The Bongo Flava industry in Tanzania; Is still grow or decline?

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
6,469
11,906
Tujadiliane kuhusu Bongo Flava industry ; Is still growing or declining industry?

Ni nini Maoni yako kweny Tanzania music industry.
 
Inakufa kwan hakuna ushindan kwa Sasa na ubunifu hakuna mfano unaniwekeaj hemed kweny movie ya bong ya ngum ety ndio kamnda na kwel akae amuone yule mtoto wa mama
 
Inakufa kwan hakuna ushindan kwa Sasa na ubunifu hakuna mfano unaniwekeaj hemed kweny movie ya bong ya ngum ety ndio kamnda na kwel akae amuone yule mtoto wa mama

All in all nimetafakari ushindani Ni mdogo

Pia hata wasanii wengi wakali wameacha kutoa japo Heat song....

Sijajua tatizo Ni umri au majukumu yamekua mengi.....
 
Tuachane na Bongo Fleva, si ungeandika Kiswahili tu mkuu kuliko kujiaibisha!
Watu Kama nyinyi mpogo tu tangu enzi za mitume......

Mkuu nufundishe mimi sant. Kayumba nilitakiwa niandikeje?

Sisi ndio wale tunao semaga "people used to die in the lake"

Mkuu nirekebishe nilitakiwa niandikeje?
 
All in all nimetafakari ushindani Ni mdogo

Pia hata wasanii wengi wakali wameacha kutoa japo Heat song....

Sijajua tatizo Ni umri au majukumu yamekua mengi.....
Sio umri wal majukum bali now wanakalia majungu tuu kuon nan katoa na akiibuka msanii chipukiz wananuondoa ulimwengun ili asije kua juu
 
Tujadiliane kuhusu Bongo Flava industry ; Is still grow or decline?
Ni nini Maoni yako kweny Tanzania music industry.
Very few good musicians. Most so-called musicians jusy sell hypes and noises using their propaganda media.

Bongo fleva ya sasa imeshikiriwa na Instagram, ukizima Instagram ""Paaap"", 95% ya the so-called wasanii WANAPOTEAAAAA.
 
Kuna wengi wamesahaulika....

Maisha yanaenda kasi sanaaa.....

Au ndio kusema "bussines life cycle"
Ina apply hapa....
 
Mleta mada usiforce lugha za watu
Kwa taarifa Yako nimeandika makusudi....

Na ndio maana Wazungu au wa Asia walikosea kuandika au kutamka nyinyi ndio Huwa mna chekelea chekelea....
NAJUA KICHWA CHA HABARI KIMEELEWEKA ILA UNAJIFANYA BICHWA NGUMU....

Tujikite kweny hoja bro hayo ya ki English chenye matege tuachane nayo.....
 
Back
Top Bottom