Hawa hapa 30 bora,(Top Bongo Music Beast) watoto wa mjini, bila hawa Bongoflava isingekuwepo

Fortilo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
4,722
14,248
Hii hapa ni list ya wasanii wa bongo hiphop, kizazi cha zamani kilichoshine wakati wote.. waasisi wa Bongoflava.

Kipindi hicho Tanzania kukiwa na radio tatu tu na TV moja ya burdani, yes *EATV

Credits to MJRecords, Bongo Records....

Mambo yalikuwa sawa sana mpaka pale muovu alipoingia akaharibu mziki wa bongo kwa kuingiza siasa za CCM na show uchwara za kwenye vumbi... you may rest wherever you deserve man.

Nazungumzia mziki wenye maudhui(content) ambapo popularity and fame is earned .

Ladies and Gentlemen, the Golden awards goes to:

1. Jay Moe..
2. Langa Kileo R.I.P
3. Mr. Blue
4.Ngwair. R.I.P
5.Q Chillah
6. Solo Thang
7.Dully Sykes
8. Mr Paul.
9.Balozi
10.Mr 11 aka Sugu
11. TID
12. Jay Dee
13.Prof Jay
14.Mwana FA
15. Yessaya.
16.Ferouz
17.Juma Nature
18. Fid Q
19. Inspector Haroun
20.Seleman Msindi
21.O ten.
22 Daz Baba,
23.Godfrey Tumaini. aka Dudu Baya
24.Stara
25.Mb Dogg
26.Chegge
27. Temba
28.Josline.
29.Chid Benz
30. Mr. Nice.

Godzila (R.I.P) , Thanks for your life man.
 
31. Mr II
33. Izzo Buzness
34. Ney Wa Mitego
35. Tunda Man
36. BELLE 9
 
List Haina master jay wala punk..wala Mika mwamba...
Mnafikiri kupiga makelele kwenye majukwaa bila beatmaker inawezekana?
Hamuwajui hata kwanza unit wala hardablasters..wala Muasisi original Saleh Jabri...wala weusi wagumu asilia...Dar young mob
Kina vichwangumu...
Diplomats...Etc...msiongee vitu hamvijui...
Eti Nay wa Mitego nae Muasisi..
Seriously?
 
Vijana hawajui kama tulianza na copy za mamtoni kama Opp,, jump, small ice na nyinginezo zilizopigwa kiustadi na mkali Saleh Jabir,, ngoma zilizosababisha tuanze kuona kumbe tunaweza kupiga za kwetu wenyewe na zikabamba,, binafsi natoa shukrani zangu kwa wafuatao vijana wawatambue,,

Saleh Jabir
The Diplomats
Kwanza Unite (K.U clue)
WWA
Mr II
Cool James (mtoto wa dandu)
Soggy Doggy Hunter
Sosy B
na Hard Blasters

Wengine wamekuta jukwaa lilishaimarishwa lakini hivi vichwa haswa ndio wanaostahili maua yao,,
 
Matonya,
Banana Zoro,
Ally Kiba for real.
 
Screenshot_2023-09-10-08-04-41-45.jpg
 
Kuna ile ngoma kali Beyonce alimshirikisha O Ten nimesahau jina nikumbushe.
 
Hivi kweli sasa hivi unaweza kaa ukasikiliza ngoma eti kuku kapanda baiskeli bata kavaa raizoni?

mrangi
 
List Haina master jay wala punk..wala Mika mwamba...
Mnafikiri kupiga makelele kwenye majukwaa bila beatmaker inawezekana?
Hamuwajui hata kwanza unit wala hardablasters..wala Muasisi original Saleh Jabri...wala weusi wagumu asilia...Dar young mob
Kina vichwangumu...
Diplomats...Etc...msiongee vitu hamvijui...
Eti Nay wa Mitego nae Muasisi..
Seriously?
Mwenye uzi obviously hajui historia ya muziki wa kizazi kipya.
 
Vijana hawajui kama tulianza na copy za mamtoni kama Opp,, jump, small ice na nyinginezo zilizopigwa kiustadi na mkali Saleh Jabir,, ngoma zilizosababisha tuanze kuona kumbe tunaweza kupiga za kwetu wenyewe na zikabamba,, binafsi natoa shukrani zangu kwa wafuatao vijana wawatambue,,

Saleh Jabir
The Diplomats
Kwanza Unite (K.U clue)
WWA
Mr II
Cool James (mtoto wa dandu)
Soggy Doggy Hunter
Sosy B
na Hard Blasters

Wengine wamekuta jukwaa lilishaimarishwa lakini hivi vichwa haswa ndio wanaostahili maua yao,,
LWP (majitu)
Mabaga Fresh
King Sepeto
Hashim aka Dogo
Big Dog Posse
GWM
Manzese Crew
Jaffarai
Solid Ground Family
Jos Mtambo
Manduli Mob
 
Back
Top Bottom