bodaboda

Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Clouds 360 yawauliza Bodaboda kama Mbowe alivamiwa au alianguka mwenyewe jijini Dodoma

    Watangazaji wa Clouds 360 wametembelea kijiwe maarufu cha kahawa jijini Dodoma na kufanya mahojiano na madereva wa Bodaboda. Bodaboda waliulizwa maswali mawili ya msingi: 1. Je, Rais Magufuli akimaliza muhula wake wa pili wa uongozi aongezewe 10 mingine? 2 Je, kwa mnavyofahamu Mwenyekiti wa...
  2. Aizi Azma

    Uhuru huu waliopewa bodaboda ni takrima?

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amenukuliwa akisema; - "Hakuna Bodaboda wala Bajaji itakayokamatwa eti kisa ameingia katikati ya Jiji, mtafanya kazi zenu kwa uhuru mipaka yote ya Dar es Salaam ni halali yenu, hata mkisema tunafanya tamasha la Bajaji na Bodaboda hapa Mnazi Mmoja tutafanya, kikubwa...
  3. Tripo9

    Hili la Makonda kuruhusu bodaboda kuingia katikati ya jiji la Dar es salaam linafikirisha sana kwa hawa wanasiasa wetu

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Makonda karuhusu boda ziingie katikati ya jiji. Zuio hili hapo mwanzoni bila shaka lilikua na maana yake pana na imekua kawaida na imekua kama sheria boda boda haziingii katikati ya jiji. Nimezumguuka miji kadhaa mikubwa hua hiki ni kitu wenzetu wengine...
  4. Dam55

    GE2020 RC Makonda: Waendesha bodaboda wajitokeze kuwania nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu kupitia CCM

    Hiyo ndio kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda akiwataka waendesha boda boda wajitokeze kuchukua fomu kugombea nafasi mbali mbali katika uchaguzi mkuu kupitia CCM. Anasema CCM kuna Demokrasia ya kutosha hivyo basi ni haki yao kugombea. Maoni Yangu Hiki nacho ni kituko...
  5. sawe4u

    MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU WA JF Twende pamoja kwa waliotumia na wanaotumia pikipiki tuu. Kati ya hizi pikipiki unaipenda sana ipi na kwanini(based katika matumizi binafsi)? 1. Boxer 2. SANLG 3. Feckon 4. TVS King 5. Hero 6. King Lion 7. Houjo --- --- --- BAADHI YA MAONI...
  6. sonofobia

    Jinsi biashara ya spea za bajaji na bodaboda inavyoweza kukulipa

    Asalaam aleykum, Naomba mwenye uzoefu au uelewa wa biashara ya spea za bajaj na bodaboda anisaidie mawazo. Ninataka sana kufanya hii biashara lakini sina taarifa zake sahihi. Nataka niifanyie DSM maeneo ya Tabata au Kimara. Mtaji nategemea kuanza na million 5 au 7 hivi. Nimepata idea ya...
  7. mathsjery

    Hawa bodaboda hawana akili kabisa, imetokea kenya

  8. KITAU TRANSPORT AND GPS

    SOFTWARE Funga GPS kwenye magari, pikipiki yako na komesha wizi

    Habari Wadau wa Jamii Forum, Nimeanzisha biashara ya usalama wa vyombo vya moto kupitia GPS na ninahitaji support yenu. Kama mnavofahamu, biashara katika sector ya usafiri imepamba moto nchini.Lakini palipo na biashara hapakosi changamoto. Wizi wa vyombo vya usafiri kama Pikipiki, Bajaji...
  9. M

    Naomba kusaidiwa vitu vifuatavyo kuhusu hii biashara ya pikipiki

    Wakuu, naomba kusaidiwa vitu vifuatavyo kuhusu hii biashara ya pikipiki. 1.Aina ya pikipiki uliyokuwa unatumia au aina ya pikipiki unayopendekeza kwenye hii biashara 2.Wastani wa pesa uliyokuwa unapata kwa siku au weekly. 3.Gharama yamatengenezo kwa siku au kwa mwezi Natanguliza shukrani zangu...
  10. kasambalakk

    Biashara ya boda boda

    Hongereni kwa kufunga kwa upande wa ndugu zetu waislam na pia kwa ndugu zetu wakristo tunasema tupo pamoja na nyinyi ili mradi tusiweze kuaribu swaumu zenu kwa njia moja au nyingine.. sasa ndugu zangu me nataka kuanza kufanya biashara ya boda boda nitampa kijan awe dereva wangu...tatizo nina...
Back
Top Bottom