Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,657
- 161,642
Hapa kama white Sands hivi.
Mmmh. Bongo hiyo kwio
Hapa kama white Sands hivi.
Barabara ya Chunya, kona ya Mkoa kwenye bonde la Ufa.
Hapa mafinga iringa
Ali Hassan Mwinyi, Vodacom Tower
Kama njia ya mbinga to nyasa
Hii ni Chunya, nimefika hapa
Hizi sindio zile corner za ajabu kabisa katika nchi! Sijui zinaitwaje tena kuna mahali niliona mtu kapost juzi njia ya Wapi sijui kuja babati