Moja ya kinywaji laini (soft drinks) kinachopendwa Bongo Pepsi inaongoza

Bushmamy

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
8,848
15,252
Naona Pepsi inazidi kupendwa sana na wabongo, sijui kwanini juzi kati nilikuwa Dar kama unavyojua Dar jua kali sana sehemu za vinywaji laini wengi walikuwa wanaagiza pepsi na maji.

Sasa hivi mkoa niliopo kulikuwa na sherehe mahali nami nikawepo hapo kulikuwa hamna pombe bali ni aina zote za soda lakini wengi walikuwa wanaagiza waletewe pepsi.

Hata ukicheki mida ya mchana ile time watu hawanywi pombe wakiwa bar au wap wengi huagiza pepsi tu.

Hongereni pepsi maana hata hapa nilipo kaa sasa hivi napata pepsi yangu ya baridi.
 
Naona Peps inazidi kupendwa sana na wabongo,sijui kwanini juzi kati nilikuwa Dar kama unavyojua dar jua kali sana sehemu za vinywaji laini wengi walikuwa wanaagiza peps na maji.

Sahiv mkoa niliopo kulikuwa na sherehe mahali nami nikawepo hapo kulikuwa hamna pombe bali ni aina zote za soda lakini wengi walikuwa wanaagiza waletewe peps.

Hata ukicheki mida ya mchana ile time watu hawanywi pombe wakiwa bar au wap wengi huagiza peps tu.
Hongereni peps maana hata hapa nilipo kaa Sahiv napata peps yangu ya barid.
Yap,hasa ukikutana na lile pepsi big,unahangaika nalo wee mpaka nafsi inasuhuzika.

pepsi
peps
 
pepsi ni marketing strategy waliyotumia, maduka mengi hayana coca so watu wanakunywa wanachopata.

Maduka mengi yananunua pepsi na siyo coca kwasabab pepsi ni cheaper
 
Iko hivii, kwanini pepsi inapendwa sana siku hizi kuliko vinywaji vingine vya cocacola kama zamani zilivyokua zinapendwa. Tatizo lilianzia kwenye bei, kuna kipindi soda za coca zilipandisha bei mpaka miasita 600, na pepsi pia,,, lakini pepsi akaona fursa kwa watu baada ya kuona hawakupendezwa na ile bei, Pepsi akashusha bei soda zake zote iwe 500,, kwa maana ukiwa na 1000, unapata soda 2 sio moja tena,, huku coca aliyejitengenezea soko akakomaa na 600,, Watu wakachangamkia sana pepsi za jero hata kwa wasiozipenda ikawalazimu wanywe tu ili kwenda sawa na bajeti,, watu wakajikuta wamezipenda na kuzizoea sana pepsi na mirinda,, huku soko la coca likishuka,,, Cocacola kuja kustuka tayari wameachwa pakubwa saaaana, nao wakapunguza bei,, lakini wakiwa washachelewa, watu washauonja utamu wa pepsi na mirinda na kuwanogea,,,Ndo maana mpaka sasa Pepsi inaongoza kwa mauzo sana kuliko coca.. kuna pepsi big pia kumbuka nao wataiga tu.
 
Peps kama peps ndani yake kuna kilevi ambacho humufanya mtu kukifikiria kila wakati kama cocane , hivo ukijichanganya ukanywa moja kesho keshokutwa bas hutokaa uache. Mm ni mlevi wa peps nikipata chakula cha mchana lazima iwepo pemben nimejaribu kuacha imeshindikana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom