kuwa chaos inducer Kwa ulimwengu!! Ukifikiri kwa kina unakosa uhalali was utakatifu wa taifa hili hasta katika zama hizi za "vita vyetu sio vya mwilini,Bali vya...
Back
Top Bottom