bodaboda

Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ombi: Trafiki wabuni tochi kwa ajili ya kudhibiti bodaboda

    Kama mliweza za magari nadhani hata bodaboda mtaweza. Hizo spidi zao kwakweli ni za kufa mtu!
  2. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kazi hizi hufanya Wanaume wengi kula tunda kimasihara

    Wachungaji / ma ustadh / waganga feki - wanawake wengi sana wanasukumwa na Imani na ndio maana idadi yao ni kubwa kanisani, kwa waganga na wanaoenda kwa maustadh kwa tiba, matatizo Yao huwa kwenye uzazi, ndoa, malimbwata, kuombewa miujiza, kuroga, kuondoa nuksi, n.k hapa sasa kuna watu tajwa...
  3. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Bodaboda zinachangia kumomonyoka kwa maadili

    Wakuu, Biashara ya bodaboda imekuwa mkombozi kwa kurahisisha usafiri katika maeneo mengi nchi hii, mijini na hata nje ya miji. Lakini pia imekuja na mambo mengi maovu, kama vile kutumika katika ujambazi na unyang'anyi ukiachilia mbali ajali nyingi zinazosababisha ulemavu wa kudumu hata vifo...
  4. rich1

    JamiiForums Tanzania TARURA Kiteto yapanga kukusanya Tsh 300 kila siku kwa bodaboda inayopaki pembezoni mwa barabara

    Kwema ndugu zangu. Juzi walikuja TARURA kijiweni kwetu wakatwambia wanataka kukusanya kodi shs mia tatu(300/=) kila siku kwa boda boda inayopaki pembezoni mwa barabara. 1.300*30siku shs 9,000/=(kwa mwezi) 2.300*365siku shs 109,500/=(kwa mwaka) 3.100*109,500 shs 10,950,000/=(kwa boda boda mia...
  5. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Bodaboda: Furaha za punguzo la adhabu ya makosa ya barabara imepotea?

    Tulishuhudia na kusikia shangwe za wabunge, Bodaboda na wamiliki wa pikipiki wakati bajeti inasomwa na mheshmiwa Wazili Mche. Naomba kufahamu, hali ya sasa katika Hilo nchini kwakuwa, nimeona idadai ya pikipiki inaongezeka katika vituo vya polisi. Mbaya zaidi, nimeona askali wetu wakizisaka...
  6. GRAMAA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mke wangu(mama Agness) na jamaa yake wamefariki dunia kwa ajali ya pikipiki

    Nimepigiwa simu kuwa aliyekuwa mke wangu(mama Agness) amepata ajali mbaya ya pikipiki maeneo ya Mtoni Mtongani, kwa Buruda. Ajali hiyo imepelekea kifo chake na jamaa yake hapohapo. Kwani jamaa ndiyo alikuwa dereva wa pikipiki hiyo. Daah huu mwaka umeniijia vibaya sana sana sana mpaka sielewi...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nimejiwekea msimamo; Sipandi bodaboda za hivi mimi, mara mia nitembee

    Ni misimamo yangu kwamba; Sipandi bodaboda isiyo kuwa na kioo (side mirror), maana mambo ya kugeuziwa shingo kila muda ujinga huo sitaki, Mara ageuke nyuma akosee tuelekee mtaroni spendi kabisa! Sipandi bodaboda ya bonge au mtu mwenye kitambi; Haiwezekani mi nilipe buku halafu siti yote akalie...
  8. DustBin

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia nzuri za kupunguza ajali za bodaboda

    Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la matumizi ya pikipiki kama njia ya usafirishaji kuanzia mijini hadi vijijini hapa kwetu Tanzania. Matumizi ya pikipiki maarufu kama Bodaboda yamepunguza adha na changamoto ya usafiri kwa kiasi kikubwa sana hasa katika maeneo ambayo...
  9. Nchi Kavu

    JamiiForums Tanzania SoC01 Bodaboda na hatari iliyoko mbele yetu kama Taifa

    Hii picha nimeitoa mtandaoni Ipo changamoto inayoonekana kwa sasa kukua kwa kasi sana na ambayo isipofanyiwa kazi mapema basi tutakuwa na watoto/vijana wengi wenye matatizo ya kifua. Kwa sasa wimbi la bodaboda limeshika kasi. Ndio usafiri wa watu wa kati katika kuwahi shughuli zao za kila siku...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Usalama barabarani, ukiona bodaboda kaning'iniza sendo na kitambaa kwenye exhaust usipande

    Hii ni kwa usalama wako! Kuna ajali na vifo vingine vinapangwa na wanadamu wenyewe kwa kutokujali na kuangalia usalama wa barabarani Kiukweli dereva bodaboda wengi ndani ya jiji la Dar es salaam hawajali usalma wao kabisa, hii imepelekea vifo na ulemavu wa kudumu kwa kundi hili na abiria wengi...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lamu: Viongozi Wataka Wanawake Waislamu Wapigwe marufuku Kupanda Bodaboda

    Wanadai wanawake Waislamu hukiuka sheria za dini hiyo wakati wanaabiri bodaboda kwa sababu baadhi ya sehemu za mwili wao ambazo ni siri hubaki wazi. Viongozi hao walisema shera ya dini hiyo hairuhusu mwanamke kukaribiana na mwanamume ambaye si mume wake. Wazee na vijana wa Kisomali walikuwa...
  12. X

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva wa bodaboda

    Habari ndugu zangu Mabibi na mabwana napenda kuwasalimu wakubwa na wadogo, Lengo la Ujumbe huu ni kuomba kwa yeyote ( MWENYE PIKIPIKI YA MKATABA/ HESABU ) nipo tayari kufanya kazi nina patikana Ubungo River side Licence number ( D ), Natanguliza shukrani na Muenyezi mungu awabaliki.🙏
  13. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Connection ya bodaboda Dodoma

    Habari za leo wakuu, kijana wenu nimerudi tena Naomba yeyote mwenye kujua mtu anayehitaji dereva wa bodaboda yake aniunganishe maana naweza kufanya hiyo kazi kwa ufanisi mkubwa. Napatikana Mipango Dodoma 0624008133 Natanguliza shukrani. Zanzibar-ASP
  14. Mr Samba

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kijiweni kama dereva bodaboda

    Ni matumaini yangu mpo salama wote. Baada ya kusota mtaani kwa miaka miwili tokea kumaliza degree yangu nimefanikiwa kujikusanya na kupata kapesa kidogo. Baada ya kuwaza sana nimeona ninunue pikipiki kwaajili ya biashara ya bodaboda ambayo nataka niifanye mimi mwenyewe. Hatimaye kila kitu...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Kushusha kiwango cha Faini kwa Bodaboda haina Maana wavunje Sheria. Asema kimya Kimetawala kwenye ujambazi

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Simbachawene akiongea mbele ya Rais Samia amesema pamoja na uamuzi mzuri wa kushusha kiwango cha faini kwa Bodaboda haina maana kwa vijana kwa vijana watumie nafasi hiyo kuvunja sheria ya usalama barabarani. Simbachawene amesema pamoja na jitihada zinazofanywa na Jeshi...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Yaliyojiri kwenye Ziara ya Rais Samia Suluhu. Azindua Kiwanda cha Kusafisha dhahabu na Jengo la (BoT)

    Saa Nne Kamili Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan atawasili mkoani Mwanza kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu. Rais wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan katika Ziara hii anatarajiwa kutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali mkoani Mwanza ukiwemo wa ujenzi wa daraja la...
  17. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Punguzo la faini kwa bodaboda na bajaji: Serikali imejiridhisha kuwa halitaongeza vurugu na ajali barabarani?

    Mwanzo mwanzoni nikiri kuwa nimefuatilia na bado naendelea kuchambua Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Kuna jambo, lakini, nimeliona kwa haraka. Ni kuhusu pendekezo la kupunguzwa kwa adhabu kwa makosa ya barabarani kwa waendesha pikipiki almaarufu kama bodaboda na bajaji...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona trafiki akimpiga faini bodaboda, Serikali ifute kabisa hii faini

    Ndugu zangu, Nimekuwa nikipita barabarani ukweli ni kwamba ni ngumu sana trafiki kukamata bodaboda. Mara nyingi nimeona wanaokamatwa na trafiki ni waendesha magari sio waendesha bodaboda. Hata kwa hii faini ya elfu kumi sioni trafiki wakikusanya wala bodaboda wakilipa. Hesabu ya bodaboda kwa...
  19. JF Member

    JamiiForums Tanzania BodaBoda wamepunguziwa adhabu ya Trafiki, wanakutana nayo kwenye LUKU

    Nimesikitika kidogo hapa. Naamini wabunge watatupambania. Kama LUKU zitakuwa na Kodi ya Majengo basi ghalama za Maisha zitapanda mara dufu. Kinyozi lazima apandishe bei, wauza vinywa vya baridi, Wachomelea vyuma n.k. Kubwa ni pale ambapo LUKU emebebeshwa zigo la Kodi ya Nyumba. Kuanzia mpangaji...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Aliyeishuhudia ajali iliyoua dereva bodaboda Goba saa 1 usiku (8-6-2021), tufahamishe ilivyokuwa

    Kwa jinsi Dereva ' Bodaboda ' alivyokuwa kaumia vibaya Kichwani na Kuburuzwa nilishindwa Kujizuia na Kusikitika sana tu na kujikuta nakimbia (natoka Baru) eneo la Tukio kwa Kiwewe na kwenda 'Kuisikilizia' Ajali kwa mbali. Najua (Huenda) Tukio lile lilishuhudiwa na mwana JamiiForums mwingine...
Back
Top Bottom