bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania muda umefika tuwasamehe Bongo Movie

    Nawasalimu kwa jina LA JMT, moja kwa moja kwenye mada Tangu kuondoka kwa Kanumba ni kama aliondoka na Bongo Movie pamoja na hayo hata kipindi cha Kanumba uongo ulikithiri mno kwenye filamu, ikawa msichana mzuri yeyote anavalishwa kaguo kafupi ndio main character vijana na hereni zao kina Hemedi...
  2. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Fred Vunja bei: Maduka yetu pekee ndio yanauza nguo original hapa Bongo

    Baada ya kusikia jina Vunja bei kwa muda mrefu mitandaoni ikabidi na mimi nigoogle, nikafaikiwa kukutana na podcast moja ya vunja bei. Jamaa ameongea mambo mengi sana na moja amewataka wateja waje kwa wingi kwenye maduka yake maana hamna kitu fake vyote ni original. Anasema ukikuta nguo...
  3. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania BASATA Kuanza Kuhariri Nyimbo za Wasanii Bongo.

    Kuanzia tarehe 1 Mei 2021 BASATA wanaanza kutumia rasmi kanuni ya kuzipitia/kuchuja nyimbo mpya za Wasanii wote Tanzania kabla ya kupelekwa kwenye vituo vya Radio/TV “hii sio sheria mpya, ilikuwepo kabla ila haikua imeanza kutekelezwa, wimbo ukipitishwa Msanii anapewa cheti” Chanzo...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mahali fulani Bongo, patambue

  5. Z

    JamiiForums Tanzania HIGHSCHOOL ALBUM! album inayoenda kumtengenezea Harmonize fanbase nje ya Tanzania. Kwa bongo kamaliza .

    Ukiangalia mikakati ya Harmonize baada ya kutoka WCB ... Utagundua alipunguza Sana Kwanza safari na collaboration za nje. Sababu ilikuwa kutengeneza fanbase bongo Kwanza. Pia kuhakikisha kondegang inatambulika bongo vizuri. Kwakweli kwa hilo kafanikiwa. Kwa Sasa ukipita mitaani hakuna...
  6. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania kuna wachambuzi wa soka au wafata upepo?

    Nimeingia getto muda sio mrefu, nikaona ngoja niweke mawingu fm nisikilize michezo extra..Nakuta ndo kwanza kipindi kinaanza...Moja ya mechi walioiongelea ni game ya Namungo na Raja casablanca na Namungo amepigwa sijajua goli ngapi. Hoja za wachambuzi wa mawingu fm wanasema NAMUNGO imebebwa na...
  7. Mag3

    JamiiForums Tanzania Hofu na wasiwasi watanda ndani ya CCM; wasutana wakigombania bongo. Nani katwaa ubongo usio wake?

    Wahenga walisema ujanja kupata...wakati wa mwendazake viongozi na wanachama wa CCM kwa kuonesha utii walifanya kama tunavyoshuhudia kwenye hii picha hapa chini. Walipigana vikumbo kukabidhi akili zao kwa bwana mkubwa lakini kwa bahati mbaya bongo ziliwekwa kwenye ndoo bila kuwekewa alama...
  8. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Suala la Mugalu imenifanya nigundue jinsi gani wachambuzi wengi wa soka Bongo ni bendera fata upepo

    Mimi ni shabiki wa mpira na mpira ninaujua kwa kuutazama na kuucheza uwanjani. Haiitaji elimu kubwa kugundua kuwa Chris Mugalu hafai na hastahili kuanza kikosi cha kwanza kulingana na kiwango chake hasa uwezo wake wa kufunga. Bahati nzuri kwake ni kuwa udhaifu wake unafichwa na ubora wa timu...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Athari mbaya za Bongo Movies kuwa na Vilaza wengi ndani ya jamii

    ATHARI MBAYA ZA BONGO MOVIE KUWA NA VILAZA WENGI NDANI YA JAMII Kwa Mkono wa, Robert Heriel Wapo watu wataona nimewaandama hawa ndugu zetu, lakini lazima ukweli tuuseme. Hatuwezi sema kuwa hakuna athari chanya walizotupatia Bongo Movies ndani ya nchi yetu, zipo faida kadhaa, kama vile, kutoa...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Bongo Movies wengi ni vilaza, si ajabu wameilaza sanaa ya uigizaji. Wasomi ingieni huko

    BONGO MOVIE WENGI NI VILAZA, SIO AJABU WAMEILAZA SANAA YA UIGIZAJI Anaandika, Robert Heriel Hapana shaka sanaa ya Uigizaji kwa sasa imelala Usingizi wa Pono, imelala fofofo na waigizaji wake wanakoroma. Wapo kwenye ndoto za majinamizi wabaya wanaowakimbiza kwenye mitaro huko usingizini. Tangu...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Net worth za Wasanii wa Bongo

    Wakuu nataka kufahamu net worth za wasanii wa bongo. Nikimtazama mwanamuziki jux naona msanii mkubwa ndani yake. mwenye kipaji. Ana pesa kiasi gani na anazipata je, kwa kuimba tu au ana vyanzo vingine halali? Karibuni.
  12. karim mtila

    JamiiForums Tanzania TFF kuweni na busara

    Leo nataka kuizungumzia mamlaka inayosimamia mchezo wa miguu hapa nchini. TFF ya karia kwa hakika imepata mafanikio kadhaa kama vile kushiriki Afcon Senior na junior, CHAN nk.Lakini pia kuboresha soka la wanawake. Doa kubwa ambalo Rais Karia asipoangalia litamletea matatizo ni hii Issue ya...
  13. He Is Him

    JamiiForums Tanzania Chemsha Bongo!

    Prove 2+2=5
  14. E

    JamiiForums Tanzania Katika cover zote nilizo wahi kusikiliza basi hii ndio cover nzuri kuliko zote hapa bongo

    Habari za leo wakuu, Katika cover zote ambazo nimewahi kuzisikiliza basi hii ndio cover nzuri kuliko zote hapa bongo.
  15. Lihakanga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nitarejea Tanzania iwapo nitaruhusiwa kuanika ‘Maovu’ ya Utawala wa Magufuli

    Tundu Lissu Asema Atarejea Tanzania Iwapo Ataruhusiwa Kuanika ‘Maovu’ Ya Utawala Wa Magufuli NA WANGU KANURI MwanasiasaA mtajika wa Tanzania na mpinzani wa chama cha CHADEMA, Bw Tundu Antiphas Mughwai Lissu hivi sasa amesema kuwa yupo tayari kurejea nchini Tanzania lakini kwa sharti moja kuwa...
  16. Samedi Amba

    JamiiForums Tanzania App/Software ya kuonyesha matokeo Bongo (NECTA)

    Habari wanajamvi, Natumaini tunaendelea vizuri. Kila mwaka sisi hutarajia matokeo ya mitihani. Hata kama sio ya kwako, mtoto/ shangazi/ mpwa/ mke/ mme nk wanahusika. Naomba kujua kama kuna apps au systems au SMS shortcodes nk ambazo zimerahisisha hili, kiasi kwamba sina haja ya kwenda kwenye...
  17. koncho77

    JamiiForums Tanzania Naisubiri Bongo Planet bila ya Dullah

    Leo nasikia Eti ndio anaondoka dah jamaa yupo talented sana sijui kipindi kitakuwaje bila ya jamaa.
  18. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wasanii wa bongo movies wameshindwa kutunga tamthiliya pendwa itakayopata mashiko nchini?

    Tanzania ina wasanii wengi mno lakini cha kusikitisha ubinafsi umewapiga kiasi cha kuua kabisa ubunifu wao. Wazee wenzangu tunakumbuka tamthiliya ya tausi ilivyokuwa na mashiko wakati ule. Hivi inaingi akilini nchi ya uchumi wa kati tunaangalia tamthiliya za wenzetu zilizofasiriwa kwa Kiswahili...
  19. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Bongo sihami ng'oo!

    🤣🤣🤣Kwa burudani zote hizi nitahamaje sasa?😄
  20. mwathadan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania New Multi-Billion Roads Breathing Life into Quiet Kenyan Towns

    Kenya's little-known towns are turning into business hubs with accelerated infrastructure development by the government over the past years. According to the Kenya National Highways Authority (KeNHA), there are 40 ongoing road projects in the country under the agency. All these projects...
Back
Top Bottom