nzalendo Platinum Member Joined May 26, 2009 Posts 13,061 Reaction score 15,129 Sep 5, 2023 #1 Sherehe ya kurudi kwa mkewe. Mtaa wa Nd Your browser is not able to display this video. ege....Hananasif Bongo ukifa na stress.............
Sherehe ya kurudi kwa mkewe. Mtaa wa Nd Your browser is not able to display this video. ege....Hananasif Bongo ukifa na stress.............
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 6,035 Reaction score 15,076 Sep 5, 2023 #2 Wazaramo hawajawahi niangusha, always wako happy. Atakosa pesa ya ada lkn pesa ya Kijora muhimu raha jipe mwenyewe buana.
Wazaramo hawajawahi niangusha, always wako happy. Atakosa pesa ya ada lkn pesa ya Kijora muhimu raha jipe mwenyewe buana.
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,722 Reaction score 62,691 Sep 5, 2023 #3 Aisee 😃😃🧐,, huyo mwanaume mzima kweli au ndo madawa yanafanya kazi
Toxic Concotion JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 5,785 Reaction score 21,025 Sep 5, 2023 #4 Kwa miuno hiyo ya hao wanaosherehekea mume anaweza akapata mchepuko mwingine hapo hapo😂😂. Hapo anaechekelea zaidi ni mganga wa huyo mwanamke maana kwa desturi za uswazi lazima alenda kwa babu akaambiwa jamaa lazima atarudi.
Kwa miuno hiyo ya hao wanaosherehekea mume anaweza akapata mchepuko mwingine hapo hapo😂😂. Hapo anaechekelea zaidi ni mganga wa huyo mwanamke maana kwa desturi za uswazi lazima alenda kwa babu akaambiwa jamaa lazima atarudi.
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 14,334 Reaction score 32,309 Sep 5, 2023 #5 wazee wa vigoma na vijora
MtamaMchungu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 10,076 Reaction score 14,938 Sep 5, 2023 #6 Ndio maana wazazi wanakataza kuoa/kuolewa na baadhi ya jamii!