bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Bila Rushwa: Safari ya Kujenga Taifa Bora

    Tanzania, kama nchi nyingine nyingi, imekumbwa na changamoto ya rushwa kwa muda mrefu. Hata hivyo, inawezekana kufuta kabisa tatizo hili kwa kutumia mikakati madhubuti. Mataifa mbalimbali, hasa barani Afrika na kwingineko, yameweza kupiga hatua kubwa katika kupambana na rushwa, na Tanzania...
  2. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Miaka 63 ya uhuru Bado tunatumia katiba ile ile ya mkoloni. Tumlaumu nani? Nyerere au waliomfuatia?

    Viongozi wengi wa waAfrika ambao Nyie mliwaita freedom fighters wengi walipigania uhuru kwa manufaa yao na familia pengine na koo zao Mimi Nina hakika na hilo hususani kwa hapa Africa mashariki labda kidogo Patrice lumumba na wengine wengi ila kwa Africa mashariki wengi walipigania kwa maslahi...
  3. Richard3

    JamiiForums Tanzania Simba bado sana, haiwezi simama bila Try again

  4. haszu

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kumkubali Abdallah Ulega bila sababu

    Sio kisiasa mana sifatilii siasa, ilitokea tu naangalia tv, nikaona taarifa ya habari akiongea. Instantly nikatokea kumkubali tu, nikawa na mu admire. Ushawahi mu “ admire “ mtu for no clear reason?
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kuchagua viongozi mwaka 2020, bila kujali afya zao,umri na demokrasia limesababisha Vifo vya madiwani watatu mkoa wa Geita.

    Huko Geita halmashauri Leo wanatarajia kuzika diwani wa tatu tangu waliopitishwa na JPM 2020. Walipitishwa,bila demokrasia,kujali umri,afyana matokeo yake wengi wamefariki bila kufikisha udiwani wao mwisho. Wengine ni wagonjwa, wengine ni wazee. Hili tatizo limeenea nchi nzima kuzika madiwani...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Choo Ferry upande wa Kigamboni malipo bila risiti

    Risiti zikoje
  7. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, CHADEMA Inapaswa Kushiriki Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa Bila Tume Huru Ya Uchaguzi na Katiba Mpya?

    CHADEMA, kama chama kikuu cha upinzani, imekuwa ikisisitiza hitaji la Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya kama msingi wa kushiriki uchaguzi wowote. Msimamo huu umetokana na malalamiko ya mara kwa mara kuhusu upendeleo na ukosefu wa uwazi katika chaguzi za awali. Hoja za Kushiriki 1...
  8. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mangungu: Nitasajili Wachezaji bila kutegemea hela za MO

    ... 🚨 𝗡𝗜𝗧𝗔𝗦𝗔𝗝𝗜𝗟𝗜 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗪𝗘 "Pesa za usajiri niko tayari kutoa mwenyewe kwa kushirikiana na wanachama na wapenzi wa Simba, kwa sasa natafuta Mkurugenzi wa ufundi ambaye atakuwa na jukumu la kusimamia mtandao wa usajili na upembuzi wa kina kabla ya mchezaji kusajiliwa.” ©️ Murtza Mangungu...
  9. Blue Bahari

    JamiiForums Tanzania Kwa nini huwezi kula ugali bila Mboga?

    Wanajukwaa habari zenu! Hivi umewahi kujiuliza, Kwa nini Mboga ni za lazima au muhimu unapokula ugali? Je, umewahi kula ugali bila mboga yoyote ile? Inawezekana? Haiwezekani? Kuna makundi makuu ya virutubisho ya vyakula: (1)wanga (2) protein (3) madini Chumvi (4) fibers/roughage (5) vitamins...
  10. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Namna Juice ya Embe inavyotengenezwa bila Maembe yenyewe, Tunakunywa Chemical nyingi Mnoo

    Kuna mtu nilishawahi kumuuliza Hivi Kutengeneza Juice ya Ukwaju na Ikawa Nzito kama ya Mzee wetu, inahitaji utengeneze na Ukwaju kiasi gani?. na je ushawahi kuona au kusikia wamenunu maembe au ukwaju sehemu ukaingizwa kiwandani.. Hii Video inaonesha ni kiasi gani tunatumia Chemical nyingi sana...
  11. Bila bila

    JamiiForums Tanzania CCM kujiona wako juu ya sheria kunafanya makada wake wafanye jinai bila hofu

    Tukio la Kutenguliwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu Alhaji Dr. Yahaya Nawanda baada ya tuhuma za kulawiti binti mwenye umri wa miaka 21 Mwanafunzi wa chuo kikuu cha SAUT Mwanza kwenye maegesho ya THE CASK BAR ni moja Kati ya matukio mengi yanayofanaywa na viongozi wateule wa Rais Kwa kutegemea kinga ya...
  12. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Njia 7 za Kuongeza Kipato Chako Bila Kuacha Kazi Yako ya Sasa.

    Katika dunia ya sasa, ambapo gharama za maisha zinapanda kila siku, ni muhimu kutafuta njia za ziada za kuingiza kipato bila kuacha kazi yako ya sasa. Hapa kuna njia 7 rahisi ambazo unaweza kujaribu: 1. Kufanya Kazi za Freelance: Ikiwa una ujuzi kama vile kuandika, kutafsiri, kubuni tovuti, au...
  13. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kutwa kunipiga picha na kunipost mtandaoni nimejaribu kumkanya wap muda mwingine anachukua video mi bila kujua Nakuta tu mtandaoni??

    Wakuu habari Kichwa cha habar cha husika
  14. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Tafuteni hii series Guillermo.del.Toros.Cabinet.of.Curiosities mtanishukuru bila kuboreka

    kuna series nyingi zinazo toka ila hii series inatisha ila ina ujumbe .
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nigeria: MultiChoice yapigwa faini na kutakiwa kurusha Matangazo kwa Wateja mwezi mmoja bila malipo

    Mahakama ya Ushindani na Haki za Watumiaji Huduma (CCPT) ya Nigeria, imeitoza kampuni ya Matangazo ya Televisheni ya MultiChoice takriban Tsh. Milioni 282.56 pamoja na kuwapa Wateja wake Kifurushi cha Matangazo ya mwezi mmoja bila malipo. Uamuzi huo unafuatia malalamiko ya Wateja wa MultiChoice...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Unamkumbuka Ray C “Kiuno bila Mfupa”

    Rehema Chalamila (Ray C) Mei 15, 1982, Iringa - Tanzania. Kabla ya kuingia kwenye Muziki, alikuwa Mtangazaji wa East Africa Radio, baadaye akahamia Clouds FM zote za Dar es Salaam. Alianza safari yake ya muziki wa Bongo Fleva mwaka 2003, alipozindua albamu yake ya kwanza, "Mapenzi Yangu."...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji watatu wenye uwezo wa kumdhibiti Aziz Ki uwanjani bila wasiwasi

    Aziz Ki ni mchezaji mzuri sana lakini akipata watu haonekani, ni mchezaji ambaye ukimwekea watu wenye kazi ya kukaba, humuoni, atabaki kulalamika tu kuwa anachezewa rafu. Wachezaji watatu niliowashuhudia wakihangaika na Aziz Ki na akashindwa kabisa kufurukuta kwao ni kama ifuatavyo. 1. Kevin...
  18. zink

    JamiiForums Tanzania Nina mpango kwenda kutafuta maisha Marekani ila sijui naanzia wapi

    Kwema wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimekuwa nikitafakari sana juu ya hatima ya maisha yangu na hasa ukizingatia hali ya sasa kwa hapa Tanzania ni mbaya, kwani watu wanaishi maisha magumu sana, can u imagine mtu ameajiriwa lakini bado analalamika maisha magumu. Hii inaonesha kwa...
  19. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iwe tayari kuzifuatilia mbegu za mazao Kwa majaribio ya kupanda sio Kwa majaribio ya upimaji kisasa bila kupanda

    Kilimo ni maisha na maisha yetu ni kilimo na chakula.ni serikali Sasa ifike mahali iache longolongo hasa linapokuja suala la kilimo chenye tija Kwa mkulima wa chini. Kuna mambo machache serikali inapaswa kuyaboreaha Kwa vitendo ya majaribio sio matendo ya kisasa Kwa vifaa kila mwaka wa kilimo...
  20. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Shirika Gani la Bima ya Afya Tanzania Lina Gharama Nafuu na Huduma Bora?

    Habari wanajamvi, Natumaini mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja kwenu leo nikiwa na swali ambalo ningeomba msaada wenu kulijibu. Katika kutafuta bima ya afya ambayo itakuwa na gharama nafuu na huduma bora, nimepata majina ya mashirika kadhaa yanayotoa huduma za...
Back
Top Bottom