bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania bila ajali inawezekana

    Ajali nyingi zikitokea huwa tunasema ni uzembe wa dereva mm sikatai Kuna muda ni kweli ila Kuna muda nakata sio uzembe wa dereva Bali ni uzembe wa mmiliki wa hicho chombo.nitatoa vitu vinavyo weza kumaliza tatizo la ajali Tanzania miaka mitano mpaka kumi ijayo kama serikali ikiamua 1. Gari...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba njia sahihi ya kukataa uteuzi wa rais bila kumkasirisha Rais

    Sio utani. Wakuu heshima kwenu. Vyanzo vyangu vya uhakika kabisa ambavyo vingine viko kwenye jungu la ushauri la uteuzi wa rais vimeniambia ndani ya wiki moja mpaka mbili jina langu litakuwa moja katika mabadiliko fulani fulani katika uRC na uDC. Nimeambiwa kwa uhakika kabisa kuwa kuna...
  3. JamiiForums Tanzania Israel imeshaichukua Rafah yote. Hakuna bataliani za Hamas wala mateka. Inaua tu bila kizuizi ikipingana na amri ya ICJ

    Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama. Baada ya kuchukua udhibiti wa lango la mpaka wa Rafah wiki mbili nyuma leo imetangazwa kuwa jeshi la Israel...
  4. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kilimo na ufugaji vinawezekana serikali ikiboresha mazingira

    Kumekuwa na dhana potofu hasa katika maswala ya kilimo na ufugaji kwamba vijana hawapendi kilimo na ufugaji vijana ni wavivu.mm niseme hata hao wanao sema vijana hawapendi kilimo na ufugaji nao ni wavivu Sana ajabu wao wenyewe wameajiliwa na mtu hyo wanae msimanga mvivu na hapendi kilimo na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Hakikisha unaweza kuishi miezi sita bila mshahara na usiathirike, hapo utakuwa mstaafu mzuri ajaye

    Maisha ya ajira yanafanana na ndoa , kwenye ndoa kila siku watu watu wanatamani kuingia huko mpaka kwenda kwa waganga ila wanasahau kitu kimoja ambacho ni kujiandaa kuishi ndani ya ndoa hiyo na kwenye ajira kila siku watu hutafuta kazi ila wanasahau kuwa kuna siku wataishi bila hiyo kazi...
  6. JamiiForums Tanzania Albatros ndege anaye spend miaka sita ya mwanzo bila kutua chini.

    Albatrosi ni ndege wakubwa wa bahari katika familia Diomedeidae. spishi hizi za ndege wana mabawa marefu kabisa kuliko ndege wote duniani. Albatrosi ana mabawa ambayo mawili pamoja yana urefu wa sm 310 kwa wastani na urefu mkubwa kabisa uliopimwa ulikuwa sm 370. Rangi zao zinatofautiana kutoka...
  7. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jinsi ya kujenga taifa na jamii yenye maendeleo endelevu bila kuvunja misingi na miiko ya jamii na taifa

    Kama inavyoaminika katika Taifa lolote lolote misingi ya maendeleo hutokana na uwepo wa rasilimali zilizopo kwenye Taifa hilo,Taifa misingi yake ni Jamii zinazolizunguka taifa hilo, hivyo Uimara wa taifa hutegemea uimara wa jamii zinazolizunguka,Taifa lolote ili liitwe taifa ili liweze kuendelea...
  8. JamiiForums Tanzania Prof. Mukandala: Meli ya MV Bukoba ilifanya kazi Tanzania kwa miaka 17 bila kusajiliwa na haikupaswa kuletwa nchini

    Aliyewahi kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Rwekaza Mukandala amezitaja sababu mbalimbali zilizosababisha kuzama kwa meli ya Mv Bukoba kwa kurejea maandiko, hotuba, tafiti, hukumu za kesi zilizohusu sakata hilo. Profesa Mukandala ameyasema hayo leo Jumanne Mei 21...
  9. JamiiForums Tanzania Swali kwa Wanasheria, ni kesi zipi unaweza kufunguwa direct mahakamani bila kupitia Polisi?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nauliza ni kesi zipi unaweza kufunguwa mahakamani direct bila kupitia Polisi kulikojaa rushwa na mtuhumiwa kuwa ndio mwenye haki?
  10. JamiiForums Tanzania Ndugu katika imaan, inakuwaje nchi ya kiislamu maiti iwekwe wiki nzima bila kuzikwa?

    Kuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko alipofia. Je hamuoni kwamba Iran ni Jamhuri ya kiislamu lakini hawafuati uislamu unasemaje?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mtaje memba ambaye bila kificho unaona leo anafurahia sana tukio lililotokea huko Iran na hukumtegemea

    Naanza na LOTH HEMA
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza wajuvi, mtu aliyekaa miezi 18 bila kuajiriwa, alivyorudi mfuko wa hifadhi ya jamii ilikuwaje?

    Wakuu habari, Sheria ya kikokotoo kwa watumishi waliokuwa na ajira rasmi ipo wazi. Ikitokea mtu amekosa ajira kwa sababu yoyote ile isiwe ya kuacha mwenyewe, sheria inaelekeza alipwe 33% ya mshahara wake kwa muda wa miezi 6. Kisha asubiri miezi 18 kama hajapata ajira nyingine amwandikie...
  13. JamiiForums Tanzania Abdullah Mwinyi ailalamikia Vodacom kwa wizi wa Data, 50000 bila matumizi yeyote imeisha

    Labda hawa viongozi wakisema tutasikilizwa ila kiukweli hii mitandao imekua ni kero.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji hawa wa Ihefu wanastahili kuchezea Simba bila maswali

    Maroun Tchakei ni mahali pake kabisa kukipiga Simba msimu ujao, jamaa anajua kupiga krosi, anajua kumiliki mpira, ana nguvu, anapiga kona hatari mno na anajua kusambaza pasi za upendo, nikionaga Ihefu wanacheza huwa kazi yangu ni kumcheki Tchakei tu roho yangu inaburudika sana, huwa najiuliza...
  15. JamiiForums Tanzania Vodacom kuna shida gani? Nimejiunga bando la MB wamenipa dakika bila MB

    Mnamo tarehe 17 mei, nilijiunga bando la uni-combo data ya mb 1126, badala yake vodacom wamenipa dakika bila mb. Nimewapigia lakini hakuna walichofanya zaidi ya kunipa tu matumaini. Kuna shida gani? Je, huu ni wizi, utapeli au hitilafu?
  16. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuishi bila kuzeeka fanya hivi

    Ukiwa Kama kijana Una umri kianzia 18 yrs ili usizeeke Mapema na uzeeke ukiwa katika ubora wako tumia hii njia . Waangalie wazee wenye umri mkubwa kuanzia 70 yrs then utazame wanaishije then na wewe Apply hiyo lifestyle. Maana yake ni nini Kuwa na tahadhari Kama Wazee Punguza nights out...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iagize mafuta kwa niaba ya wafanya biashara na kuwauzia bila kodi wala tozo ili kukabili mfumuko wa bei

    Tatizo la bei ya mafuta kupanda kila siku ukiliangalia kwa undani lina michezo mingi sana ambayo inachochewa na siasa na ukiritimba wa mifumo biashara iliyoko ndani ya koti la mgongano wa kimasilahi kati ya wafanya biashara na wanasiasa Picha (chanzo ) google Hapo nyuma wafanya...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam bila tatizo la foleni 2030 inawezekana

    Foleni!! Foleni! Huu ni wimbo miaka nenda Rudi kwa miaka sas kwa jiji la Dar es salaam, japo jitihada mbali mbali zimefanywa na vingozi mbali mbali kujenga miundombinu kwajili ya ktatua ama kuondoa tatizo hili lakini imeshindikana. Lakini viko Vitu tunaweza kufanya nikasaidia kwa miaka ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mo Dewji nakuuliza nivujishe Siri ya Bilioni 20 ulikoiweka na sasa unajipatia Hela za bure bila wana Simba SC kujua au niuchune tuendele kuwa Mazuzu?

    Hakika Wewe Mhindi ni Mjanja sijapata kuona. Kwahiyo mwenyewe ulidhani Siri itafichwa sana na wenye Ubobezi wa kutafuta Taarifa Ngumu Ngumu na za Hatari akina GENTAMYCINE hatutoijua? Nina uhakika nikilisanua hapa kwa ulichokifanya leo hii hii Amani inatoweka Simba SC na hata Serikali itatukamata...
  20. JamiiForums Tanzania SoC04 HeWasha: Mfumo mpya wa kuwasha Umeme 'Automatic' baada ya kununua units bila kujaza token kwenye Mita

    Utangulizi Wazo kuu ni kuboresha mchakato wa ununuzi wa umeme ili kuruhusu kuwaka moja kwa moja (automatic) mara baada ya units za umeme kununuliwa na mtumiaji, mfumo huu (HeWasha) unalenga kuleta urahisi mkubwa kwa wateja, na kuondokana na changamoto ambazo kwa sasa wanazipitia kama kwenda kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…