Bodaboda ya mkataba faida inapatikanaje?

Regent

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
2,270
2,000
Wadau naomba kuuliza anayechukua bodaboda ya mkataba ili kumpelekea kilasiku hesabu Boss 10,000 anaweza kuingiza Tzs ngapi kwasiku akifosi kwelikweli, sehemu ya kazi mtoni kijichi.
 

Mr Confidential

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,090
2,000
Kati ya 15,000 hadi 40,000. Kwasababu siku hazifanani, tabia ya dereva ina mchango mkubwa katika mafanikio ya kazi hii.
 

Dullah07

Member
Apr 12, 2017
89
150
Faida ya dereva ni kubwa kuliko hata bosi kwani ktk siku 7 dereva anaweza akapiga siku 4 zote zake halafu hizo 3 wakagawana na mshua na maisha yakaendelea sema wengi wao hawaheshimu hesabu ya bosi ndo mana hawadumu na hiyo mikataba na tena kama dereva ukiamua kudabo hesabu utamaliza nusu ya muda mliokubaliana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom