bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusogeza kitu bila kushika

    ninatamani sana kuweza kufanya hili jambo maana kuna video ya megician mmoja anasogeza vitu bila kushika nani atanisaidia Bado na search tutorial youtube
  2. M

    JamiiForums Tanzania Panya road ni wa kuchapa risasi bila huruma

    Alikuta taifa lake likiwa na uharifu mkubwa sana alipoingia madarakani mwaka 2016. Wauza unga walikuwa wengi, wakabaji wa kutumia siraha na majambazi. Alitumia njia moja tu kama mkuu wa vyombo vya ulinzi. Mhalifu mwenye silaha awe kibaka, muuza unga au jambazi akiwa na silaha frontline ni kula...
  3. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alishiriki filamu ya Royal Tour bila kinga ya heshima ya nchi. Tunashuhudia makosa ya kudhalilisha nchi

    Wa-TZ wenzangu! Wakati wa Wikileak nilitambua walioendelea na hasa US wanatumia maafisa wa ubalozini ili kuzifahamu nchi walimo. Balozi zao zinatumika sana kuwaelewesha tabia za viongozi wetu; uwezo na udhaifu wao. Ina maana Peter Greenberg alikuja akiwa director wa film lakini naaamini...
  4. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuachane mfumo wa kupandishia watu mishahara bila kuwa na vigezo vya utendaji (performance)

    Tanzania tuachane kabisa na mfumo wa kuwapandishia watu mishahara au vyeo bila kuwa na vigezo na vipimo vya "performance" zao. Nashauri kwanza viwekwe vigezo na vipimo vya "performance" kazini ndivyo vitumike kuwapandisha watu vyeo na mishahara. Ni wepesi sana kupanga vigezo vya ubora wa...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyata yeye kaongeza mshahara bila kumug'unya hata maneno. Hapa kwetu mshahara unaongezwa kwa kificho

    Sikiliza jembe hili linafunguka.Haina kusubiri mpaka July 1. 👇
  6. britanicca

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafiti: Kati ya wasichana 50 basi 12 wamezalia nyumbani bila Ndoa 1980-2000

    Tafiti fupi ilofanyika Mwaka 1950-1960 waliozalia Nyumbani walikuwa kati ya wasichana 50 unakuta 1 naye ni aibu kabisa Mwaka 1960-1970 Kati ya wanasichana 50 basi 3 walizalia myumbani Mwaka 1970-1980 Kati ya wasichana 50 basi 8 wamezalia nyumbani bila ndoa Mwaka 1980-2000 Kati ya wasichana...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Inawezekana yanga akamaliza ligi bila kufungwa

    Ndivyo ilivyo kwa maana asilimia 90 ya mechi ngumu kamaliza, Namungo, Azam, Simba, kmc,geita gold, hizo zote amepenya, sasa amebakiza asilimia 10 tu kwa biashara, mbeya city na dodoma jiji, Pongezi kubwa kwa kamati ya usajili msimu huu walijitahidsana👏👏👏👏👏
  8. fareed uziel

    JamiiForums Tanzania Postal wamenikatalia kusafirisha nusu kilo ya kahawa mpaka kibali bila kuniambia kibali Cha nini

    Habari wakuu? Kuna rafiki yangu aliniomba nimkaangie buni ya kahawa ya Kilimanjaro nimtumie ujerumani,sasa nimeenda pale postal EMS wamesema hawatumi kahawa mpaka kibali na wenyewe hawajui kinapatikana wapi. Msaada wakuu kama kuna mtu anakijua hicho kibali Cha Nini na kinapatikana wapi...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Picha: Watanzania mnakula sana mbwa bila kujua. Usijitapishe ukiona hii picha

  10. T

    JamiiForums Tanzania Je, Mei Mosi bila uwepo wa Rais wa JMT itanoga?

    Kuna uwezekano mkubwa ikafika jumapili Mei Mosi raisi akiwa hajarejea ama kama atarejea akatoa udhuru kuwa kachoka. Je, makamu wa raisi atatimiza hamu na gamu ya watumishi wa umma? Tumeshuhudia maadhimisho ya miaka 58 ya muungano bila uwepo wa Rais. Tarehe 28 ni uzinduzi wa Royal Tour pale...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Marekani kutumia nguvu zote ili kuishinda Urusi, bila kuhatarisha damu ya askari yeyote wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa Ukraine

    Wamarekani ni wabaya! Wameamua kuingia vitani na Urusi kwa kutumia nguvu zao zote kwa maana ya zana za kivita na pesa, lakini hawako tayari kumwaga hata damu ya mtu mmoja wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa ukraine!! Marekani hawajali Ukraine ikiangamizwa na Urusi, wanachohitaji...
  12. Faana

    JamiiForums Tanzania Morogoro: RTO Tafadhali Shughulikia Trela Lililotelekezwa Mbugani Mikumi Bila Alama Zozote za Tahadhari

    Napenda kumtaarifu RTO wa Morogoro kuwa kuna trela la semi limetelekezwa tangu Jumamosi last week mpaka jana usiku mbugani mikumi kama kilomita 15 kutoka mjini, trela hilo halina alama zozote za tahadhari, halina reflective stickers wala triangle, tumepita hapo jana majira ya saa 2 na bus nusura...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kusherehekea Muungano wa JMT bila kujua alipozikwa shujaaa Kassim Hanga ni unafiki

    Kassim Hanga alikuwa shujaa mwanamapinduzi na alikuwa mmoja wa waasisi wa Smz. Ikumbukwe kuwa bila ya SMZ kuungana na Tanganyika leo kusingukuwa na JMT. Kwa nini alipozikwa Kassim Hanga hapajulikani mpaka leo hii ili iwe kumbukumbu kwa taifa letu?
  14. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Sherehe za Muungano bila Amiri Jeshi Mkuu ni sawa?

    Kama ibara ya kwanza ya katiba ya JMT inavyotanabaisha ni kuwa Tanzania ni dola huru ambayo ni jamhuri ya muungano. Jamhuri ya muungano wa Tanzania ilizaliwa mwaka 1964 siku ya tarehe 26 mwezi wa nne. Ibara ya 33 ya katiba ya JMT inatanabisha wazi kuwa rais ndie mkuu wa nchi na amiri jeshi...
  15. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Ona wanavyokuwa na adabu wakiwa nje ya nchi bila akina Sirro

    Hapo ingekuwa ni Tanzania hakuna ambaye angethubutu kumbebea mabango Rais. Na angejitokeza aliye jasiri wa kufanya hivyo, angechezea kichapo ambacho asingekisahau. Lione li Mwigulu linavyojifanya linyenyekevu. Usanii mtupu! Ila heko kwa hao waandamanaji. Wamemfanya Samia ale kona. Sasa sijui...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ramani ya fundi Maiko, inachorwa bila proportions lakini nyumba inasimama

  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kuitwa kwenye interview Sekretarieti ya Ajira bila 'ku-certify' vyeti?

    Habari wakuu, Kwa mliowahi kutuma maombi ajira portal ya sekretarieti ya ajira. Hivi unaweza kuitwa interview sekretarieti ya ajira bila kusatifai vyeti.
  18. kudath omar

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuangalia video bila kutumia data

    Habari ndugu wataalamu. Mwaka jana katika pitapita zangu nilifanikia kudownlod application ya kielimu katika simu yangu, hiyo application ilikua na video mbali mbali za masomo ya shule ya sekondari. Ilikua ni app ya kulipia monthly subscription ulikua unalipia shiling elfu 10. Sasa ilikua...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Siasa; Hakuna Siasa bila uonevu

    Herehoa! Siasa zilianzishwa Kwa maslahi ya viongozi na watu wapendao utawala! Biashara zilianzishwa Kwa maslahi ya wafanyabiashara kujipatia faida! Mtu huanzisha kitu Kwa maslahi yake au kundi litakalomuunga Mkono! Mtu Fulani huweza kuamua kutaka kuongoza wengine na kupigania maslahi ya jamii...
  20. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ana jamaa ambaye anashiriki naye mapenzi bila kumpa chochote

    Ukweli ndio huo. wWnawake wengi wana watu wao wanaoshiriki nao mapenzi bila kupewa hela ama zawadi yoyote. Anaweza kuwa kwenye relationship na wewe na bado penzi lake likawa linapelekwa sehemu nyingine kwa gharama zake mwenyewe (mwanamke) NB: Msiende kuchunguza simu za wapenzi wenu mtaanguka...
Back
Top Bottom