Watanzania muda umefika tuwasamehe Bongo Movie

lulu za uru

JF-Expert Member
Aug 7, 2015
1,638
2,000
Nawasalimu kwa jina LA JMT, moja kwa moja kwenye mada Tangu kuondoka kwa Kanumba ni kama aliondoka na Bongo Movie pamoja na hayo hata kipindi cha Kanumba uongo ulikithiri mno kwenye filamu, ikawa msichana mzuri yeyote anavalishwa kaguo kafupi ndio main character vijana na hereni zao kina Hemedi, gari za ufahari na nyumba za kufikirika kwa familia zilizonyingi za bongo, kukosa uhalisia

Wabongo wakavumilia mwisho wakashindwa kabisa huko kukaifanya Bongo Movie kukinaiwa na kuchukiwa na wabongo walio wengi, zikaibuka filamu kama kigodoro ambayo iliakisi maisha halisi ya Bongo ikaeleweka zikatolewa na the likes za kigodoro nyingi zikapendwa.

Bongo Movie wakawa kama wamejistukia, wakaanza kujirekebisha sasa hivi kuna tamthilia nyingi wanazirusha kiukweli wanajitahidi sana kina hemedy hawavai tena hereni kuna uhalisia mkubwa sana katika hizi tamthiliya.

Mimi nimewakumbatia na sitawanyima riziki waitafutapo kupitia kwangu ni muda sasa wa kuwasamehe wamejua kosa wamejirekebisha japo sio complete ila wanajitahidi sana.
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
57,162
2,000
Hawajielewi..hivi mtu na akili zako. Timamu utawafatilia kweli hao

Ova
 
joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
7,941
2,000
Wamejazana watu wasio na vipaji kisa wazuri wana mvuto Wamejaza wadada wadangaji wenye mishebu na mitako mikubwa,wale mashombe shombe wa kiume walamba lipsi kwa kifupi bongo movie hamna kitu.Yaani bongo movies waigizaji walio ingia kuanzia 2007 na kuendelea 80% ya2anawake hawana talent ya ugizaji na 70% kwa wanaume hawana vipaji kabisa.

Bora umtizame akina Madebe Lidai,Tin White na Mkijanii huko ndipo utaona sana.Wao na matamthilia yao wanatuuzia uzuri tu.Tanzania kuna vipaji kibao vinaachwa kisa hawana matako na shape,sio wazuri.

Yaani Bongo movie limekuwa kama la wadangaji kuificha biashara yao ya kuuza nyapu,yaani mpaka huyu ne muigizaji 👇👇

images (52).jpeg

Yaani Hollywood wangekua na akili za kipuuzi kama za waandaji wa hizi tamthilia wakina Lupita wangekuwa kwao wanalima chai,angalia kipaji cha mtu kwanza alafu uzuri kiwe kigezo cha ziada.
 
lulu za uru

JF-Expert Member
Aug 7, 2015
1,638
2,000
Nilitaka niandike shit mbichi mbichi Ila nikawakumbuka watu Kama kina Mona Lisa, mzee majuto.. muhogo mchungu and the like they don't deserve disrespect.. Sasa Hasira zangu nazimalizia kwako mtoa mada..

Uandishi gani mbovu namna hii Kama Movies za Kibongo?
Nashukuru mkuu walau nimefikisha mawazo yangu nisamehe kama nimekukwaza we we unayejua sana kuandika sana hebu andika tukuone.
 
dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
4,794
2,000
Wamejazana watu wasio na vipaji kisa wazuri wana mvuto Wamejaza wadada wadangaji wenye mishebu na mitako mikubwa,wale mashombe shombe wa kiume walamba lipsi kwa kifupi bongo movie hamna kitu.Yaani bongo movies waigizaji walio ingia kuanzia 2007 na kuendelea 80% ya2anawake hawana talent ya ugizaji na 70% kwa wanaume hawana vipaji kabisa.

Bora umtizame akina Madebe Lidai,Tin White na Mkijanii huko ndipo utaona sana.Wao na matamthilia yao wanatuuzia uzuri tu.Tanzania kuna vipaji kibao vinaachwa kisa hawana matako na shape,sio wazuri.

Yaani Bongo movie limekuwa kama la wadangaji kuificha biashara yao ya kuuza nyapu,yaani mpaka huyu ne muigizaji 👇👇

View attachment 1777986
Yaani Hollywood wangekua na akili za kipuuzi kama za waandaji wa hizi tamthilia wakina Lupita wangekuwa kwao wanalima chai,angalia kipaji cha mtu kwanza alafu uzuri kiwe kigezo cha ziada.

Mkuu huyu dada mwenye hilo shape ni nani? Naye ni Bongo Movie?
 
Gsan Tremendouz

Senior Member
Nov 12, 2019
182
500
Nashukuru mkuu walau nimefikisha mawazo yangu nisamehe kama nimekukwaza we we unayejua sana kuandika sana hebu andika tukuone.
Nisamehe nilikukwaza Mkuu, sorry Sana japo by that time uandishi wako somehow uliniboa.. Ila sikupaswa kufanya vile, unajua jf Ni Kama Psychiatrist session kwa sisi wakongwe.. Sasa tukiingia kwa lengo la kupunguza stress then tunakutana na vijimambo utumbo ndo inakua hivyo.. nisemehe Sana Mkuu!
 
Super Assassin

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
520
1,000
Wamejazana watu wasio na vipaji kisa wazuri wana mvuto Wamejaza wadada wadangaji wenye mishebu na mitako mikubwa,wale mashombe shombe wa kiume walamba lipsi kwa kifupi bongo movie hamna kitu.Yaani bongo movies waigizaji walio ingia kuanzia 2007 na kuendelea 80% ya2anawake hawana talent ya ugizaji na 70% kwa wanaume hawana vipaji kabisa.

Bora umtizame akina Madebe Lidai,Tin White na Mkijanii huko ndipo utaona sana.Wao na matamthilia yao wanatuuzia uzuri tu.Tanzania kuna vipaji kibao vinaachwa kisa hawana matako na shape,sio wazuri.

Yaani Bongo movie limekuwa kama la wadangaji kuificha biashara yao ya kuuza nyapu,yaani mpaka huyu ne muigizaji

View attachment 1777986
Yaani Hollywood wangekua na akili za kipuuzi kama za waandaji wa hizi tamthilia wakina Lupita wangekuwa kwao wanalima chai,angalia kipaji cha mtu kwanza alafu uzuri kiwe kigezo cha ziada.

Haaf sio kila Movie inahitaji uzuri na makalio makubwa hapan, kuna Characters nyingine zinahitaji Africa Strong independent woman anayoiwakilisha jamii sasa utamueka anaejichubua na kuongeza makalio hapana.
Mfano: angalia Black panther Wale female bodyguards wake ni representation ya kuwa wanawake wanaweza kuwa strong na kufanya kazi vizur
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom