Ombi kwa Bodi ya Mikopo (HESLB): Wasaidieni vijana wa elimu ya juu kwa kuongeza kiwango cha mikopo

The Buffalo

Member
Nov 27, 2020
24
33
Gharama za maisha zimepanda; hii ikimaanisha bei za vyakula na bidhaa zingine muhimu ikwemo huduma za steshenari, afya, usafiri, vyombo vya usafi na vingine vingi.

Ninayo imani Bodi ya Mikopo ya Elimu yavJuu ya Tanzania (HELSB) mnafahamu na kuelewa juu ya kupanda kwa gharama za maisha na mfumuko wa bei.

Naomba muwasaidie vijana wa elimu ya juu kwa kuongeza kiwango cha mikopo.

Wote mnajua na kufahamu vika juu ya haya na tabu na hali ya maisha. Msijifanye Hamuoni umuhimu.

Tafadhalini naomba muongeze mkopo.

Suala la kulipa lipo tu.

Acheni mazoea na angalieni uhalisia wa maisha.
 
Hili suala litategemea na sera ya utawala sekta ya Elimu
 
Back
Top Bottom