bima

  1. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Biashara ya uwakala wa bima

    Jf kwa kipindi chote imekuwa na wataalamu mbalimbali. Naomba kujua maokoto au makadilio ya maokoto ya wakala wa bima(gari) katika bima moja yapo vipi. Natanguliza Shukurani...
  2. Beberu

    JamiiForums Tanzania Bima ya afya iache ubaguzi

    Mnogage, Wakuu kuna kitu mm sikielewi kuhusu bima ya Afya ya Taifa, NHIF, bima hii ni yetu sote lakini m naona imekaa kuwapendelea watumishi wa serikali na kututesa watu tulipjiajiri ambao ndio wengi, Kwanin nasema hivyo ? Tazama, mtu anaelipwa 1,040,000/- anakatwa 31,000/- kwa mwezi kama...
  3. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto ashusha gharama za Bima ya Afya

    Rais #WilliamRuto amesema Serikali itafanya mabadiliko kwenye gharama za matibabu kwa Wananchi wa kipato cha chini wanaotumia Bima ya Mfuko wa Bima wa Taifa (NHIF) ambapo waliokuwa wanalipa Tsh. 8,201 kwa mwezi wataanza kulipa Tsh. 4,921. Ruto ameongeza kuwa Wananchi ambao hawana uwezo wa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanaoishi katika mazingira magumu kupatiwa Bima ya Afya iliyoboreshwa CHIF Kyela

    Zaidi ya Wananchi 100 Wilayani Kyela Mkoani Mbeya, wanaoishi katika mazingira magumu wanatarajiwa kupatiwa Bima ya Afya iliyoboreshwa CHIF na Umoja wa Wanakyela waishio ndani na nje ya Nchi katika Kyela Ibasa Festival itakayofanyika Desemba 27, 2023 Wilayani humo. Huo utakuwa ni msimu wa tano...
  5. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Serikali yaipa NHIF miezi mitatu kuimarisha mfumo wa TEHAMA kuondoa usumbufu wa wagonjwa wa Bima

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel, leo Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Geita Mjini, Constantine John Kanyasu (Kwa niaba ya Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu) aliyeuliza kwa nini NHIF inazuia matibabu ya baadhi ya wagonjwa wenye Bima za Afya wakiwa Hospitali. “Ni kweli...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Bunge limepitisha tozo kwa wote badala ya bima kwa wote

    Bima kwa watu wote sio mchezo mchezo kama huu. Watu wetu wanaugua sana kutokana na mbu wengi, funza wengi, ajali nyingi, takataka nyingi mitaani na majumbani, ukosefu wa chakula, ukosefu wa maji safi, matuzi ya Kuni, nyumba duni na bidhaa zisizo na ubora. Huwezi kuwekea mtu bima ambae unajua...
  7. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Tunafuta Bima kwa mtoto tunaenda kumlipa Mafao mwenza wa kiongozi!

    TUNAFUTA BIMA KWA MTOTO TUNAENDA KUMLIPA MAFAO MWENZA WA KIONGOZI. Na Thadei Ole Mushi 1. Hili la kulipa mafao wenza wa Viongozi linatafakarisha. Cha muhimu sana wasiwasahau wenza wa wanajeshi wetu ambao hulala mipikani kulilinda taifa, madaktari na wauguzi wanaolala mahospitalini kuokoa roho...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote wa Mwaka 2022 wasomwa Bungeni, leo Novemba 1, 2023

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 13, Kikao cha 2, leo Novemba 1, 2023 ambapo Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote wa Mwaka 2023 unasomwa. ==== MAELEZO YA MHESHIMIWA UMMY ALLY MWALIMU (MB), WAZIRI WA AFYA AKIWASILISHA MUSWADA WA KUTUNGA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tozo za Miamala, Kodi za Vinywaji Vikali kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

    Akiwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni baada ya kukwama mara mbili, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema baada ya Serikali kutakiwa kueleza chanzo cha Fedha zitakazoendesha Bima ya Afya kwa Wote, Wizara ya Fedha imeridhia kuhamisha baadhi ya Kodi na Tozo kwenda kwenye mfuko huo...
  10. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Serikali kurudisha tena Mswada wa Bima ya Afya kwa Wote tena bungeni kesho 01/11/2023

    Serikali kupitia Wizara ya Afya inatarajia kurejea Bungeni tena hapo kesho Novemba 1 2023 na Muswada wa Bima ya Afya kwa wote ambao ulikwama mnamo Mwezi Februari 2023 kwa hoja iliyotolewa na Bunge ya kutokuwepo kwa chanzo endelevu cha fedha kutekeleza Mpango huo. Muswada huu ni ndoto ya...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wafanyakazi wa viwandani iwe lazima kisheria

    Habari wana JF! Ndugu zangu nimefanya kazi katika baadhi ya viwanda mkoa wa Pwani nimegundua wapo Watanzania wanafanyakazi maeneo hatarishi sana. Ndugu zangu kama mnavyojua viwandani kuna kemikali na emissions nyingi mno. Ingawa kwenye sheria zetu kuna taratibu nyingi zimewekwa kwa ajili ya...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Shule za binafsi (msingi na sekondari) kutoza wazazi/ walezi bima za afya wanafunzi kwa kila mwaka Ummy mwalimu unalifahamu hilo?

    Kuna wimbi limeingia kwenye wizara ya elimu shule binafsi kutoza bima ya afya 300, 000 kila mwanafunzi kwa kila mwaka. Hizi bima ni halali au wazazi/ walezi tuna upinga mwingi!
  13. JohMkimya

    JamiiForums Tanzania Je, BIMA ilianza kwa njia ya kamari?

    Kuna maoni tofauti kuhusu asili ya bima na uhusiano wake na kamari. Wakati mifumo ya kwanza ya bima ilianza kama njia ya kulinda dhidi ya hatari na upotezaji wa mali badala ya kamari, kuna muktadha ambapo mifumo ya bima ya awali ililingana na mchezo wa kamari. Katika mifumo ya awali ya bima...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Bahati Ndingo AWAKATIA BIMA Wazee 1,000

    MBUNGE BAHATI AWAKATIA BIMA WAZEE 1000 Katika kuadhimisha siku ya wazee Duniani mwaka huu, Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Kanali Denis Mwila amesema Serikali itaendelea kuthamini mchango wa wazee ikiwa ni pamoja na kutafuta utatuzi wa kero zinazowakabili ikiwemo katika sekta za afya. Mkuu wa Wilaya...
  15. tpaul

    JamiiForums Tanzania Serikali: Huu ndio ushauri wa mwisho kwa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF)

    Katika siku za karibuni Bima ya Afya ya Taifa imekuwa gumzo kila kona, hasa inapodaiwa kwamba mfuko huu wa bima unaotoa matibabu kwa watumishi wa umma na familia zao, unakaribia kukata roho. Naomba kutangaza masilahi (declare interest) kwamba mimi ni mnufaika wa mfuko huu kupitia wazazi wangu...
  16. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Pato la taifa kupitia Sekta ya Bima inatajwa kukua

    Ukuaji wa Pato la Taifa kupitia Sekta ya Bima Nchini inatajwa kukua kwa kipindi cha miaka mitano ambapo mauzo ghafi ya Bima yameongezeka hadi kufikia Trilioni 1.2, ukilinganisha na ongezeko la shilingi Bilioni 691.9, mwaka 2018. Akitoa ufafanuzi wa ongezeko hilo, Kamishna wa Bima kutoka Mamlaka...
  17. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Kwa Hili la Bima ya Afya Kwa watoto-Hapana

    NHIF Waongeza gharama za Bima ya Afya kwa Watoto, sasa kulipa Tsh. 120,000/= badala ya Tsh. 50,400/= NHIF Yasajili Wanafunzi 342,933 Bima ya Afya Waziri Ummy: Toto Afya Kadi haijafutwa ila sasa Watasajiliwa Shuleni kwa gharama ileile ya Tsh 50,400 Uzi huu ambao JF waliufuta amba niliandika...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Bima ya Afya (NHIF): Wekeni uwiano mzuri kwa wanufaika wa wachangiaji wa mfuko huo

    Napenda kuishauri NHIF kuwa kama utaratibu unaruhusu watu sita (6) kwa mchangiaji basi aruhusiwe kuwaweka bila vipingamizi ilimradi wasizidi idadi hiyo inayokubalika. Mfano kama mchangiaji hana watoto wanne aruhusiwe kuwaweka wengine bila kikwazo. Kama mchangiaji hana wazazi wote au mmoja...
  19. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Nchi ya ajabu: Tunafuta bima ya afya ya watoto tunapitisha wake za vigogo walipwe posho

    Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini. Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!! Kuna...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa bima ya afya ya Taifa! NHIF

    Hawa vijana mliowaweka kwenye hospitali mbalimbali kuhakiki kadi za bima kwa wagonjwa ni kero kubwa mno. Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwani hawana customer care nzuri na wanauliza maswali ya kijinga Sana yenye kumkerehesha mgonjwa! Mfano wa swali la Leo hii niliulizwa Kama, "hivi...
Back
Top Bottom