Bodi ya Mikopo (HESLB), mfumo unasumbua kujaza fomu online

5525

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
5,412
6,273
Bodi ya mikopo kwanini unapojaza taarifa kama tarehe ya kuzaliwa ya muombaji, wilaya mkoa bado kuna question mark mfumo haukubali?

Nani amefanikiwa kujaza hizi form kwanini mara hii imekuwa complicated kiasi hichi nina lisit ya wanafunzi tele hapa imegoma eneo hilo. Simu za bodi hazipatikani.
 
Aisee hivi ile birth verification number naipataje?
Ni Shida, ukiwapigia simu wanasema login Rita ukilogin Rita hakuna birth verification number Bali unakuta Entry number ambayo pia ipo katika cheti cha kuzaliwa, sasa sijui huwa wanamaanisha nini
 
Bodi ya mikopo kwanini unapojaza taarifa kama tarehe ya kuzaliwa ya muombaji, wilaya mkoa bado kuna question mark mfumo haukubali?

Nani amefanikiwa kujaza hizi form kwanini mara hii imekuwa complicated kiasi hichi nina lisit ya wanafunzi tele hapa imegoma eneo hilo. Simu za bodi hazipatikani.
Nime-experience the same problem kama wewe hadi sasa bado sijafanikiwa wengine wanasema ni tatizo la mfumo. Zile namba wameziweka pale kama mapambo hazipo active. Sijajua wew umeshatatua tatizo au bado? Naomba mrejesho pia nijue nitafanikishaje jambo hilo.
 
tayari kitambo wamerekebisha
 
MWENYE SHIDA YA RITA,NACTE(AVN) NA MKOPO(HESLB) ANIAMBIE NIMSAIDIE HAPA HAPA BUREEEEEEEEEE
 
Verification namba ya cheti RITA naipataje?
RITA Jinsi ya kupata verification code( bonyeza birth services- certificate verification kisha bonyeza print yenye rangi nyekundu(KWENYE KILE CHETI ULICHOTUMA RITA) utaona namba iliyopo juu kulia) Asante.RITA
 
Verification namba ya cheti RITA naipataje?
RITA.PNG
 
Asante mkuu wa wakuu lakini nilitaka kuverify vyeti viwili cha ajabu nimekuta kimoja cha kifo, cha kuzaliwa bado.
Kuwa na subra mkuu Kuna mtu nilimuombea imechukua Zaid ya siku 10 Hadi 15 za kazi
 
pasword inagoma ndgu yngu wakt wao ndo walinipa, naomba nisaidie ndugu
Kama inagoma na unaandika sahihi hapo sehemu ya kuwekaa password Kuna link nyekundu inauliza forgot password bonyeza watakuomba uinginz namba ya mtihani, namba ya Simu uliyotumia kujiunga na email baada ya hapo bonyeza button ya rest au request chin watakutimia link kwenye email utatengeneza password upya au watakutimia code kwenye simu then utaingiza itengenezwe password mpya
 
Back
Top Bottom