wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,048
- 2,442
Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu wamemgomea waziri wa elimu, kwa kuipiga stop kamati yake chunguzuzi kukanyaga HESLB.
Kutokana na uzito wa wajumbe wa bodi hiyo, waziri alishindwa kuwafanya kitu na badala yake aliibukia kwenye media na vitisho uchwara kwamba atawala vichwa.
Kumuonyesha waziri kwamba wao ni nani, heslab waliwapunguzia wanafunzi waliokuwa wamepata mkopo 100% hadi 50% na wengine 0%.
Hiyo yote ni kumuonyesha waziri kwamba 'wao ni nani' au 'unatujua sisi ni nani'?. Waziri akanywea.
Jana, swala hilo likaibukia tena bungeni na, baada ya mjadala mrefu na mikwara kibao ya wabunge dhidi ya bodi ya heslab, ikaazimiwa kwamba kamati husika ya bunge iwaite heslb na kuwaweka kitimoto.
Sasa mimi kama mwenye masilahi na jambo hili namuuliza waziri kama alishawahi kukaa kikao na bodi au wafanyakazi wa heslb kuzunguzua jambo hilo?
Kutuambia sisi kwamba kamati yako ya uchunguzi juu ya mikopo kukataliwa kutia mguu heslb, ina maanisha nini na hasa kwako wewe kama waziri?